kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Hahahahahahaha, domo kubwa huna data zaidi ni kupiga domo. Ila ninajua umeelewa kwamba huwezi chezea Tanzania, Mimi ninakupa data wewe ni kupanua domo tupu, stupid kabisa wewe.
Lete statistics acha domo tupu, Mimi nimesemaI've listed for you 16 industries that Kenya leads in the private sector.
Badala ya kupiga domo, chukua sector moja kwa hizo, sema la!.
Ukweli ni kwamba hakuna ata sector moja kwa hizo utaweza dhibitisha kwamba Tanzania iko mbele.
Lete data acha domo, numbers don't lie.Mnaongoza aje sasa?
EABL has more revenues than Tanzania breweries.
We have uncountable juice and energy drink producers.
Kenya sio nchi ya brand moja Azam kama Tanzania. You can encounter over 20 Kenyan juice brands on the same supermarket shelf.
Safari com beats Vodacom, ninaomba namba kama ninavyotoaHili ni povu. Utaacha kubisha lini wewe? Hebu niambie kuhusu telecommunications. Tz ndio inaongoza?
Lete statistics acha domo tupu, Mimi nimesema
1)Tourism: TZ $2.4B, Kenya $1B
Lete namba wacha maneno
Naomba reference please, kwasababu tourism tumewapita kwa mbali sana, data zako sio za kweli hadi ulete link ulipotoa hizi taarifa.[emoji16] [emoji16] [emoji16]Out of hizo 16, tourism sijaweka kwa list.
Kweli ukiishiwa na hoja, unaanza vituko.
Hotel rooms - Nairobi alone: 7,000
Hotel rooms - Tanzania yote: 7,900
Lete statistics acha domo tupu, Mimi nimesema
1)Tourism: TZ $2.4B, Kenya $1B
Lete namba wacha maneno
Mining and quarrying.Ebu taja jambo moja ndani ya private sector ambapo Tanzania imeshinda Kenya.
Lete data acha domo, numbers don't lie.
Mining and quarrying.
Umeuliza swali, ukapewa jibu. Sisi kuwa na minerals nyingi ni sawa na kusema kuwa niliweza kukupiga kwa sababu nina muscles na wewe huna ... so?Mining nilishasema kwa hio list yangu, kwamba ndio jambo la pekee Tanzania imetushinda.
Na reason ni kwamba mko na mineras mingi kutushinda.
Umeuliza swali, ukapewa jibu. Sisi kuwa na minerals nyingi ni sawa na kusema kuwa niliweza kukupiga kwa sababu nina muscles na wewe huna ... so?
Tanzania ingekuwa na mafuta tungeongea story nyingine.Kenya ingekuwa imebarikiwa na mineras kama nyinyi, tungekuwa tunaongea different story.
Baraka ya mungu huwezi compare na entrepreneurial spirit.
Tanzania ingekuwa na mafuta tungeongea story nyingine.
Kama unamuamini mungu, then everything comes from him/her.
Plus how do you measure entrepreneurship? Unaongea vitu vya kufikirika, not empirical at all.
Hahahaha, acha kuweweseka, hizi habari ya hotel vyote hivi vipo chini ya tourism. Kwenye tourism tulishamaliza biashara.Soma hii ripoti ya PWC.
Hotel revenue
Kenya - 5, 382,000,000 Rand
Tanzania - 2,543,000,000 Rand
Available rooms
Kenya - 19,100
Tanzania - 7,700
Total hotel guests
Kenya - 3.3 million
Tanzania - 1.5 million
Tanzania may have more international tourist arrivals, but Kenya has much more local tourists.
View attachment 940743
View attachment 940744
View attachment 940745
Case closed. Maneno ya tourism tumefunga. In Tanzania, the bulk of the money goes to the government through gate fees and other fees, while in Kenya, the bulk of the tourism money goes to the private sector eg hotels, transportation etc.
Wewe eee, hii article inazungumzia EABL kutengeneza profit ya KSH 8.5B, haijazungumzia lolote kuhusu Tanzania Breweries.2016/17 profit
EABL - $85 million
Tanzania breweries - $31 million
EABL profit up 6pc to Sh8.5 billion - Capital Business
View attachment 940751
Wewe eee, hii article inazungumzia EABL kutengeneza profit ya KSH 8.5B, haijazungumzia lolote kuhusu Tanzania Breweries.
Your minerals are a gift from God. Kenya does not even have a quarter of what you have.
But we have the entrepreneurial spirit that has made us richer than you.
We dominate you in every industry known to man... apart from mining for obvious reasons.
I hope I have explained to you in the clearest language.
Hahahaha, acha kuweweseka, hizi habari ya hotel vyote hivi vipo chini ya tourism. Kwenye tourism tulishamaliza biashara.
Tanzania $2.2B
Kenya $1B
Vipi kuhusu tourism revenue, FDI, sugar production na food production, sikusikii ukizingumzia kuhusu haya maeneo ambapo tumewazidi kwa mbali sana.Nimepost article ya EABL, na picha/chart ya TBL.
Hio chart nimetoa kwa financial reports za Tanzania Breweries.