Kenya completes the longest railway tunnel in East and Central Africa and second in Africa

Wakenya bana Tunnel ni 4KM Wao wanasema 7km

Hiyo 7km ni ukiunga unga na Vi Tunnel vingine ndio unapata jumla ya 7km
 
The tunnel to oblivious! BTW Morogoro-Makutupora section will have a longer tunnel than this!
 
Ukikopa benki iwe umekopa nyumba au gari hati ya mali inakuwa na majina mawili moja lako lingine la aliye kukopesha mpaka umalize deni.
Na deni tutamaliza, mikakati ishaa iva. We ain't afraid of our debts
 
Bruh.... Khartoum built theirs a while back without much fanfare....these fruit cakes are just catching up on it and they losing their minds over their first flyover in 2018.

 
Uongo mwingine bana. Ujenzi bado unaendelea Ngong' na nilikuwa sehemu hizo jana. Vijana wa kikenya wanachapa kazi vilivyo na niliona wachina wanne tu pekee yake kwenye site yenyewe.
Amesahau kwamba wewe unatokea hizo area za Kajiado na una first hand information, hautegemei rumours kama yeye.
 
Halafu hayo maeneo ya Kajiado mpaka mali 9 nimeshafukuzana sana na GSU wa road block miaka ya 90 mpaka wanachoka wanachia mbali. [emoji23] enzi hizo hakuna mawasiliano ya haraka haraka kama sasa.
Kwa hivyo ulikuwa terrorist enzi zile?
 
The tunnel to oblivious! BTW Morogoro-Makutupora section will have a longer tunnel than this!
Nyie hamna pesa ya kujenga tunnel. Unadhani tunnel kujenga ni mchezo? Hio yenu wachina pia ndio walijenga enzi zile.
 
Hiyo tunnel yao ni fupi sana sio 7" kilometers acheni uongo

Na tunnel refu zaidi Africa ni hii ya morogoro kwa tunnel za train πŸš‰ Africa 🌍
 
"Chinese completes"
Tunajuwa mmewachoka lakini msiwavunjie heshima kihivyo.
2nd only to SA Yani tunakimbizana na Afica's finest sio laziest( Tanzagiza). Najua ndani unaumia ila vumilia tu mtaja fika siku za vitukuu wenu.
Tena Nyang'au anaweka picha sio edited videos za sekunde 60 za uzinduzi kuwamulika wakubwa wa serikali wakizurura zurura mle.
 
wazee wa ku-exaggerate! Busted! It is stupid for a country with underground mines to be compared to
With a country with a Chinese made 4 km tunnel. Muache kuhara....!
Sasa ukishikwa na wivu na hata SGR yenyewe haijaisha je ikiisha si tutapata ulijinyonga... slow down boy usikufe ungali mchanga, tungetaka kama Nyang'au ushuhudie SGR Kenya ikikamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…