Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

haha...(am suspending rules of engagement but briefly) how does it feel to be on the receiving end, nkt!!...wats the nikune shit u trying to propose, DUDE!! tema hiyo mate, ua msemo sounds so gay. Rearrange ua thots and engage, i.e. if u got anything to do with combat, alshabaab or somalia. READ TITLE.
Ok, now I think you start to understand who you are dealing with!
 
BBC LONDON
LONDON, UK
OPERATION LINDA NCHI
17-DECEMBER- 2011

KENYA'S MILITARY THREATENS AIR STRIKES DEEP INTO SOMALIA

Kenya's army has vowed to pursue Islamist al-Shabab insurgents deep inside southern Somalia with air raids.

Kenya sent troops into Somalia in October, accusing the al-Qaeda-linked group of abducting foreigners from its soil - charges denied by the militants.

Kenyan forces are in three locations in southern Somalia and have made few territorial advances since deploying.

But military spokesman Col Cyrus Oguna said their attacks would "never relent" until "Kenya feels safe".

Some analysts have suggested the Kenyan government wants to establish a buffer zone along its border with Somalia.

Al-Shabab, which controls large parts of central and southern Somalia, has said it views the presence of Kenyan troops in southern Somalia as an act of war.

The Islamist militants have been battling the forces of the UN-backed government, which controls the capital, Mogadishu, thanks to the 9-700-strong African Union force in the city.

Last week, Kenya agreed that its forces in Somalia would join the AU operation.

Col Oguna said in the areas that Kenyan had occupied pursuing a policy of "pacification", which included the provision of humanitarian assistance.

"Pacification here is tedious, it's painstaking and it's actually time-consuming. But once we are certain that we have pacified the areas sufficiently enough, we'll move forward," the military spokesman said.

READ MORE source: BBC News - Kenya's military threatens air raids deep into Somalia
 
Askari wa Kenya "hawawaoni" wanamgambo wa al-Shabaab!

Kenya marches into Somalia but can't see the enemy
By KATHARINE HOURELD | AP – Sat, Dec 17, 2011.
b16f0.jpg
BUR GARBO, Somalia (AP) - Kenyan troops marched into this decaying Somali fishing village two months ago, but the al-Qaida-linked militants they came to hunt are nowhere to be seen.

The Kenyan military says it's getting ready to push forward with its offensive against the al-Shabab insurgents, who are blamed for attacks on Kenyan soil including tourist kidnappings.

For now, though, the soldiers spend their days among ramshackle huts and along the sandy shoreline without cover or body armor.

"The more they delay, the more time al-Shabab has to prepare. They have already been making strong propaganda to make people afraid," Somali government spokesman Abdirahman Omar Osman said. "The confidence of people that al-Shabab will be defeated is dying down."

The town of Bur Garbo is only 60 miles (100 kilometers) away from Kismayo, the insurgency's main stronghold. Residents report that al-Shabab militants already are digging trenches and tunnels around another strategically located town in the area.

But the militants in Bur Garbo have retreated to heavily wooded banks across a creek, where they occasionally exchange potshots across the river with the Kenyan soldiers.

"We haven't really seen much of the enemy," said the soldier in charge of the village, Maj. Solomon Wandege. "But we know they are there and we are on our guard."

Fuatilia habari yote hapa!

Yaani hawa jamaa wanafikiria wamekwenda kupunga upepo pwani ya Somalia?
 
Nyie mmeenda vitani dhidi ya alshabab halafu mnaanza kufuata ushauri wa Uganda ina maana vita imewashinda sasa mnataka kubadili shughuli na kuanza kulinda amani chini ya majenerali wa Uganda. .

Sikiza, Lengo kuu la KDF kuingia msituni somalia kupigana, ni kuwaondoa kundi haramu la wanamgambo wa alshabaab ambao kama vile vyombo vya habari zimeripoti, ni kwasababu ya visa vya utekaji nyara wa watalii na wafanyi kazi wawili wa uraia wa Uhispania wa shirika la msaada nchini Kenya. Ni kweli kwamba Meles na kundi lake la Jeshi Ethiopia waliingia kwa kishindo nchini Somalia na wakaweza kuwa sambaratisha ICU (somali council of islamic courts) katika mji Mkuu wa mogadishu kwa wiki mbili jinsi walivyo sema. Lakini wewe kama uko makini na uliona kilichotendeka baadaye, Ethiopia walikutana na maadui wegine, Alshabaab, na kupigana na wanamgambo hao wasiweze kuwahimidi, maana Ethiopia walishindwa. Mwishowe walitimuliwa mbio kutoka somalia bila kutimiza lengo lao kuu.

Umezuwa wazo zuri mno ya kujadili, kwamba KDF wako km 17 kutoka kwa wanamgambo hao, ingali jeshi inashindwa kuwaangamiza kundi hilo haramu. Tukipiga darubini utaona kuwa ubabe wao (Ethiopia), ulileta kuzaliwa kwa kundi haramu la alshabaab. Ujasiri huo wa vita haukuwaletea wakazi wa Somalia suluhisho, bali iliwaongezea jangaa lingine kubwa la njaa, maana alshabaab waliwafukuza shirika za misaada huku wakazi wakifa kwa njaa na magonjwa. Shida nyingine ilikuwa kuzorota kwa amani, maana alshabaab walileta kuundwa kwa sheria sugu za kiislamu za "sharia", hivyo kuwaweka mateka na kuwatesa wakazi wa somalia.

My Take on the above point:
Hawa vigogo wa vita (Ethiopia), ubabe wao haukuleta suluhisho nchini somalia, bali iliongeza shida chungu nzima. kama kuzorota kwa amani na kufanya wasomalia kuwa mateka wa alshabaab.

Ushauri wa kenya kujiunga na Amisom kulinda amani, sio ushauri wa kenya, ni ushauri wa IGAD (inter-governmental authority-development). Hebu tazama hii link na kuwa makini na usome utajua ni IGAD sio Kenya, tafadhali! http://www.securitycouncilreport.org/site/pp.aspx?c=glKWLeMTIsG&b=7886221&printmode=1

Mengi kuhusu IGAD itapatikana hapa
http://en.wikipedia.org/wiki/IGAD

Kenya, kuligana na Chief of defense forces wa KDF Mj. Gen Julius Karangi, alisema the misson will be completed as started. Ikiwa KDF itajiunga na AMISOM, ni wakati shughuli za kuwasambaratisha alshabaab itakapokamilika. Hata kama TFG wanapigana hadi kifo, ni kwa manufaa ya nchi yao wenyewe, kuleta ukombozi kwa nchi yao ambayo imekuwa mateka chini ya kundi haramu la alshabaab. Maisha na shughuli yao wasomalia itaendelea kama kawa...

Just remove the blurred picture you have about Kenya in this whole issue of the Somalia issue & you will see it is for the greater benefit of the nation of somalia in general to get rid of the hooligans & terrorists.
 
Wakati huo TFG ilibaki Baidoa tu lakini Ethiopia wakasambaratisha ICU ndani ya wiki mbili na kuiteka Mogadishu na mpaka leo hatujasikia tena kitu kinaitwa ICU pale somalia.

Sasa alshabab ikaibuka lakini sio kitisho kwa Ethiopia
ila sasa ni kitisho kwa kenya maana wanawashambulia mpaka ndani ya nchi yenu, na nyie mmetangaza vita na alshabab cha ajabu mpaka sasa bado mnajikanyaga miezi miwili imeshapita maana yake mmefeli japo mtakataa.

kwa nchi dhaifu kama somalia mnaweza mkakaa hata miaka ishirini hakuna atakayewauliza lakini kitendo cha mpaka sasa kushindwa kuteka maeneo yote ya alshabab inaonesha mlivyo dhaifu, mnaposingizia mvua inamaana KDF haina wataalam wa hali ya hewa ambao wangewashauri aina ya vifaa vya kutumia wakati wa mvua na kama mmenunua vifaa kama kasuku kwanini msisubiri kiangazi ndo muanzishe vita? .

Hawa Wasomalia ambao unasema ni dhaifu, sitakuelekeza mbali. Unakumbuka "operation-blackhawk-down" 1993, Wanjeshi wa Marekani kumi na wanane walisambaratishwa na hawa unaowaita wasomalia dhaifu.

Halafu, ndege mbili za kivita za "black hawk" zikasambaratishwa zikiwa angani na hawa hawa watu dhaifu. Ikiwa Alshabaab si tisho kwa Ethiopia, mbona hivi sasa kawatuma majeshi yao nchini somalia?

Hata hivyo, jua Ethiopia hawakushinda vita hivyo vya mogadishu dhidi ya ICU. Ama kweli, kama wangeshinda, Amisom ikiongozwa na Waganda hawangekuwa humo Mogadishu wakilinda amani.

Jeshi la KDF haininui vifaa kama "kasuku". vifaa hivyo ambavyo jeshi inanunua ni vya kujilinda kutokana na adui. Kama nilivyo sisitiza awali, this is more than a physical warfare.
 
Sikiza, Lengo kuu la KDF kuingia msituni somalia kupigana, ni kuwaondoa kundi haramu la wanamgambo wa alshabaab ambao kama vile vyombo vya habari zimeripoti, ni kwasababu ya visa vya utekaji nyara wa watalii na wafanyi kazi wawili wa uraia wa Uhispania wa shirika la msaada nchini Kenya...
Sidhani kama hiyo ndio sababu halisi. Kwanza hao al-Shabaab wameshakataa kwamba sio wao waliowateka hao watalii etc. Kama al-Shabaab wangekuwa wamefanya hivyo wasingechelewa kutangaza kwa kishindo kwa sababu kama inavyofahamika hawa jamaa wanapenda kujisifia kila wafanyapo uharamia.

Uvamizi wa Somalia ulishapangwa miezi kadhaa kabla ya matukio ya utekaji nyara. Hicho kilikuwa ni kisingizio tu. Hata ukisoma dondoo za Wikileaks utaona wamarekani wanadai waliwashauri wakenya kutokutekeleza huo mpango wa uvamizi. Hayo yaandikwayo na vyombo vya habari ni propaganda za kivita. Lazima kutakuwepo na sababu nyingine za kimsingi za kuvamia Somalia ambazo wanasiasa wa Kenya wanazijua lakini wamezificha!
 
Policeman dies, two others injured in Hagadera blast
By Cyrus Ombati. 19. 12. 2011

A police officer was killed and two others injured in yet another explosion planted by Al Shabaab militants’ sympathisers at the Hagadera refugee camp, North Eastern.

The explosion, which had been planted on the road, hit a vehicle that was carrying police officers on patrol within the camp killing one.

Witnesses said the vehicle was a wreck after the 12-noon incident. Police said the explosive had been planted on the road and went off when the landcruiser stepped on it.

"We have lost an officer and two are injured. No arrest has been made so far but officers are investigating it," said area police boss Leo Nyongesa.

The camp is among five that hold close to 450,000 refugees from Somalia and there are 220 officers manning it. The incident is the latest to target security agencies in the area in strings of attacks that have happened since October.

At least ten officers have died in the attacks that are being orchestrated sympathisers of the Al Shabaab militants.

This happened four days after four people were injured in two separate grenade attacks on two restaurants in Garisa town on Thursday night.

The Standard
 
Sidhani kama hiyo ndio sababu halisi. Kwanza hao al-Shabaab wameshakataa kwamba sio wao waliowateka hao watalii etc. Kama al-Shabaab wangekuwa wamefanya hivyo wasingechelewa kutangaza kwa kishindo kwa sababu kama inavyofahamika hawa jamaa wanapenda kujisifia kila wafanyapo uharamia.

Uvamizi wa Somalia ulishapangwa miezi kadhaa kabla ya matukio ya utekaji nyara. Hicho kilikuwa ni kisingizio tu. Hata ukisoma dondoo za Wikileaks utaona wamarekani wanadai waliwashauri wakenya kutokutekeleza huo mpango wa uvamizi. Hayo yaandikwayo na vyombo vya habari ni propaganda za kivita. Lazima kutakuwepo na sababu nyingine za kimsingi za kuvamia Somalia ambazo wanasiasa wa Kenya wanazijua lakini wamezificha!

Serikali ya marekani walikataa na kupinga wazi wazi kuwa haina lolote linlohusiana na oparesheni ya kenya nchini Somalia. Na kama ni hivyo, put links here to back up your claims. Website ya wikileaks is a propaganda website, jua hivyo. Somali pirates or kidnappers are alshabaab. kwanini usiangmize magaidi ikiwa wanaingia kenya kutekeleza maovu. That is quite ordinary
 
Ok, unayo haki ya kuamini kile uaminicho. Inaonekana umesoma mchango wangu kwa papara. Nilichosema ni kwamba "wamarekani wanadai waliwashauri wakenya kutokutekeleza huo mpango wa uvamizi" na sio kwamba waliwashinikiza wakenya waingie vitani. Wakati mwingine tuliza akili ili upate kuelewa!

And when you claim that Wikileaks site is a propaganda website can you please put links here to back up your claims?
 
Sikiza, Lengo kuu la KDF kuingia msituni somalia kupigana, ni kuwaondoa kundi haramu la wanamgambo wa alshabaab ambao kama vile vyombo vya habari zimeripoti, ni kwasababu ya visa vya utekaji nyara wa watalii na wafanyi kazi wawili wa uraia wa Uhispania wa shirika la msaada nchini Kenya. Ni kweli kwamba Meles na kundi lake la Jeshi Ethiopia waliingia kwa kishindo nchini Somalia na wakaweza kuwa sambaratisha ICU (somali council of islamic courts) katika mji Mkuu wa mogadishu kwa wiki mbili jinsi walivyo sema. Lakini wewe kama uko makini na uliona kilichotendeka baadaye, Ethiopia walikutana na maadui wegine, Alshabaab, na kupigana na wanamgambo hao wasiweze kuwahimidi, maana Ethiopia walishindwa. Mwishowe walitimuliwa mbio kutoka somalia bila kutimiza lengo lao kuu.

Umezuwa wazo zuri mno ya kujadili, kwamba KDF wako km 17 kutoka kwa wanamgambo hao, ingali jeshi inashindwa kuwaangamiza kundi hilo haramu. Tukipiga darubini utaona kuwa ubabe wao (Ethiopia), ulileta kuzaliwa kwa kundi haramu la alshabaab. Ujasiri huo wa vita haukuwaletea wakazi wa Somalia suluhisho, bali iliwaongezea jangaa lingine kubwa la njaa, maana alshabaab waliwafukuza shirika za misaada huku wakazi wakifa kwa njaa na magonjwa. Shida nyingine ilikuwa kuzorota kwa amani, maana alshabaab walileta kuundwa kwa sheria sugu za kiislamu za "sharia", hivyo kuwaweka mateka na kuwatesa wakazi wa somalia.

My Take on the above point:
Hawa vigogo wa vita (Ethiopia), ubabe wao haukuleta suluhisho nchini somalia, bali iliongeza shida chungu nzima. kama kuzorota kwa amani na kufanya wasomalia kuwa mateka wa alshabaab.

Ushauri wa kenya kujiunga na Amisom kulinda amani, sio ushauri wa kenya, ni ushauri wa IGAD (inter-governmental authority-development). Hebu tazama hii link na kuwa makini na usome utajua ni IGAD sio Kenya, tafadhali! http://www.securitycouncilreport.org/site/pp.aspx?c=glKWLeMTIsG&b=7886221&printmode=1

Mengi kuhusu IGAD itapatikana hapa
http://en.wikipedia.org/wiki/IGAD

Kenya, kuligana na Chief of defense forces wa KDF Mj. Gen Julius Karangi, alisema the misson will be completed as started. Ikiwa KDF itajiunga na AMISOM, ni wakati shughuli za kuwasambaratisha alshabaab itakapokamilika. Hata kama TFG wanapigana hadi kifo, ni kwa manufaa ya nchi yao wenyewe, kuleta ukombozi kwa nchi yao ambayo imekuwa mateka chini ya kundi haramu la alshabaab. Maisha na shughuli yao wasomalia itaendelea kama kawa...

Just remove the blurred picture you have about Kenya in this whole issue of the Somalia issue & you will see it is for the greater benefit of the nation of somalia in general to get rid of the hooligans & terrorists.
Kwanza ondoa mtazamo kuwa mie nina picha mbaya kwa kenya, kitu kimoja nikufafanulie ni kuwa Kenya na Ethiopia zina malengo tofauti kuelekea Somalia. Ujue kitu kimoja kuwa Ethiopia imekuwa imechangia sana kuisambaratisha Somalia sababu kubwa ni jimbo la Ogaden huko Ethiopia, bila shaka unajua kuwa Ethiopia ilipigana vita virefu na Somalia juu ya Ogaden. Baada ya vita Ethiopia ilijiwekea malengo kuwa haitaruhusu Serikali yoyote itakayoendelea kudai kuwa Ogaden ni sehemu ya somalia iwepo Mogadishu. Na utakubaliana nami kuwa Serikali yoyote yenye nguvu ya somalia itaendelea kudai Ogaden, kwahiyo matokeo yake ni kuwa Ethiopia inafanya kazi ya kuidistabilize Somalia kwa ajili ya usalama wake. Hapa ni tofauti na malengo ya Kenya ambayo ni kuifanya Somalia iwe na amani ina maana mnaposhindwa sasa kuleta amani maana yake mmeshindwa. Nadhani unanielewa sasa kwanini nasema Ethiopia ilitimiza malengo yake, nyie mnasema Ethiopia imeongeza matatizo kwasababu mnataka amani lakini mngejiuliza hivi ni kwanini Ethiopia iliingia kusambaratisha ICU wakati ICU ilikuwa imeanza kuidhibiti vizuri Somalia? hata kama walikuwa wanatumia sharia za kiislam siyo shida kwa nchi nyingine maana kwanza wasomali wanajifanya wana uchungu na uislam kwa hiyo sharia ni moja ya faida ambazo mtu huvuna anapoupigani uislam. Nakubali kuwa alshabab iliibuka wakati Ethiopia iko somalia lakini ujue kuwa alshabab sio kitisho kwa ethiopia mpaka pale Alshabab itakapokuwa imeichukua mogadishu na kuunda serikali. Hata kama msingeenda nyie Ethiopia ingeingia kuisambaratisha alshabab kama alshabab ingefikia kiwango cha kuunda serikali.
Kwenu mambo ni tofauti maana kilichofanya nyie muone umuhimu wa amani ktk somalia ni kuibuka kwa sudan kusini ambayo sasa inahitaji kutumia pwani ya kenya kusafirishia mafuta, nyie mmeona hamuwezi kujenga bandari kubwa Lamu bila kuimarisha amani ya kusini mwa somalia. Ndo maana mkaanza kujiandaa kuingia somalia na kuteka watalii ni kisingizio cha kuingia somalia na inawezekana mlikuwa mnawateka nyie wenyewe maana si kawaida alshabab wafanye kitu halafu wakatae wakati wao hujisikia sifa kufanya upumbavu. Sasa mafanikio yenu kuisambaratisha alshabab na kuleta amani ili muweze kutimiza malengo yenu.
 
Hawa Wasomalia ambao unasema ni dhaifu, sitakuelekeza mbali. Unakumbuka "operation-blackhawk-down" 1993, Wanjeshi wa Marekani kumi na wanane walisambaratishwa na hawa unaowaita wasomalia dhaifu.

Halafu, ndege mbili za kivita za "black hawk" zikasambaratishwa zikiwa angani na hawa hawa watu dhaifu. Ikiwa Alshabaab si tisho kwa Ethiopia, mbona hivi sasa kawatuma majeshi yao nchini somalia?

Hata hivyo, jua Ethiopia hawakushinda vita hivyo vya mogadishu dhidi ya ICU. Ama kweli, kama wangeshinda, Amisom ikiongozwa na Waganda hawangekuwa humo Mogadishu wakilinda amani.

Jeshi la KDF haininui vifaa kama "kasuku". vifaa hivyo ambavyo jeshi inanunua ni vya kujilinda kutokana na adui. Kama nilivyo sisitiza awali, this is more than a physical warfare.
Pamoja na hizo kumbukumbu bado kubaliana nami kuwa Somalia ni dhaifu sana. Ktk hizo kumbukumbu zako hakuna mahali umeonesha kama kulikuwa na jeshi rasmi la Somalia, mwaka 1993 ni vikundi vya kina Aideed na Mahdi ambavyo vilikuwa hata havina kombati, walikuwa wanavizia tu kwahiyo kuwauwa wamarekani haimaanishi wasomali walikuwa na nguvu kuwazidi wamarekani.
Kuhusu Ethiopia ukumbuke kuwa ni kenya na wanachama wa IGAD walioipigia magoti Ethiopia iingie kusaidia somalia japo mpaka sasa Ethiopia haijasema imeshapeleka majeshi zaidi ya habari za kwenye vyombo vya habari.
Kuhusu kushinda vita somalia, kama tunakubaliana kuhusu lengo la Ethiopia ktk somalia basi utakubali kuwa Ethiopia imeshinda, lakini kama unadhani Ethiopia inataka kuiona somalia ikiwa imara basi utadhani pia imeshindwa.
 
Sidhani kama hiyo ndio sababu halisi. Kwanza hao al-Shabaab wameshakataa kwamba sio wao waliowateka hao watalii etc. Kama al-Shabaab wangekuwa wamefanya hivyo wasingechelewa kutangaza kwa kishindo kwa sababu kama inavyofahamika hawa jamaa wanapenda kujisifia kila wafanyapo uharamia.

Uvamizi wa Somalia ulishapangwa miezi kadhaa kabla ya matukio ya utekaji nyara. Hicho kilikuwa ni kisingizio tu. Hata ukisoma dondoo za Wikileaks utaona wamarekani wanadai waliwashauri wakenya kutokutekeleza huo mpango wa uvamizi. Hayo yaandikwayo na vyombo vya habari ni propaganda za kivita. Lazima kutakuwepo na sababu nyingine za kimsingi za kuvamia Somalia ambazo wanasiasa wa Kenya wanazijua lakini wamezificha!

Uvamizi huo haukua umepangwa. Uvamizi huo ulifanywa kwa sababu ya shughuli za magaidi wa Alshabaab ndani na karibu na mipaka ya kenya na katika pwani ya bahari. Ikiwa Kenya ingalikuwa na joto sana na Alshabaab, believe me, tungekuwa wa kwanza kuingia humo hata kabla ya Amisom na Ethiopia.
 
Pamoja na hizo kumbukumbu bado kubaliana nami kuwa Somalia ni dhaifu sana. Ktk hizo kumbukumbu zako hakuna mahali umeonesha kama kulikuwa na jeshi rasmi la Somalia, mwaka 1993 ni vikundi vya kina Aideed na Mahdi ambavyo vilikuwa hata havina kombati, walikuwa wanavizia tu kwahiyo kuwauwa wamarekani haimaanishi wasomali walikuwa na nguvu kuwazidi wamarekani.
Kuhusu Ethiopia ukumbuke kuwa ni kenya na wanachama wa IGAD walioipigia magoti Ethiopia iingie kusaidia somalia japo mpaka sasa Ethiopia haijasema imeshapeleka majeshi zaidi ya habari za kwenye vyombo vya habari.
Kuhusu kushinda vita somalia, kama tunakubaliana kuhusu lengo la Ethiopia ktk somalia basi utakubali kuwa Ethiopia imeshinda, lakini kama unadhani Ethiopia inataka kuiona somalia ikiwa imara basi utadhani pia imeshindwa.

The "dynamics" of this war Kibona ni tofauti sana ndugu yangu na vita vingine vilvyopiganwa zamani hapa afrika tuseme, mbali na somalia kuwa dhaifu. Tukisema "dhaifu" in the context of somalia tunamaanisha nini? Hebu nijibu, halafu nitaona kama tuko katika ukurasa mmoja.
 
The Marxist view of war is that war is fought to be fought - feeding the capitalist infrastructure - rather than to be won.. no am just saying.. people will be billionaires after this non-starter..
 
Uvamizi huo haukua umepangwa. Uvamizi huo ulifanywa kwa sababu ya shughuli za magaidi wa Alshabaab ndani na karibu na mipaka ya kenya na katika pwani ya bahari. Ikiwa Kenya ingalikuwa na joto sana na Alshabaab, believe me, tungekuwa wa kwanza kuingia humo hata kabla ya Amisom na Ethiopia.
Kama haukupangwa mbona umesubiri kuzaliwa kwa Sudan kusini? Hapa usisingizie kuteka watalii maana hata sasa KDF hawasemi wanawatafuta mateka bali wanasema wanataka kusambaratisha alshabab, kutoa misaada ya kiutu na kuleta amani somalia.
 
By Cyrus Ombati
Tues 20th December 2011
Nairobi, Kenya
OPERATION LINDA NCHI
Location :NORTH EASTERN KENYA

Updated : 10: 00 Hrs EAT

EXPLOSION IN DABAAB, TWO SHOT IN GARISSA
An explosion believed to be a grenade occurred near a training centre in Ifo Dadaab on Tuesday morning. No injuries were reported but police are investigating the incident.

Meanwhile on Monday night, two people were shot and seriously wounded in Garissa town in what police believe is a new tactic being employed by Al-Shabaab militants' sympathisers in the area

The two, barbers, were shot at close range by gunmen who escaped without stealing anything from them.

Witnesses and police said the gunmen walked to the barbershop at about 8pm and shot the two in the chest and head before escaping on foot.

Police on Tuesday said the victims were admitted at a local hospital, and were in stable condition.

North Eastern PPO Leo Nyongesa said no arrest had been made but they are investigating the motive and those behind the attack.

The attack happened hours after a police officer was killed and two others injured in an explosion executed by a gang of Al Shabaab sympathisers at the Hagadera refugee camp, in North Eastern Kenya.

The injured officers are still in hospital in Garissa. Their colleagues have complained injured officers are abandoned in hospitals in the area. They want their superiors to intervene.

"These officers need to be airlifted to Nairobi for treatment but they have been abandoned here. It affects our morale," said an officer on the ground.

READ MORE source: The Standard | Explosion in Dadaab, two shot in Garissa in Dadaab, two shot in Garissa

'Enemy at the Gates' situation
 
The "dynamics" of this war Kibona ni tofauti sana ndugu yangu na vita vingine vilvyopiganwa zamani hapa afrika tuseme, mbali na somalia kuwa dhaifu. Tukisema "dhaifu" in the context of somalia tunamaanisha nini? Hebu nijibu, halafu nitaona kama tuko katika ukurasa mmoja.
Somalia ni wadhaifu kwasababu wana silaha dhaifu kulinganisha na nchi nyingine, wamekosa mafunzo rasmi ya kijeshi tangu mwaka 1991, hawana kabisa mfumo wa ujasusi kwa sasa. Walichonacho ni itikadi ya kiimani tu kwa sasa inayowafanya wawe tayari kujitolea maisha kirahisi zaidi kuliko majeshi mengine.
 
Kama haukupangwa mbona umesubiri kuzaliwa kwa Sudan kusini? Hapa usisingizie kuteka watalii maana hata sasa KDF hawasemi wanawatafuta mateka bali wanasema wanataka kusambaratisha alshabab, kutoa misaada ya kiutu na kuleta amani somalia.

Hiyo ni tukio tu, kwasababu ule mradi wa Lamu/S. Sudan transport corridor, tayari serikali ya Kenya ilikuwa ishaweka msingi wa kufanya ujenzi huo hata kabla ya mirindimo ya alshabaab kuzuka. Kuna maswala mengi haswa ya kihistoria ambayo yanaibua hisia nyingi, zinazotokana na shughulii zinazoendelea nchini somalia, iwe ni vita dhidi ya alshabaab au kulinda amani.

1.Kwa mfano, vita vya wenyewe-kwa-wenyewe tangu kuanguka kwa serikali rasmi ya Somalia imefanya kuja kwa wakambizi nchini Kenya kwa wingi. Serikali inawajibika kufanya majukumu yake ya kuleta amani katika mipaka yake.

2. Shughuli ya wakimbizi kuingia Kenya kwa wingi ni jambo ambalo utakubaliana nami imeshinda serikali ya Kenya. Inakadiriwa wakimbizi elfu tatu wanaingia nchini Kenya kila siku na wengine wakipenyea vichochoroni kuingia nchini bila idhini au stakabadhi, Mwishowe inaleta tishio kwa usalama wa nchi na wananchi, tena unakuwa mzigo kwa serikali.
 
Back
Top Bottom