Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na deni tutamaliza, mikakati ishaa iva. We ain't afraid of our debtsUkikopa benki iwe umekopa nyumba au gari hati ya mali inakuwa na majina mawili moja lako lingine la aliye kukopesha mpaka umalize deni.
Amesahau kwamba wewe unatokea hizo area za Kajiado na una first hand information, hautegemei rumours kama yeye.Uongo mwingine bana. Ujenzi bado unaendelea Ngong' na nilikuwa sehemu hizo jana. Vijana wa kikenya wanachapa kazi vilivyo na niliona wachina wanne tu pekee yake kwenye site yenyewe.
Kwa hivyo ulikuwa terrorist enzi zile?Halafu hayo maeneo ya Kajiado mpaka mali 9 nimeshafukuzana sana na GSU wa road block miaka ya 90 mpaka wanachoka wanachia mbali. [emoji23] enzi hizo hakuna mawasiliano ya haraka haraka kama sasa.
Amesema tutawalipa sio tumewalipa. Kiswahili ni kigumu kwako na Kiingereza najua haukinusi. Sasa wewe una faida gani kwa hii dunia yetu?Shingapi mmelipa
Hao ni kawaida yao kupenda kujikweza na sifa za kijinga.Ushahidi huu hapa ni 4km tuuView attachment 877015
Nani, tuliza nyegeWhat happened to double stuck bull shit!!
Nyie hamna pesa ya kujenga tunnel. Unadhani tunnel kujenga ni mchezo? Hio yenu wachina pia ndio walijenga enzi zile.The tunnel to oblivious! BTW Morogoro-Makutupora section will have a longer tunnel than this!
the first tunnel in Kenya! 😂Nyie hamna pesa ya kujenga tunnel. Unadhani tunnel kujenga ni mchezo? Hio yenu wachina pia ndio walijenga enzi zile.
wazee wa ku-exaggerate! Busted!Ushahidi huu hapa ni 4km tuuView attachment 877015
wazee wa ku-exaggerate! Busted! It is stupid for a country with underground mines to be compared toUshahidi huu hapa ni 4km tuuView attachment 877015
2nd only to SA Yani tunakimbizana na Afica's finest sio laziest( Tanzagiza). Najua ndani unaumia ila vumilia tu mtaja fika siku za vitukuu wenu."Chinese completes"
Tunajuwa mmewachoka lakini msiwavunjie heshima kihivyo.
Sasa ukishikwa na wivu na hata SGR yenyewe haijaisha je ikiisha si tutapata ulijinyonga... slow down boy usikufe ungali mchanga, tungetaka kama Nyang'au ushuhudie SGR Kenya ikikamilika.wazee wa ku-exaggerate! Busted! It is stupid for a country with underground mines to be compared to
With a country with a Chinese made 4 km tunnel. Muache kuhara....!
Ondoa uchafu bwana hapa tupo serious issues wewe naweka upussy wa 100 metres...really??? seriouslyy???Mimi nimekumbia, umeona eneo moja tena sio la kitaalamu kama vile soil analysis, pillar alignment, au track and signal laying . Hebu piti vipicha hapa uniambie wakenya wazawa wana majukumu gani?
View attachment 876765View attachment 876766View attachment 876767