Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
so ...Taarifa za uhakika kwa mujibu VOA zinaeleza kuwa ubalozi wa Marekani nchini humo una hatihati ya kulipuliwa!
Jamani si hatari na hii na hii EAC yetu?
EAC yenu au yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so ...Taarifa za uhakika kwa mujibu VOA zinaeleza kuwa ubalozi wa Marekani nchini humo una hatihati ya kulipuliwa!
Jamani si hatari na hii na hii EAC yetu?
\jamani si hatari na hii na hii eac yetu?
wanahisi ni nani anataka kulipua?
fcku USA,hamna mpango wowote mnataka kujilipua wenyewe halafu muanzishe vita hapa EAC,JK vp umejiandaa? Nalog off
Gari lishawaka,tusubiri kukaliwa kimabavu na hawa wamarekani kwa kisingizio cha alshabab.,wakijaribu kufanya hivyo mie nitajitoa muhanga sintokubali kutawaliwa na binadamu mwenzangu mchana kweupe. Nalog offTujiandae tu kwa kukimbilia...
wanahisi ni nani anataka kulipua?
Hilo nalo neno!Wanajaribu kuhalalisha tu hiyo vita ya Kenya na Wasomali Alshaabib. Marekani wanajua Wasomali ndo threat kubwa kwenye kusafirisha vitu vyao kupitia pembe ya africa mashariki, kwa hiyo nilazima wajenge mazingira ya kuhalalisha vita inayoendelea saizi.
Vita nyingine inanukia hapa..
Al Shabaab....no..though they could be the reason after a war has been declared against them..who is behind this..................????????????
Al-Shaabab????????????????????????????