Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

yombayomba,unajua kitu inayoitwa military balance?na combat readness?tafadhali fanya research kwanza kabla hujacoment kitu kama hiyo,by the way nami ni mtanzania mzalendo
 
unaporundika wakenya kujibu hoja la mtu mmoja hauoni soni? Wakenya wanajiamini, infact kama washuku tazama vile watz wanavyojilinganisha na wakenya humu ndani. Hatuna tatizo, labda upeo wako wa kuelewa huwa mashakani.
Kama ni kweli mnajiamini mbona mmekuwa kama wakimbizi kwenye hili jukwaa? Hamuoni aibu?
 
Hapana Ndahani, hao jamaa wanajiandaa kupambana na jirani mmojawapo. Yafaa kuwa macho. Hizo helikopta za kisasa kabisa si bure. Usidhani watazitumia kuumizana wao kwa wao. Naamini kuna mipango kabambe dhidi ya jirani fulani. Funguka macho!

Kwahiyo wameanza mazoezi na Alshaab? Well, ngoja tuone. Ila naona kama wanapoteza resources zao. Somehow the forces would balance in secret or in open when it comes to neighbours. Hakuna kulala!!
 
Kudos Kenya.... Neighbours watch out!! Kwa EAC tunaweza azimana chumvi hata na silaha????
 
:lol::lol::lol:
Wanapigana na kikundi je ingekuwa nchi sijui ingekuwaje,hadi sasa hata Kismayu wameshindwa kuichukua na tukumbuke Marekani inawasaidia,Tanzania ni moto wamepigana nchi kibao hawa jirani zetu wao ni kwenda ''kulinda amani tu''ili wapate dola za UNO,waache wauziwe helikopta mitumba,alshabaab inawatoa m..i
 
:lol::lol::lol::lol:
 
Kama ni kweli mnajiamini mbona mmekuwa kama wakimbizi kwenye hili jukwaa? Hamuoni aibu?

sina hiari ya kujibu zaidi. Kenya ni nchi ya nne katika matumizi ya mtandao barani na sioni soni. kuwepo kwa wakenya hapa ni ishara tosha. 'Lets leave the thread to those interested in military aviation'.
 
Wewe ni limbukeni (mshamba)!
 
Alshababu kwa sasa, is becoming a virtual militia! wanapigana vita vya lelemama kwenye twitter account yao.
 
Mkuu haya mambo ni kumuomba Mungu awape Al Shabaab akili za kufikili kwamba kuwahua/kujeruhi watu/raia wasio na hatia ni dhambi. Ogopa sana kupigana na militia/guerrilla wasio vaa uniform - HIT and RUN tactics ni ngumu sana kuzi-contain, cha muhimu na raia wa Kenya kushikamana kwa kusahau tofauti zenu; mkifanikisha hilo Al Shabaab watapata wakati mgumu kutimiza malengo yao, mkijisahau na kuanza kuwaita kwamba ni Virtual Militia hilo linaweza kuwa-cost an arm and leg msidhalau chochote - any lead however crude may save your lives. Mimi ndio ushauri wangu.
 
Najua haya lakini tukitizama nia ya wanaoleta makala kama hii, hakuna uchangunuzi wanakusudia kufanya, na hata ukiangalia mtiririko wa posts vile zinavowekwa ndio utakuta hayana maana kumbe. Ni ligi tu inayobuniwa na wasioelewa kiini cha ugaidi na madhara yake AM. Nasikitika kuwa jukwaa la kenya limekuwa dumpsite. Ashante kwa ushauri wako mzuri, lakini naonelea tuchukue a pragmatic approach na hekima zote tulizopewa na mwenyezi Mungu kumaliza ugaidi. Hakuna kushindwa mpaka dhamira yako itakapolegea na kukubali kushindwa.

Swala la Somalia/Ugaidi isiwe tu ni kitu ambacho kitawekewa hema kwa muda mrefu bila suluhu ya kuleta amani ya kudumu. Tazama matatizo yote iliyokuwa sehemu za Namibia na na sasa kuna ustawi na maendeleo. Ilichukua shughuli ya mataifa mengine Africa na wakati huu wana amani, siyo kusema mataifa husika yalimsahau Mungu wakati huo.
 
Kumbe bado wapo? Kutishia hakusaidii waamue kwenda kulima tu wajue moja. Vita haina msaada
 
Najua haya lakini tukitizama nia ya wanaoleta makala kama hii, hakuna uchangunuzi wanakusudia kufanya, na hata ukiangalia mtiririko wa posts vile zinavowekwa ndio utakuta hayana maana kumbe. Ni ligi tu inayobuniwa na wasioelewa kiini cha ugaidi na madhara yake AM. Nasikitika kuwa jukwaa la kenya limekuwa dumpsite. Ashante kwa ushauri wako mzuri, lakini naonelea tuchukue a pragmatic approach na hekima zote tulizopewa na mwenyezi Mungu kumaliza ugaidi. Hakuna kushindwa mpaka dhamira yako itakapolegea na kukubali kushindwa.

Swala la Somalia/Ugaidi isiwe tu ni kitu ambacho kitawekewa hema kwa muda mrefu bila suluhu ya kuleta amani ya kudumu. Tazama matatizo yote iliyokuwa sehemu za Namibia na na sasa kuna ustawi na maendeleo. Ilichukua shughuli ya mataifa mengine Africa na wakati huu wana amani, siyo kusema mataifa husika yalimsahau Mungu wakati huo.

Well said - MKUU.
 
The Kenya Defence Forces (KDF) warplanes have bombed and destroyed Al-Shabaab training camp in Somalia in retaliation for September's terror attack on Westgate Mall, where 70 people were killed and scores wounded by terrorists.

Speaking yesterday, KDF Spokesman, Colonel Cyrus Oguna, noted that the Kenyan drone strike on Thursday killed several Al-Shabaab terrorists destroying the training camp where Al-Shabaab organized the Westgate Mall attack.

"We have been monitoring this area for some time and we moved in when we got the green light. This is the same area where Al-Shabaab attackers at Westgate did their training", said Oguna.

The camp had over 300 Al-Shabaab terrorist fighters many of who were killed and only a few survived with serious injuries in the attack.

However, the Al-Shabaab denied there having been any attack on their training camp, saying it was mere propaganda by KDF.

"No military of ours in Somalia was air struck or attacked", said a senior Al-Shabaab fighter.
 
Attachments

  • 142240_y_20131031225919_01.jpeg
    142240_y_20131031225919_01.jpeg
    3 KB · Views: 1,048
wahongo wahongo hawa, wanataka kupotezea ile ishu ya odokozi walioufanya pale westgate mall,
 
Back
Top Bottom