joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Make YouTube and google your good friendsVilijengwa lini??
Mbona bado inategemea chakula cha msaada na njaa haiishi kama kweli mnaweza kununua chakula toka nje ya nchi.Kenya can feed itself, but it knows tukijilisha na mazao yetu tuu ya quality bei itakua juu sana and can hurt the lower income population. Kwa hivyo tuna import from Uganda and Tanzania to keep prices low. Na pia we export high value agricultural products and imports basics from EAC, kwa vile, mbona ulime ya kijilisha tuu na unaeza lima ya export to Europe alafu ununue cheap food kutoka Tanzania
Tumeanza kuuza nje sisi wenyewe, huo unyonyaji wenu unakaribia mwisho. Mazao mnayouza mengi yetoka Tanzania. Mnachojua ni processing na kuweka lable za Kenya
ungejibu swali nikuumbue, propaganda unaziwacha vijiweni ama kwa jukwaa la siasa. hapa kwa Kenyan news hatutakuacha salama.Make YouTube and google your good friends
Badala ya kujibu hoja na kujadili mada unatokota kama ujiWewe ni mkenya, usijifanye unaongelea Kenya as if you're a Tanzanian
mzee baba kuna viwanda vya kutengeneza vipodozi na pia kusaga kwa kutengeneza paste nk nk..pia packaging wanafanya upya na vizuri ili kukidhi vigezo vya masoko ya ulaya na marekani.Mkuu hebu niambie wakishanunua nyanya na maparachichi wanayaongezea thamani gani hapo kenya ndio yaweze kuuzika?
Kenya imetuzidi connection tu kwenye soko la nje. Na ni gap ambayo tayari tumeshaiziba. Hivyo now kila mtui auze kile anachozalisha.
Na najua wewe ni nyang`au..a contact person kwa nyanda za juu kusini huko.. mtaalam feki wa kilimo ndio una facilitate hizo biashara za kilimo kwenda kenya.
Thanks for taking back your words. Kenya doesn't need Tanzanian avocados. And congratulations for finally waking up from your sleep by building a factory. All the same, we are still one of the leading producers even as I type thisNdio sababu alipambana hadi vikajengwa viwanda vya kusindika maparachichi hapa nchini, siku hizi hakuna parachichi zinazokuja Kenya, kabla ya hapo asingeweza kuzuia kwasababu hatukuwa na viwanda, asingeweza kuwakataza wakulima kuuza kwa wafanya biashara wa Kenya
mzee baba kuna viwanda vya kutengeneza vipodozi na pia kusaga kwa kutengeneza paste nk nk..pia packaging wanafanya upya na vizuri ili kukidhi vigezo vya masoko ya ulaya na marekani.
Sina uhakika kama gap la connection limezibwa
hawa watu bana...Thanks for taking back your words. Kenya doesn't need Tanzanian avocados. And congratulations for finally waking up from your sleep by building a factory. All the same, we are still one of the leading producers even as I type this
Amka ukakojoeWakenya bhana wao wanafanya mabishano...wakati sisi tunaboresha Maisha ya Wananchi huku tukiikaribia nafasi ya kwanza automatically
Wewe [emoji117][emoji205] avocado za Kenya zatokea tz 80% kwa hiyo tz inashika no 1 na 2 Africa kwa sababu avocado ya Kenya ni ya tzmko na shida ki-akili kaka, from cooking economic data to cooking international trade facts..
yani a whole media house pushing nonsense, aliona avocado anadhani TZ ndiyo tu avocado inamea?
But there is no point arguing with an idiot.
wengine wenu wanasema ni 99.9% , wengine 80%, wengine wamesema mshapata soko na hamruhusu parachichi kuja Kenya..Wewe [emoji117][emoji205] avocado za Kenya zatokea tz 80% kwa hiyo tz inashika no 1 na 2 Africa kwa sababu avocado ya Kenya ni ya tz
Kama kuna kima inabisha rusheni flytoilet juu tuone
Na kwann zinasafirishwa kenya..kama mazao ni hafifu kwann yanaenda kenya..unahisi tumewezaje kutoka from 0 exports to 12$mil...ni kwa sababu yalikuwa yanaenda kenya for exporting...na kenya was counting the number as re exports .....we have boosted our cargo facilities at KIA and Mwanza ...u can follow TAHA ...Tanzania Horticulture association..ili upate updates zaidikabla ya kunishambulia ungesoma vizuri maelezo yangu,nchi ulizozitaja wewe zinanunua mazao ya nafaka zaidi lakini mazao ya horticulture tunategemea Kenya.Umewahi sikia tunasafirisha avocado au nyanya zimbabwe? au mbao au chai? Wewe hauko kwenye kilimo tulia hivo hivyo mkuu
Mimi sipingi kila kitu cha serikali lakini sisifii kila kitu cha serikali kama wewe na wenzio kwa nini nisiamini unalipwa kwa kazi hii maana hata kwenye ukweli huwa hukubali yaani hata hili utapinga.
Avocados exported from Kenya are grown by Kenyan farmers , mainly from Muranga, Embu , Meru , Nyeri , Kirinyaga and adjacent areas..Na kwann zinasafirishwa kenya..kama mazao ni hafifu kwann yanaenda kenya..unahisi tumewezaje kutoka from 0 exports to 12$mil...ni kwa sababu yalikuwa yanaenda kenya for exporting...na kenya was counting the number as re exports .....we have boosted our cargo facilities at KIA and Mwanza ...u can follow TAHA ...Tanzania Horticulture association..ili upate updates zaidi
Plus you can Check Africado industry in Kilimanjaro and Rungwe avocado processing in Mbeya..those are the big processing and Packaging industries za Avocado nnzaojua..in more time tutapata nygnge ..
So you mean that avocado's zinazoenda kenya au zilizokuwa zinaenda kenya haziwi recorded as re export?Avocados exported from Kenya are grown by Kenyan farmers , mainly from Muranga, Embu , Meru , Nyeri , Kirinyaga and adjacent areas..
Kenya has been looking for a bigger export market in China, because currently Kenya only exports 10% to 20% of avocados...
So you want to mean we are looking for an export market for TZ avocados and leave Kenyan avocados ?
If your avocado exports have risen from 0 to 12M , why are Kenyan exports not falling... in fact they are rising.
So you mean that avocado's zinazoenda kenya au zilizokuwa zinaenda kenya haziwi recorded as re export?