Sikiza, Lengo kuu la KDF kuingia msituni somalia kupigana, ni kuwaondoa kundi haramu la wanamgambo wa alshabaab ambao kama vile vyombo vya habari zimeripoti, ni kwasababu ya visa vya utekaji nyara wa watalii na wafanyi kazi wawili wa uraia wa Uhispania wa shirika la msaada nchini Kenya. Ni kweli kwamba Meles na kundi lake la Jeshi Ethiopia waliingia kwa kishindo nchini Somalia na wakaweza kuwa sambaratisha ICU (somali council of islamic courts) katika mji Mkuu wa mogadishu kwa wiki mbili jinsi walivyo sema. Lakini wewe kama uko makini na uliona kilichotendeka baadaye, Ethiopia walikutana na maadui wegine, Alshabaab, na kupigana na wanamgambo hao wasiweze kuwahimidi, maana Ethiopia walishindwa. Mwishowe walitimuliwa mbio kutoka somalia bila kutimiza lengo lao kuu.
Umezuwa wazo zuri mno ya kujadili, kwamba KDF wako km 17 kutoka kwa wanamgambo hao, ingali jeshi inashindwa kuwaangamiza kundi hilo haramu. Tukipiga darubini utaona kuwa ubabe wao (Ethiopia), ulileta kuzaliwa kwa kundi haramu la alshabaab. Ujasiri huo wa vita haukuwaletea wakazi wa Somalia suluhisho, bali iliwaongezea jangaa lingine kubwa la njaa, maana alshabaab waliwafukuza shirika za misaada huku wakazi wakifa kwa njaa na magonjwa. Shida nyingine ilikuwa kuzorota kwa amani, maana alshabaab walileta kuundwa kwa sheria sugu za kiislamu za "sharia", hivyo kuwaweka mateka na kuwatesa wakazi wa somalia.
My Take on the above point:
Hawa vigogo wa vita (Ethiopia), ubabe wao haukuleta suluhisho nchini somalia, bali iliongeza shida chungu nzima. kama kuzorota kwa amani na kufanya wasomalia kuwa mateka wa alshabaab.
Ushauri wa kenya kujiunga na Amisom kulinda amani, sio ushauri wa kenya, ni ushauri wa IGAD (inter-governmental authority-development). Hebu tazama hii link na kuwa makini na usome utajua ni IGAD sio Kenya, tafadhali!
http://www.securitycouncilreport.org/site/pp.aspx?c=glKWLeMTIsG&b=7886221&printmode=1
Mengi kuhusu
IGAD itapatikana hapa
http://en.wikipedia.org/wiki/IGAD
Kenya, kuligana na Chief of defense forces wa KDF Mj. Gen Julius Karangi, alisema the misson will be completed as started. Ikiwa KDF itajiunga na AMISOM, ni wakati shughuli za kuwasambaratisha alshabaab itakapokamilika. Hata kama TFG wanapigana hadi kifo, ni kwa manufaa ya nchi yao wenyewe, kuleta ukombozi kwa nchi yao ambayo imekuwa mateka chini ya kundi haramu la alshabaab. Maisha na shughuli yao wasomalia itaendelea kama kawa...
Just remove the blurred picture you have about Kenya in this whole issue of the Somalia issue & you will see it is for the greater benefit of the nation of somalia in general to get rid of the hooligans & terrorists.