Gangi Longa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 275
- 135
Kale kakiingereza kako umekapaleka wapi leo?Hawa wazembe ni hamnazo kabisa, tunawazidi kwa kila kitu.
Kila kitu ?mnakusanya pesa ngap kwenye Utalii...Hawa wazembe ni hamnazo kabisa, tunawazidi kwa kila kitu.
Hata Nazi ,in fact Nazi zinatoka Mombasa na kuuzwa tanzania.First you have to know that Kenya produces more ovacado than Tanzania, more mangos. In fact most agricultural products we produce more.
Mfano parachichi zinatoka Tz Southern Highland Kenya wanaexportWanasoko poa la kuuza nje tofauti na Tanzania lazima uwe hivyo
hii ujinga bado mnaamini?Mfano parachichi zinatoka Tz Southern Highland Kenya wanaexport
Nyanya ya lushoto yote unaenda KenyaHapo hawajaonyesha mnachozalisha, wameonyesha pesa mnayopata kutokana na mazao ya KILIMO, hivi hujui kwamba mnada wa chai pale Mombasa unakusanya chai toka nchi zote za EA, ikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia? Ili hiyo chai yote inapopelekwa nje ya toka Kenya inahesabika ni Agricultural produce toka Kenya?
Sasa kama Kenya inauwezo wa kuzalisha Agricultural produces, vipi inategemea Tanzania na Uganda katika chakula kama mahindi, mchele, tomato, Matunda, maharage na vyakula vingine?
Wrong! Kenya produces alot of agricultural produce only that our produce is more expensive that is why imports are allowed from eac to stabilize costs and bring down inflation.Hapo hawajaonyesha mnachozalisha, wameonyesha pesa mnayopata kutokana na mazao ya KILIMO, hivi hujui kwamba mnada wa chai pale Mombasa unakusanya chai toka nchi zote za EA, ikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia? Ili hiyo chai yote inapopelekwa nje ya toka Kenya inahesabika ni Agricultural produce toka Kenya?
Sasa kama Kenya inauwezo wa kuzalisha Agricultural produces, vipi inategemea Tanzania na Uganda katika chakula kama mahindi, mchele, tomato, Matunda, maharage na vyakula vingine?
Kilimo Cha maua ...Kenya's output worth in agriculture is twice that in Tanzania. Even after so many Tanzanians have been bragging here that they produce more agricultural products than Kenya, luckily the truth is out.
Peleka huo ujinga kwenu.Wrong! Kenya produces alot of agricultural produce only that our produce is more expensive that is why imports are allowed from eac to stabilize costs and bring down inflation.
500 ml packet of Kenyan milk Kshs 50-55 in Nairobi
500 ml packet of Ugandan milk Kshs 40-45 in Nairobi
One Kenyan orange Kshs 20 in Nairobi
One Tanzanian orange Kshs 5-10 in Nairobi
90 Kg bag of kenyan produced maize Kshs 2800- 3500 in Nairobi
90 Kg bag of Tanzanian produced maize Kshs 2000 in Nairobi and purchased at 1500 at the farm in Tanzania.
Hahaha, Wakenya ni kama watoto!
Vitu vyenu hku kwetu ni reja reja tu, vinauzwaga sana sokoni..Peleka huo ujinga kwenu.
Imekuwaje sasa mnakuja kununua kwetu if it worth nothing katika soko lenu huko Nairobi can you at least think before you write
Which agricultural products apart from buying from neighboring countries and rebranding and export them to Europe and other parts of the World?
It did not say export dude. You can't read. It mentions total agricultural output ie The value of all agricultural produce in the country whether for export or local consumption.Wanasoko poa la kuuza nje tofauti na Tanzania lazima uwe hivyo
Your produce is cheap and Kenyans like cheap. Facts live with it. Feelings peleka kwa bibi yako.Peleka huo ujinga kwenu.
Imekuwaje sasa mnakuja kununua kwetu if it worth nothing katika soko lenu huko Nairobi can you at least think before you write
While they are busy planting low value crops like cassava, beans and maize. Kenyan farmers are moving to high value crops and cultivars which yield more per hectare and are export quality.Kenya's output worth in agriculture is twice that in Tanzania. Even after so many Tanzanians have been bragging here that they produce more agricultural products than Kenya, luckily the truth is out.
Naanza kuamini kuwa nyie wabishihii ujinga bado mnaamini?
ingia maenoe ya mlima kenya uone mashamba ya wakulima ma-elfu...