Bondemania
Senior Member
- Jan 12, 2012
- 103
- 39
yombayomba,unajua kitu inayoitwa military balance?na combat readness?tafadhali fanya research kwanza kabla hujacoment kitu kama hiyo,by the way nami ni mtanzania mzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli mnajiamini mbona mmekuwa kama wakimbizi kwenye hili jukwaa? Hamuoni aibu?unaporundika wakenya kujibu hoja la mtu mmoja hauoni soni? Wakenya wanajiamini, infact kama washuku tazama vile watz wanavyojilinganisha na wakenya humu ndani. Hatuna tatizo, labda upeo wako wa kuelewa huwa mashakani.
Hapana Ndahani, hao jamaa wanajiandaa kupambana na jirani mmojawapo. Yafaa kuwa macho. Hizo helikopta za kisasa kabisa si bure. Usidhani watazitumia kuumizana wao kwa wao. Naamini kuna mipango kabambe dhidi ya jirani fulani. Funguka macho!
Wanapigana na kikundi je ingekuwa nchi sijui ingekuwaje,hadi sasa hata Kismayu wameshindwa kuichukua na tukumbuke Marekani inawasaidia,Tanzania ni moto wamepigana nchi kibao hawa jirani zetu wao ni kwenda ''kulinda amani tu''ili wapate dola za UNO,waache wauziwe helikopta mitumba,alshabaab inawatoa m..i:lol::lol::lol:
Wanapigana na kikundi je ingekuwa nchi sijui ingekuwaje,hadi sasa hata Kismayu wameshindwa kuichukua na tukumbuke Marekani inawasaidia,Tanzania ni moto wamepigana nchi kibao hawa jirani zetu wao ni kwenda ''kulinda amani tu''ili wapate dola za UNO,waache wauziwe helikopta mitumba,alshabaab inawatoa m..i
Kama ni kweli mnajiamini mbona mmekuwa kama wakimbizi kwenye hili jukwaa? Hamuoni aibu?
Wewe ni limbukeni (mshamba)!sina hiari ya kujibu zaidi. Kenya ni nchi ya nne katika matumizi ya mtandao barani na sioni soni. kuwepo kwa wakenya hapa ni ishara tosha. 'Lets leave the thread to those interested in military aviation'.
ewe shujaa uliyemngoa nduli tia mguu pale kama unaweza
Alshababu kwa sasa, is becoming a virtual militia! wanapigana vita vya lelemama kwenye twitter account yao.
Mkuu haya mambo ni kumuomba Mungu awape Al Shabaab akili za kufikili kwamba kuwahua/kujeruhi watu/raia wasio na hatia ni dhambi. Ogopa sana kupigana na militia/guerrilla wasio vaa uniform - HIT and RUN tactics ni ngumu sana kuzi-contain, cha muhimu na raia wa Kenya kushikamana kwa kusahau tofauti zenu; mkifanikisha hilo Al Shabaab watapata wakati mgumu kutimiza malengo yao, mkijisahau na kuanza kuwaita kwamba ni Virtual Militia hilo linaweza kuwa-cost an arm and leg msidhalau chochote - any lead however crude may save your lives. Mimi ndio ushauri wangu.
Najua haya lakini tukitizama nia ya wanaoleta makala kama hii, hakuna uchangunuzi wanakusudia kufanya, na hata ukiangalia mtiririko wa posts vile zinavowekwa ndio utakuta hayana maana kumbe. Ni ligi tu inayobuniwa na wasioelewa kiini cha ugaidi na madhara yake AM. Nasikitika kuwa jukwaa la kenya limekuwa dumpsite. Ashante kwa ushauri wako mzuri, lakini naonelea tuchukue a pragmatic approach na hekima zote tulizopewa na mwenyezi Mungu kumaliza ugaidi. Hakuna kushindwa mpaka dhamira yako itakapolegea na kukubali kushindwa.
Swala la Somalia/Ugaidi isiwe tu ni kitu ambacho kitawekewa hema kwa muda mrefu bila suluhu ya kuleta amani ya kudumu. Tazama matatizo yote iliyokuwa sehemu za Namibia na na sasa kuna ustawi na maendeleo. Ilichukua shughuli ya mataifa mengine Africa na wakati huu wana amani, siyo kusema mataifa husika yalimsahau Mungu wakati huo.
Kina Faizafox et al hawawezi kufurahia hii habari!
Faizafox nae ni Alshabab?