Kenya confirms first case of Corona Virus

Kenya confirms first case of Corona Virus

Kichwa kibovu cha mwafrika, hakina logic!

Waziri anasema "THERE IS NO CAUSE FOR ALARM, CONTINUE WITH REGULAR ACTIVITIES..."!

halafu hapo hapo anasema acheni mikusanyiko, kusogeleana, kusafiri, ma crusade ya kidini, michezo...

Sasa REGULAR ACTIVITIES za kuendela nazo ni zipi, kutembelea mbuga???
 
Baada ya UN kusema 1Bn USD kwa nchi zilizoathiriwa na CORONA, Kenyans wametangaza case yao ya kwanza..
Fursa fursani.... 😀

Everyday is Saturday....................😎
 
Mkuu kwa taarifa yako Corona virus is a HOAX!
Hapa Africa haiwezi kuathiri kitu.
Hapa Bongo jihadharai na Ukimwi,Hepatitis B, Ugonjwa wa moyo na magonjwa mengine mabaya.
This kind of ignorance ABD reasoning inatia huruma
 
Hatima ya Kenya iko mikononi mwa watanzania ,tukiamua kupeleka madaktari wetu wa magonjwa ya mlipuko hilo suala ndani ya wiki tu linaisha.
It's only a matter of time, we'll see how you'll deal with it. I hope you'll be around to give us updates on how your doctors are dealing with it
 
This kind of ignorance ABD reasoning inatia huruma

Call it ignorance for a person like you who is used to think in confined brain works.
Think outside the box, and dont forget Ebola, AIDS, Hpatitis B was here before-killed and maimed but you guys did not notice.
 
Call it ignorance for a person like you who is used to think in confined brain works.
Think outside the box, and dont forget Ebola, AIDS, Hpatitis B was here before-killed and maimed but you guys did not notice.
U r absolutely right...
Donald Trump himself called this a hoax...

In sub-saharran Africa every 2 minutes somebody is dying of MALARIA...we don't freak OUT...MALARIA kills an estimate of 1-3Millions annually...mostly children under 5..

We have diseases that primarily affect us, Africans, neither the West nor the East panics...

Everyday is Saturday...................... 😎
 
Hivi huyu MTU Wa Kenya aliyegungulika kuwa na corona virus je ni mkenya kwa asili yake au ni mkenya lakini mzungu au mhindi, mwarabu na kadhalika. Cases nyingi za corona virus hapa afrika zinawahusu wazungu na waarabu waishio afrika. Huyu Wa Kenya ni mweusi mwenzetu?
Kama ni mweusi ujue hao corona virus wana hali ngumu! Ni suala LA muda tu watasalimu amri!! Hii ngozi nyeusi ni kinga tosha!!
 
Huko China kuna waafrika wengi sana wenye ngozi nyeusi, lakini wana dunda tu!! Hii ngozi achana nayo!! Corona virus wangeulizwa wangesema afadhali uingie motoni kuliko kwenye ngozi nyeusi!! Mziki wake mzito!! Labda itokee MTU mwenyewe tayari ana magonjwa mengine yaliyomdhoofisha. Lakini hii isitufanye kutokuchukua tahadhali. Kwa hiyo tufuate maelekezo yanayotolewa na viongozi wetu kwa habari ya tahadhali.
 
It is time for Africa to close the borders - no more Europeans allowed until we all sorted out this nightmare.
 
An hata sielewi itakuwaje hapa bongo ikashatufiakia,,yaan wat watamwagka kama maporoko.
 
T
An hata sielewi itakuwaje hapa bongo ikashatufiakia,,yaan wat watamwagka kama maporoko.
[/QUOTE
Hapa bongo hii kitu inaweza tikisa kwa sababu ya panic tu, lakini hakuna atakayekufa kwa sababu ngozi nyeusi inajua kupambana!! Unajua corona virus ni jamii moja na virus wanaosababisha mafua. Ngozi nyeusi haifi kwa Mafia, tunamshukuru Mungu kwa hilo!
 
Maombi kwa wingi Mungu atuepushe na janga hili. Rwanda pia tayari kirusi kipo. Kakutwa nacho mhindi mmoja kutoka Mumbai huko kwao, jana katest, na kukutwa positive
 
Raia wa Ulaya , America na china inabidi kuwachunguza vizuri, sasa hivi Europe na America hali ni mbaya Zaidi, wanaambiwa kaeni ndani wanakuja na issue za freedom, inabidi kuwa very carefully airport kwa watu wanaokuja kutoka nchi hizo, hii ngoma ni ngumu.
Mkuu, ni Mungu tu. Aliyegundulika jana Rwanda, katoka kwao tarehe 8 hakuwa na dalili zozote.kaendelea na shughuli zake mjini, kachanja mbuga, jana kajipeleka hospitali na kakutwa na virusi. Unadhani hali ikoje?
 
Sasa Kenya in watu 3, Rwanda 5

Screenshot_2020-03-15 Coronavirus COVID-19 (2019-nCoV).png
 
Back
Top Bottom