Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
- Thread starter
-
- #201
The strength of an army does not always depend on the size of the budget!Wewe acha kichekesho!!! Budget ya jeshi ni chini ya us$ 20m kwa mwaka, kisha uwe na strong army!!!!!!
This is utter rubbish! Tanzania doesn't need Kenya to survive. However, it is Kenya that need Tanzania in many ways.
Kenya decided to go into war on behalf of the West fine, let them execute it how clever they are going to do it that is a big question. A grand US army style incursion by a third world country will never work in Somalia. Cant you query your feeble memory why the US army chose to use drones instead?...remember operation called Black Hawk down?
mbona hulalamiki konyi akipigwa?............. Wewe hujui kuwa Kony ni wakutengeneza !? Savimbi yuko wapi ? alitengenezwa na nani na akasumbua miaka yote ?
Here we are, back to square one.Ni wazi kwa uandishi huu hujaipitia ile thread ukajiridhisha ugaidi wa US.
Kule kuna ushahidi wa CIA kutengeneza fake videos za Osama.
Kama ni mind control basi hili wamefanikiwa kwako mkuu.
Pia hizo red, sina uhakika kama tunafahamiana. Phobic?. Hilo nakuachia mwenyewe.
Lakini kwa wote wanaoshabikia Kenya kwenda "kumtwanga " Al shabab wanashindwa kuelewa kuwa Somalia kuna serikali iliyo na backing ya AU na (international community) na kuna vikosi vya AU ambavyo vinapigana na Al shabaab. Kenya wangeingia mazungumzo na hii serikali na wao kupeleka vikosi vyao kuunga mkono ile serikali iliyopo katika kuishughulikia Al shabaab.
Kenya kwa kwenda kivyake ni kuwa inaivamia Somalia na kupigana na kikundi ambacho hakifungwi na sheria zozote au hakijali matokeo ya matendo yao.
Uganda na Kenya wana nafasi ya kuwaadabisha Al shabaab kupitia serikali ya Somalia na sio kwenda kila mmoja na operations zao. Hili ni kosa watakalolijutia kama US na NATO wanavyojutia kujipeleka Afghanistan. Wataifanya hali ya Somalia kuwa more complicated.
Tukumbuke, Huyu kiongozi wa serikali ya Somalia alishafanikiwa kuiweka Somalia katika kuelekea utulivu, lakini tunaelewa nini kilitokea. On the second thought, "international community" waliamua kumrejesha madarakani. Ilisemwa yeye ni muislamu wa siasa kali lakini baada ya kumuondoa ndio wamekuja hao siasa kali na sasa kila mtu anapiga mayowe na kufurahia kuongeza utata na kuifanya Somalia kuwa tete zaidi.
Hata hivyo, yanakuja na hapa kwetu.Tujitayarishe.
Nenda zako!.Mpaka leo unaamini kwamba hayo mashambulio yalifanywa na marehemu sheikh Osama.Hujajua tu kwamba ni vitimbi vya Amerika ambayo haina huruma na hata raia wake inapotaka sababu ya kuingia vitani.
Halafu nikuulize hivi bibi wa kitalii ni bora sana kuliko maisha ya wakenya wa kawaida?.Mbona hamukuingia vitani wakati askari wa Ethiopia walipovuka mpaka na kuingia Kenya wakaua watu kadhaa.Papo hapo inakuwa na maana kuingia vitani kutafuta watalii.Hizi zote ni sababu za uongo kuhusiana na nia ya kuingia nchi ya kiislamu ya Somalia.
Ingekuwa utalii ni kitu cha maana basi wakenya wangekuwa na nafuu kimaisha kuliko wenzao wa nchi za jirani.Ukweli wakenya ndio maskini zaidi na wanaishi maisha machafu huwezi kuamini.Uchumi wa Kenya sijui nani anayedhibiti au tuseme watalii huja nao na kuondoka nao.
Wakenya wajinga kweli! wakotayari kufa kwa ajili ya raia wa 4 wa Ulaya!
haya wasubiri faida ya ujinga wao.
What's on Man's Mind:eyebrows:You are entitled to your own opinions. I may sound nuts, but I once again stand by my statement based on the economic facts: If Kenya goes down, so does Tanzania, Uganda and the rest of EAC.
Thanks and be blessed!!
members of somali military forces tighten the security of mogadishu on october 15, 2011 after joint somali military and au peacekeeping forces forced al-shabaab to withdraw from the city .
Kwa hivyo Alshabaab 5-Kenya 0 mwanzoni tu mwa mchezo.ALLAAHU AKBAR.Hii ndio tumeshinda tuki ipost kila saa,, ni mashujaa watano wamefariki. good day
Wameanza!
Al Shabaab bomb explodes in Somalia near Kenya ministers meeting
Oct 18
Posted by Joseph Kariuki
Four people have died after a suicide bomb exploded in Mogadishu near where Kenya Foreign Affairs minister and Defence minister were holding a meeting with Somalia officials. The bomb exploded at the ministry of foreign affairs probably targeting the Kenyan ministers.The ministers, Moses Wetangula and Defence Yusuf Hajj had earlier held talks with President of Transitional Federal Government of Somalia.
It is still not known whether the ministers were caught in the line of fire. The Kenyan ministers and TGF discussed ways of cooperating with the TGF government to flash out the Al Shabaab rebel group.
TGF government has already captured rebel held towns of Qoqaani, Dhoobley, Afmadow, Taabto and Diif with the help of Kenya military.
Some Muslim leaders sympathetic to Al shabaab in Somalia have already declared a Jihad against the Kenyan army that has invaded the ‘holy'. Al shabaab has also threatened a suicide attack against Nairobi for entering into Somalia
Karizmwangi.wordpress
dah !!! Cheki mkanda wa risasi huo alafu chini kapiga viatu vya wazi... Nawakubali sana hawa hehehehehe!
"Sheikh osama"!!!? sikujua osama alikua sheikh! hayo kando......marehemu "sheikh" osama alikubali kupitia vyombo vya habari kuwa alipanga mashambulio ya kibomu mjini Nairobi na Dar ...sielewi ulikuwa wapi wakati huo! ama ulikua unaugua ama kiziwi!.....kujibu swali lako...ndio maisha yote ni ya maana awe bibi wa kitali ama wakenya...mashambulio ya wakenya kwa mpaka wa ethiopia ni moja ya mashambulizi ya kikabila kati ya kabila zinazo randa randa kutafuta lishe kwa mifugo wao,hutendeka kila wakati...kati ya waturkana kenya,karamajoong uganda merile ethopia hatuwezi linganisha na upuzi alshabaab inafanya.
Uwache chuki ya kidini ,hatushambulii alshabaab sababu ni waislamu..la! uisilamu ni dini ya amani..lakini kuua watu kwa jina la kidini lazima ikomeshwe..awe muisilamu,mukristo ama wa dini yeyote......somalia ni gombe la magaidi na upende usipende lazima alshabaab itamalizwa.Una kaa wewe ni sympathizer wa alshabaab lakini pole tega masiio tu.
Umetaja jambo kuhusu uchumi wa kenya.......i cant answer you coz u have simply advertized your ignorance on the issue.. nenda usome kwanza....