Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

This is utter rubbish! Tanzania doesn't need Kenya to survive. However, it is Kenya that need Tanzania in many ways.

Kenya decided to go into war on behalf of the West fine, let them execute it how clever they are going to do it that is a big question. A grand US army style incursion by a third world country will never work in Somalia. Cant you query your feeble memory why the US army chose to use drones instead?...remember operation called Black Hawk down?

Don't be in denial! The truth of the matter is: If Kenya goes down, so does Tanzania, Uganda and the rest of EA
 
Ni wazi kwa uandishi huu hujaipitia ile thread ukajiridhisha ugaidi wa US.
Kule kuna ushahidi wa CIA kutengeneza fake videos za Osama.
Kama ni mind control basi hili wamefanikiwa kwako mkuu.

Pia hizo red, sina uhakika kama tunafahamiana. Phobic?. Hilo nakuachia mwenyewe.

Lakini kwa wote wanaoshabikia Kenya kwenda "kumtwanga " Al shabab wanashindwa kuelewa kuwa Somalia kuna serikali iliyo na backing ya AU na (international community) na kuna vikosi vya AU ambavyo vinapigana na Al shabaab. Kenya wangeingia mazungumzo na hii serikali na wao kupeleka vikosi vyao kuunga mkono ile serikali iliyopo katika kuishughulikia Al shabaab.

Kenya kwa kwenda kivyake ni kuwa inaivamia Somalia na kupigana na kikundi ambacho hakifungwi na sheria zozote au hakijali matokeo ya matendo yao.

Uganda na Kenya wana nafasi ya kuwaadabisha Al shabaab kupitia serikali ya Somalia na sio kwenda kila mmoja na operations zao. Hili ni kosa watakalolijutia kama US na NATO wanavyojutia kujipeleka Afghanistan. Wataifanya hali ya Somalia kuwa more complicated.

Tukumbuke, Huyu kiongozi wa serikali ya Somalia alishafanikiwa kuiweka Somalia katika kuelekea utulivu, lakini tunaelewa nini kilitokea. On the second thought, "international community" waliamua kumrejesha madarakani. Ilisemwa yeye ni muislamu wa siasa kali lakini baada ya kumuondoa ndio wamekuja hao siasa kali na sasa kila mtu anapiga mayowe na kufurahia kuongeza utata na kuifanya Somalia kuwa tete zaidi.

Hata hivyo, yanakuja na hapa kwetu.Tujitayarishe.
Here we are, back to square one.
Mradi aliyekuingilia nyumbani kwako ni muarabu na muislamu safi basi we uliyeingiliwa una stahiki.
What bullshit!!
Tunajua wote Al Shabab a rag tag outfit ndio inaongoza uasi Somalia, na comments kama hizi wala hazi wasaidii waSomali.
Hivi mkuu Nonda mimi nikivaa keffieh, na kuja kufanya ujahili nyumbani kwako will it be fair game?
Na unamlaumu vipi Marekani katika hilo?
Ninyi I am sure you have controlled minds na ndio maana it is difficult to think straight.
Ukiingiliwa piga, tena piga ua.
Ukifikiria kureact juu ya situation yoyote katika usalama wako kwa misingi ya kidini , basi hadi leo Afrika Kusini isingekuwa imekombolewa.
 
Am I mistaken or there are some people in their right minds supporting this Al Shabab, remember these people have no any common enemy and they don't think twice about mass murdering or planting a bomb here an there or how many innocent people die..
 
You are entitled to your own opinions. I may sound nuts, but I once again stand by my statement based on the economic facts: If Kenya goes down, so does Tanzania, Uganda and the rest of EAC.
Thanks and be blessed!!
 
Nenda zako!.Mpaka leo unaamini kwamba hayo mashambulio yalifanywa na marehemu sheikh Osama.Hujajua tu kwamba ni vitimbi vya Amerika ambayo haina huruma na hata raia wake inapotaka sababu ya kuingia vitani.
Halafu nikuulize hivi bibi wa kitalii ni bora sana kuliko maisha ya wakenya wa kawaida?.Mbona hamukuingia vitani wakati askari wa Ethiopia walipovuka mpaka na kuingia Kenya wakaua watu kadhaa.Papo hapo inakuwa na maana kuingia vitani kutafuta watalii.Hizi zote ni sababu za uongo kuhusiana na nia ya kuingia nchi ya kiislamu ya Somalia.
Ingekuwa utalii ni kitu cha maana basi wakenya wangekuwa na nafuu kimaisha kuliko wenzao wa nchi za jirani.Ukweli wakenya ndio maskini zaidi na wanaishi maisha machafu huwezi kuamini.Uchumi wa Kenya sijui nani anayedhibiti au tuseme watalii huja nao na kuondoka nao.

"Sheikh osama"!!!? sikujua osama alikua sheikh! hayo kando......marehemu "sheikh" osama alikubali kupitia vyombo vya habari kuwa alipanga mashambulio ya kibomu mjini Nairobi na Dar ...sielewi ulikuwa wapi wakati huo! ama ulikua unaugua ama kiziwi!.....kujibu swali lako...ndio maisha yote ni ya maana awe bibi wa kitali ama wakenya...mashambulio ya wakenya kwa mpaka wa ethiopia ni moja ya mashambulizi ya kikabila kati ya kabila zinazo randa randa kutafuta lishe kwa mifugo wao,hutendeka kila wakati...kati ya waturkana kenya,karamajoong uganda merile ethopia hatuwezi linganisha na upuzi alshabaab inafanya.

Uwache chuki ya kidini ,hatushambulii alshabaab sababu ni waislamu..la! uisilamu ni dini ya amani..lakini kuua watu kwa jina la kidini lazima ikomeshwe..awe muisilamu,mukristo ama wa dini yeyote......somalia ni gombe la magaidi na upende usipende lazima alshabaab itamalizwa.Una kaa wewe ni sympathizer wa alshabaab lakini pole tega masiio tu.

Umetaja jambo kuhusu uchumi wa kenya.......i cant answer you coz u have simply advertized your ignorance on the issue.. nenda usome kwanza....
 
Wakenya wajinga kweli! wakotayari kufa kwa ajili ya raia wa 4 wa Ulaya!
haya wasubiri faida ya ujinga wao.

you are an idiot!!! shame on you! kuna sababu nyingi sana zinazofanya tushambulie alshabaab ,kwa kuwateka nyara watalii walijaza kikombe chao! from the way you are reasoning i wonder if some of you went to school at all!! what if it was Tanzanians being killed...!! think first....before you type anything shameless fool!
!
 
You are entitled to your own opinions. I may sound nuts, but I once again stand by my statement based on the economic facts: If Kenya goes down, so does Tanzania, Uganda and the rest of EAC.
Thanks and be blessed!!
What's on Man's Mind:eyebrows:
 
Wameanza!

Al Shabaab bomb explodes in Somalia near Kenya ministers meeting

610xc.jpg
Oct 18
Posted by Joseph Kariuki

Four people have died after a suicide bomb exploded in Mogadishu near where Kenya Foreign Affairs minister and Defence minister were holding a meeting with Somalia officials. The bomb exploded at the ministry of foreign affairs probably targeting the Kenyan ministers.The ministers, Moses Wetangula and Defence Yusuf Hajj had earlier held talks with President of Transitional Federal Government of Somalia.

It is still not known whether the ministers were caught in the line of fire. The Kenyan ministers and TGF discussed ways of cooperating with the TGF government to flash out the Al Shabaab rebel group.

TGF government has already captured rebel held towns of Qoqaani, Dhoobley, Afmadow, Taabto and Diif with the help of Kenya military.

Some Muslim leaders sympathetic to Al shabaab in Somalia have already declared a Jihad against the Kenyan army that has invaded the ‘holy'. Al shabaab has also threatened a suicide attack against Nairobi for entering into Somalia

Karizmwangi.wordpress
 
374514-01-02.jpg

members of somali military forces tighten the security of mogadishu on october 15, 2011 after joint somali military and au peacekeeping forces forced al-shabaab to withdraw from the city .

374514-01-02.jpg

dah !!! Cheki mkanda wa risasi huo alafu chini kapiga viatu vya wazi... Nawakubali sana hawa hehehehehe!
 
Wameanza!

Al Shabaab bomb explodes in Somalia near Kenya ministers meeting

Oct 18
Posted by Joseph Kariuki

Four people have died after a suicide bomb exploded in Mogadishu near where Kenya Foreign Affairs minister and Defence minister were holding a meeting with Somalia officials. The bomb exploded at the ministry of foreign affairs probably targeting the Kenyan ministers.The ministers, Moses Wetangula and Defence Yusuf Hajj had earlier held talks with President of Transitional Federal Government of Somalia.

It is still not known whether the ministers were caught in the line of fire. The Kenyan ministers and TGF discussed ways of cooperating with the TGF government to flash out the Al Shabaab rebel group.

TGF government has already captured rebel held towns of Qoqaani, Dhoobley, Afmadow, Taabto and Diif with the help of Kenya military.

Some Muslim leaders sympathetic to Al shabaab in Somalia have already declared a Jihad against the Kenyan army that has invaded the ‘holy'. Al shabaab has also threatened a suicide attack against Nairobi for entering into Somalia

Karizmwangi.wordpress

Fighting bandits and murderers is not fighting against Islam
 
Security beefed-up in Nairobi
By Cyrus Ombati
nairobi-view-1_231.jpgAl Shabaab wametishia kuyalipua hayo maghorofa jijini Nairobi

Security has been stepped up in Nairobi and its environs following threats issued by Al Shabaab militants who have vowed reprisals to protest a military offensive against them. Security agencies have been mobilised in the city and put on alert incase of a possible attack from the militants.

Major installations and places frequented by crowds have been mapped and accorded enough security, officials said on Tuesday. Nairobi Provincial Police chief Antony Kibuchi says they have enhanced security in the city and their intelligence mechanisms to secure the city.

Kibuchi urged Nairobi residents to be vigilant and report any suspicious persons or objects sighted to the nearest police station or police officer near them.

Members of the public have been urged to call emergency lines 999, 112, 020 272 41 54, 020 355 6771 or 020 355 67 80 in case they have anything to report.

"It all starts with us and we must defeat these criminals threatening our peace. Let everyone be vigilant all the time," he said.

Police and especially those from anti-terror unit plan a major operation in the city to arrest a number of sympathisers of the militant group who are hiding in estates.

Al Shabaab militants through their spokesman Ali Mohamud Rage announced on Monday that they intend to carry out reprisals to protest the military operation against them inside Somalia.

The Standard
 
At least Somalia wamepakana na Kenya, na Kenya wakiamua jambo they mean business. Ingekua sisi ndio tumepakana na Somalia na hii serikali yetu legelege saa hizi hayo majangili ya Al Shabab wangekuwa wana-run nchi.
Tungeanza kupangiwa maisha na hizo sheria zao za ajabu ajabu eti hamna kuuzwa sambusa, hamna kuangalia TV sijui premiership, no clubs, no bars, no soccer games etc.
Mwenye kuwa-support hakatazwi afunge safari na aende akaungane nao huko Kismayu
 
dah !!! Cheki mkanda wa risasi huo alafu chini kapiga viatu vya wazi... Nawakubali sana hawa hehehehehe!

Mkuu nadhani siku wakiweka bomu sokoni likaua ndugu zako utaacha kuwakubali..., hawa jamaa vita wanavyopigana vya kuweka terror kwa watu sio vya kuvikubali hata kidogo.., hawafai kabisa hawa watu..., kama ni kupigana pigana na adui yako na sio kuua watu ambao hawana hatia
 
"Sheikh osama"!!!? sikujua osama alikua sheikh! hayo kando......marehemu "sheikh" osama alikubali kupitia vyombo vya habari kuwa alipanga mashambulio ya kibomu mjini Nairobi na Dar ...sielewi ulikuwa wapi wakati huo! ama ulikua unaugua ama kiziwi!.....kujibu swali lako...ndio maisha yote ni ya maana awe bibi wa kitali ama wakenya...mashambulio ya wakenya kwa mpaka wa ethiopia ni moja ya mashambulizi ya kikabila kati ya kabila zinazo randa randa kutafuta lishe kwa mifugo wao,hutendeka kila wakati...kati ya waturkana kenya,karamajoong uganda merile ethopia hatuwezi linganisha na upuzi alshabaab inafanya.

Uwache chuki ya kidini ,hatushambulii alshabaab sababu ni waislamu..la! uisilamu ni dini ya amani..lakini kuua watu kwa jina la kidini lazima ikomeshwe..awe muisilamu,mukristo ama wa dini yeyote......somalia ni gombe la magaidi na upende usipende lazima alshabaab itamalizwa.Una kaa wewe ni sympathizer wa alshabaab lakini pole tega masiio tu.

Umetaja jambo kuhusu uchumi wa kenya.......i cant answer you coz u have simply advertized your ignorance on the issue.. nenda usome kwanza....

Hii ndio dalili kwamba unachangia ukiwa na ulevi kichwani na ikiwa ndio msimamo wa serikali yako basi uhakika umepatikana kwamba kuna ajenda dhidi ya waislamu wa Somalia halafu itafuata ndani ya Kenya na kwengine Afrika mashariki.
Mimi nilitaraji ikiwa kifo ni kibaya basi yeyote anayesababisha ashughulikiwe kisheria; kumbe tatizo ni pale muuwaji anapokuwa Alshabaab tu.Inatosha kutoa jeshi zima kumtafuta muuwaji ambaye wala hajulikani alipo.Zaidi ni kwamba wala si mauwaji bali ni utekaji nyara tu kama ni kweli..........Wapuuzi wakubwa,Yaa Allah! wape uwezo wa ajabu Alshabaab kuzima ujinga wa Kenya kwa faida ya waislamu wa Afrika Mashariki na kati.
 
hii vita ngumu sana ..lakini Kenya they dont have any mEans else......
f$%^$%$ SOMALIZ
 
Vijiweni Nairobi watu mchecheto
*Gumzo la kwenye mikahawa ni kuhusu Al-Shabaab
*Wengine wanaunga mkono maamuzi ya serikali na wengine wanapinga
*Wingu la uoga na wasiwasi latanda jijini Nairobi

Kenyan fears over Somalia al-Shabaab mission

Kenyans gathered in Nairobi's tea-shops during their lunch-hours on Tuesday watched the television news with a mixture of wonder and anxiety.
ken_2030397c.jpgKenyan troops are continuing their advance into Somalia Photo: EPA
By Mike Pflanz, Nairobi
4:35PM BST 18 Oct 2011

The 1pm bulletin showed images of Kenyan tanks and troops speeding towards the Somali border in the country's first such aggressive military offensive since it became independent from Britain in 1963. No-one among them denied that the goal – to disrupt the activities of al-Shabaab, Somalia's Islamist insurgents – was worthwhile.

But several pointed out that the African Union, with 9,000 Ugandan and Burundian peacekeeping troops, had taken almost four years to push al-Shabaab fighters out of the contained confines of Mogadishu, Somalia's capital. This new military mission into the empty wastes of southern Somalia – with fewer than 1,600 troops as yet untested on the battlefield – is a far harder undertaking.

There is also mounting criticism that the aims of the offensive – ostensibly to create a buffer zone free of the Islamists over the border from Kenya – are too vague to allow swift resolution.

At the same time, the threat to those people sitting eating their lunch on Tuesday, and Nairobi's four million other residents, has suddenly become much graver.

Al-Shabaab has already shown it can attack outside its borders. It killed 76 people watching the World Cup final in two pubs in Uganda last year.

Many now wonder how long it will be until Kenya's capital suffers its first terror attack since the US embassy bombings 13 years ago.

The Telegraph
 
And if kenya is unstable how stable will tanzania be.Maybe muguki will start raiding Zanzibar and kidnapping the tourists.Tumia akili bana.
 
Back
Top Bottom