kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Hahahahahahaha, domo kubwa huna data zaidi ni kupiga domo. Ila ninajua umeelewa kwamba huwezi chezea Tanzania, Mimi ninakupa data wewe ni kupanua domo tupu, stupid kabisa wewe.
I've listed for you 16 industries that Kenya leads in the private sector.
Badala ya kupiga domo, chukua sector moja kwa hizo, sema la!.
Ukweli ni kwamba hakuna ata sector moja kwa hizo utaweza dhibitisha kwamba Tanzania iko mbele.