Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

Israel to help Kenya secure its borders


Kenya got the backing of the top leadership of the State of Israel in its war on Al Shabaab with President Shimon Peres and Prime Minister Benjamin Netanyahu declaring they will help Kenya in its struggles to secure its borders.

The two countries will later today (Monday) sign a memorandum of understanding for cooperation on matters of homeland security.
At separate meetings in Jerusalem with Prime Minister Raila Odinga and his delegation which includes Internal Security minister George Saitoti, the two Israeli leaders emphasized that Kenya is a critical ally whose stability means a lot to Israel and Africa.

Prime Minister Netanyahu accepted Mr. Odinga's invitation to visit Kenya early in 2012 as a statement of Israel's readiness to stand
Read more »
 
Kama Israel kila baya kunapotokea Duniani wamekuwa Kama jalala la kutupia kila aina ya taka hii ndiyo ubaya Wa kukaririshwa ubaya wote unatupiwa Nchi za magharibi na Israel
 
Hitler alisema, "waisrael ambao wamebaki watatoa jibu kwa nini nilikuwa nawaua kwa halaiki". Dunia ilipo sasa ni matokeo ya nguvu ya israel. Wao ndio wanaamua nini kifanyike na wakati gani.
 
Nawaonea huruma wakenya, wameingia vitani bila kupima uzito wa adui yake. SASA WANAKIMBIA HUKU NA HUKO KUOMBA MISAADA. Unajitangaza uanaume wakati nguvu zenyewe huna. Kwa mara nyingine nchi niliyotegemea iachane na omba omba inakwenda kupiga magoti tena kwa wageni. Leo wapo Israel, kesho watakwenda kwa baba zao waingereza, kesho kutwa kwa babu zao Wamarekani.

Afrika haitajifunza hata siku moja, ni juzi tu bill ya NATO kwa Libya ni $480 bilioni, haya tusubiri bili ya waisrael, waingereza na wamarekani kwa nchi ambayo inakabiliwa na njaa 'Kenya' baada ya miezi sita.

Wajinga ndio waliwao![/QUOTE

Zawadi ngoda wacha matusi wewe!! Waziri Mkuu Wa Kenya Raila Odinga yuko Israel kwa mkutano wa kibiashara na kuhiharifu serekali ya Israel jinsi kenya inavyoendelea na shughuli za kuleta amani na kuunda serekali ya kudumu Somalia,pia Kenya inatafuta kuungwa mkono wa kisiasa na nnchi za kiislamu.Hatutafuti msaada wa kivita..hapo tuko sawa vijana wetu wako gangari!!!.
Jambo la kushangaza ni kuwa ingawaje Tanzania ina watu werevu...-nafahamu hivyo kwa sababu nashirikiana na wengi wao kibiashara- Hii forum ime wavutia wapumbavu wengi kama wewe! mbona watutusi eti sisi wajinga ilihali vijana wetu wana sacrifice maisha yao kwa ajili yenu pia na chi zote za upembe wa afrika! raia wa kenya wamejitolea kuhatarisha maisha ya hata kilipuliwa na magurudedi za alshaabab kwa ajili ya usalama wenu pia..wajinga ndio nyinyi......Tuliingia Somalia kwa sababu tuna uwezo wa kupigana na kushinda vita hivyo na hatutoki Somalia hadi tuunde serekali ya kudumu huko....mutaropokwa kwa sababu hamuna akili..na itabidi tuvumilie upumbavu wenu kwa minajili ya usalama wenu pia....shame on you! Kenya si masikini kama nnchi zinazo tuzingira we have the cash because we work very hard..tafadhali tuheshimiane....next time check your notes before you parade your ignorance here!!! gd day
 
Naona PM wa kenya yuko Israel moja ya issue ni kuomba msaada wa namna ya kukabiliana na Al Shababy
My take:Naona sasa Kenya atakabiliana na maadui wengi kwa kuwatumia Israel ingawa Msaada toka uko ni dalili za kuwashinda hawa watu!
Source:TBC 20hrs news

Hayo ni maoni yako..we cannot and we will never ask for any military support,why should we!? when the defense ministry was allocated a lot of money in the last budget!!? you people like like gossiping ...some of you deep inside your hearts wish you were Kenyans..y all the malice,hate and envy!? How does it benefit you....you talk more about Kenya than even your own country...why do you make mockery of Kenyan's incursion in Somalia..if you were capable,why has Tanzania never taken the initiative of bringing peace in Somalia! have u ever contributed even one cent or solder to Amisom forces in Mogadishu!? remember there is a deficit of around 7million solders in Amisom forces......we welcome positive criticism but not jokes.....Burundi and Uganda with their small budgets have done their part and you!??..gossips gossips gossips.....nkt!!! for your info we have enough cash to complete this exercise and our boys are well trained to handle this alshabaab mess and any other that may arise..by the way we have only dispatched 2000 solders inside Somalia and despite the heavy rains and the humanitarian catastrophe in Somalia they r doing their work well.
 
s
hata mwezi bado öoh.... Nalog off

Washawasha,the only help we need form the international community is for humanitarian needs of Somalis in the liberated towns,this people are in need of water,food and medicine..our solders have been forced to share the little they have with the locals and offer clinical services..stop making jokes please, peoples lives are involved here....we need sensible contributions here.....based on what i read here.....Tanzania should declare intellectual poverty as a National Disaster.
 
vita ipo kama inataka kuwashinda wakenya-naona imekuwa mapema sana kwa wao kuomba msaada israel ukitegemea wanapata support ya usa na france
 
wakenya si wanafki vita mwezi haujaisha tayari washakimbilia kwa waisraeli
wee moyo unatujazia nafasi hapa na upupu wako
nyamaza au tulete al shabab wakulipue hapo
 
s

Washawasha,the only help we need form the international community is for humanitarian needs of Somalis in the liberated towns,this people are in need of water,food and medicine..our solders have been forced to share the little they have with the locals and offer clinical services..stop making jokes please, peoples lives are involved here....we need sensible contributions here.....based on what i read here.....Tanzania should declare intellectual poverty as a National Disaster.


Moyo hapo nilipo bold naungana na wewe uko sahihi kabisa sasa wewe patia sisi way forward maana maji yametufika shingoni
 
Jamaa, you are getting worked up over nothing. It also seems that most of you on this thread do not understand how international diplomacy works!
 
298263_10150283344671380_513536379_7462883_5097404_n.jpg

huyu mhindi wa bangladesh au kuala lumpur?
 
kama israel kila baya kunapotokea duniani wamekuwa kama jalala la kutupia kila aina ya taka hii ndiyo ubaya wa kukaririshwa ubaya wote unatupiwa nchi za magharibi na israel
wanatetea dini yao, imani katika dini yao inawaruhusu na inawataka kuwa hivyo.
 
Hitler alisema, "waisrael ambao wamebaki watatoa jibu kwa nini nilikuwa nawaua kwa halaiki". Dunia ilipo sasa ni matokeo ya nguvu ya israel. Wao ndio wanaamua nini kifanyike na wakati gani.
Nazi-ism is well and alive on planet earth.
 
Vita Si Lelemama Wawaache Wasomalia Wapiganie Nchi Yao al-shaaba ndio Peoples Power kama Hamjui wanapata support kubwa sna ndani ya somalia ila kuna mambo fulan fulan ndio wamekosea na pia nchi yenyewe ina njaa so hawathaminiwi na watu wa nje.

Kenya Mnali hilo mmelivaa Vita ya kupigana na watu wasiovaa Combat ni ngumu so wameona Obama kateseka na hali yake mbaya kasababisha hadi Peoples Power imeshaanza kujitokeza New York Hawaii na inaendelea States zinataka kujitenga au madai yao yatimizwe..
Bado kwetu Lowassa Keshaona Kikwete kafumba Macho na masikio kaziba Tutamhukumu Hata Gadaffi alijidai mwisho wakamsodoma.

Israel hawezi kujiingiza Somalia ndio kamuambia Odinga atamsapoti kwa kumpa mbinu za kulinda mipaka..

Israel yenyewe ipo roho juu juu sababu ya Iran na yupo Mbioni kumlipua ili apumue Huyu Amhadinejad Asili yake ni Myahudi lakini anawanyima Usingizi wayahudi wenzake
you need to undo your words and redo your research.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Utawala wa Kizayuni kuisaidia Kenya katika mashambulizi yake Somalia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
wanajeshi-kenya_somalia.jpg
Viongozi wa Kenya wamesema kuwa, utawala wa Kizayuni umekubali kuisaidia nchi hiyo katika kampeni zake za kijeshi za kukabiliana na wanamgambo wa ash Shabab nchini Somalia.
Hayo yamekuja baada ya Raila Odinga, Waziri Mkuu wa Kenya kutembelea Tel Aviv na kuwaomba viongozi wa utawala wa Kizayuni waisaidie nchi yake katika kampeni hizo.
Wakati huo huo wanamgambo wa ash Shabab wamesema kuwa, wapiganaji wake wamefanikiwa kuua wanajeshi 27 wa Kenya na kuteketeza gari la kijeshi la nchi hiyo lililokuwa na silaha.
Kenya iliivamia kijeshi Somalia mwezi uliopita kwa ajili ya kupambana na wanamgambo wa ash Shabab na kusisitiza kuwa itaendelea na mashambulizi yake hayo hadi itakapohakikisha kuwa, mipaka ya Kenya iko salama.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
define kizayuni!!
Ukichanganya na zako utaelewaga tuu!
 
Nawaonea huruma wakenya, wameingia vitani bila kupima uzito wa adui yake. SASA WANAKIMBIA HUKU NA HUKO KUOMBA MISAADA. Unajitangaza uanaume wakati nguvu zenyewe huna. Kwa mara nyingine nchi niliyotegemea iachane na omba omba inakwenda kupiga magoti tena kwa wageni. Leo wapo Israel, kesho watakwenda kwa baba zao waingereza, kesho kutwa kwa babu zao Wamarekani.

Afrika haitajifunza hata siku moja, ni juzi tu bill ya NATO kwa Libya ni $480 bilioni, haya tusubiri bili ya waisrael, waingereza na wamarekani kwa nchi ambayo inakabiliwa na njaa 'Kenya' baada ya miezi sita.

Wajinga ndio waliwao!

...hata kama huwapendi Israel or westerners atleast basi ongea ukweli kidogo sio kuja hapa na kuweka data za uwongo,hivi wewe unaijua $480 billion au unaongea tuu?hata vita ya Iraq na wanajeshi zaidi ya laki moja,warships,hundrelds of jet fighters,tankers etc na almost ten yrs hawakutumia hiyo pesa au ni close...sasa leo vita ya less than 6 month na ndege tuu bila wanajeshi unataka kutuambia ni $480billion...ACHENI UWONGO!
 
Back
Top Bottom