Kenya completes the longest railway tunnel in East and Central Africa and second in Africa

Kenya completes the longest railway tunnel in East and Central Africa and second in Africa

Yote tisa lihandaki letu ndio refu ukanda wote huu na limekamilika. Iwe limechimbwa na vibarua wa Kichina cha msingi lipo kwetu na litasaidia pakubwa kudumisha uongozi wetu kwenye soko la usafirishaji wa mizigo.

Ahaaa haaa haaa
unafurahia handaki au kukamilika kwa reli?
 
Mimi nimekumbia, umeona eneo moja tena sio la kitaalamu kama vile soil analysis, pillar alignment, au truck and signal laying . Hebu piti vipicha hapa uniambie wakenya wazawa wana majukumu gani?

View attachment 876765
Wewe ndiye utiyetaja mwenyewe hizo kazi hapa chini. Thibitisha maneno yako.
Mimi nilona kwa macho yangu, wachimba mitaro, wafagiaji, walinzi mpaka wapishi wanatoka China, sasa si ni wao ndio wanatakiwa wapewe sifa ya ujenzi au? Tena ukizingati pesa ni yao pia.
 
ubBRevS.jpg

71Zl80g.jpg
OIRWLC2.jpg
 
wakenya wamepigwa hiyo SGR yao,wachina wasije tu kutwaa bandari ya mombasa
 
Hapa ni kwenye stage gani ya SGR ya Kenya? Google fasta. [emoji1]
Haya maswali hayaendi na hoja iliyo mezani? Labda upitie vilio vya wakenya wengi wanaofanya kazi huko kwenye SGR wakueleweshe thamani yao ni ipi kwenye huo mradi?
 
Nilichifanya mimi ni kurekebisha kichwa cha habari kwamba walio kamilisha mradi ni wachina na sio wakenya kama vile tunaona kwetu wataalamu wa kitanzania wanavyo hojiwa na kutoa ufafanuzi wa mambo ya kiataalamu.

Naomba sana tufanikishe kufika Kisumu maana huko kuna bandari, safu ya Malaba hata ikichelewa bado tutatumia ziwa Victoria. Nyie endeleeni kujidanganya na kujipa ujoto.
 
Naomba sana tufanikishe kufika Kisumu maana huko kuna bandari, safu ya Malaba hata ikichelewa bado tutatumia ziwa Victoria. Nyie endeleeni kujidanganya na kujipa ujoto.
Mjipange mtafika tu. Ila mjuwe, Tanzania ya leo sio ya jana, tunakiwasha usiku na mchana.
 
Yote tisa lihandaki letu ndio refu ukanda wote huu na limekamilika. Iwe limechimbwa na vibarua wa Kichina cha msingi lipo kwetu na litasaidia pakubwa kudumisha uongozi wetu kwenye soko la usafirishaji wa mizigo.
Kwani handaki lina faida gani??? Zaidi ya kuongeza gharama za ujenzi. Shame on U
 
Mimi nilona kwa macho yangu, wachimba mitaro, wafagiaji, walinzi mpaka wapishi wanatoka China, sasa si ni wao ndio wanatakiwa wapewe sifa ya ujenzi au? Tena ukizingati pesa ni yao pia.
Fundi anakujengea nyumba yako inaisha unatamba mtaani nimehamia kwangu bwanaa, sasa hivi naitwa baba mwenye nyumba !!! In the same line kwa nini hizo sifa usimpe fundi??
 
Fundi anakujengea nyumba yako inaisha unatamba mtaani nimehamia kwangu bwanaa, sasa hivi naitwa baba mwenye nyumba !!! In the same line kwa nini hizo sifa usimpe fundi??
Kama huyu fundi yeye ndio anatoa hela ya kujenga na mafundi ni wake mwanzo mpaka mwisho na vifaa vya kujenga yeye ndio analeta, hiyo nyumba sio yako baba mpaka ulipe deni lote la fundi.
 
Kwani handaki lina faida gani??? Zaidi ya kuongeza gharama za ujenzi. Shame on U

Tutakwenda kutalii hapo na kupigwa mapicha kama mnavyokenua meno na kushanga shangaa fly over ya kwanza ya TAZARA.
 
Mjipange mtafika tu. Ila mjuwe, Tanzania ya leo sio ya jana, tunakiwasha usiku na mchana.

Mje tu ila sisi sasa hivi tunawaza jinsi ya kufanikisha malengo yetu, Tanzania haitushughulishi akili kama nchi, labda kwa watu binafsi kama mimi ndio najikuta nikiwaombea Tanzania maana mara moja moja napata kandarasi huko, lakini kama nchi tuna mengi yaliyopangwa na lazima yakamilike.
Sasa hivi nina raha sana kuona upinzani na serikali wamekua kimoja, naomba waendelee kushirikiana kiuzalendo ili tufike mbali, mafisadi yatiwe ndani bila huruma maana hatutaki ucheleweshwaji.
 
Back
Top Bottom