Kenya doubles Tanzania in agriculture

Kenya doubles Tanzania in agriculture

Kenya can feed itself, but it knows tukijilisha na mazao yetu tuu ya quality bei itakua juu sana and can hurt the lower income population. Kwa hivyo tuna import from Uganda and Tanzania to keep prices low. Na pia we export high value agricultural products and imports basics from EAC, kwa vile, mbona ulime ya kijilisha tuu na unaeza lima ya export to Europe alafu ununue cheap food kutoka Tanzania
Mbona bado inategemea chakula cha msaada na njaa haiishi kama kweli mnaweza kununua chakula toka nje ya nchi.

Tatizo la Kenya ardhi yote nzuri imechukuliwa na wazungu na wengi hawaitumii imebaki kama msitu, wachache wanaolima wanauza kwa bei ya juu.

Tanzania tunazalisha kwa wingi hivyo gharama za uzalishaji zipo chini sana "Economy of scale".
 
Tumeanza kuuza nje sisi wenyewe, huo unyonyaji wenu unakaribia mwisho. Mazao mnayouza mengi yetoka Tanzania. Mnachojua ni processing na kuweka lable za Kenya

but if you sell to Kenya, why are the products not shown as TZ exports to Kenya????
Total products exported from TZ are known, wacheni kulia machozi ya paka..

fungeni uuzaji wa mazao hayo Kenya, ili tusinufaike... sisi tuna wakulima wanaozalisha mazao hayo kuwashinda..
 
Mkuu hebu niambie wakishanunua nyanya na maparachichi wanayaongezea thamani gani hapo kenya ndio yaweze kuuzika?

Kenya imetuzidi connection tu kwenye soko la nje. Na ni gap ambayo tayari tumeshaiziba. Hivyo now kila mtui auze kile anachozalisha.

Na najua wewe ni nyang`au..a contact person kwa nyanda za juu kusini huko.. mtaalam feki wa kilimo ndio una facilitate hizo biashara za kilimo kwenda kenya.
mzee baba kuna viwanda vya kutengeneza vipodozi na pia kusaga kwa kutengeneza paste nk nk..pia packaging wanafanya upya na vizuri ili kukidhi vigezo vya masoko ya ulaya na marekani.
Sina uhakika kama gap la connection limezibwa
 
Ndio sababu alipambana hadi vikajengwa viwanda vya kusindika maparachichi hapa nchini, siku hizi hakuna parachichi zinazokuja Kenya, kabla ya hapo asingeweza kuzuia kwasababu hatukuwa na viwanda, asingeweza kuwakataza wakulima kuuza kwa wafanya biashara wa Kenya
Thanks for taking back your words. Kenya doesn't need Tanzanian avocados. And congratulations for finally waking up from your sleep by building a factory. All the same, we are still one of the leading producers even as I type this
 
mzee baba kuna viwanda vya kutengeneza vipodozi na pia kusaga kwa kutengeneza paste nk nk..pia packaging wanafanya upya na vizuri ili kukidhi vigezo vya masoko ya ulaya na marekani.
Sina uhakika kama gap la connection limezibwa

Teh teh..packaging na labelling ili kuonesha products zimetoka kenya au sio?

Sasa hivi hakuna hiyo nafasi tena. Tunasafirisha wenyewe. Na hakuna kampuni ya kenya kununua mazao yoyote Tz. Ni marufuku. Waambie wenzio.
 
Mtoa mada unakimbuzwa na watu wasiojulikana? Be specific ! Which agricultural products? Nyie walia njaa Kila siku .Nyambafu kbs
 
Thanks for taking back your words. Kenya doesn't need Tanzanian avocados. And congratulations for finally waking up from your sleep by building a factory. All the same, we are still one of the leading producers even as I type this
hawa watu bana...
 
mko na shida ki-akili kaka, from cooking economic data to cooking international trade facts..
yani a whole media house pushing nonsense, aliona avocado anadhani TZ ndiyo tu avocado inamea?

But there is no point arguing with an idiot.
Wewe [emoji117][emoji205] avocado za Kenya zatokea tz 80% kwa hiyo tz inashika no 1 na 2 Africa kwa sababu avocado ya Kenya ni ya tz
Kama kuna kima inabisha rusheni flytoilet juu tuone
 
Wewe [emoji117][emoji205] avocado za Kenya zatokea tz 80% kwa hiyo tz inashika no 1 na 2 Africa kwa sababu avocado ya Kenya ni ya tz
Kama kuna kima inabisha rusheni flytoilet juu tuone
wengine wenu wanasema ni 99.9% , wengine 80%, wengine wamesema mshapata soko na hamruhusu parachichi kuja Kenya..
can you choose one!

But i expect this lack of exposure from an LDC where the CCM PARTY lies, years of national propaganda and a dump insecure pres to result to such.
 
kabla ya kunishambulia ungesoma vizuri maelezo yangu,nchi ulizozitaja wewe zinanunua mazao ya nafaka zaidi lakini mazao ya horticulture tunategemea Kenya.Umewahi sikia tunasafirisha avocado au nyanya zimbabwe? au mbao au chai? Wewe hauko kwenye kilimo tulia hivo hivyo mkuu
Mimi sipingi kila kitu cha serikali lakini sisifii kila kitu cha serikali kama wewe na wenzio kwa nini nisiamini unalipwa kwa kazi hii maana hata kwenye ukweli huwa hukubali yaani hata hili utapinga.
Na kwann zinasafirishwa kenya..kama mazao ni hafifu kwann yanaenda kenya..unahisi tumewezaje kutoka from 0 exports to 12$mil...ni kwa sababu yalikuwa yanaenda kenya for exporting...na kenya was counting the number as re exports .....we have boosted our cargo facilities at KIA and Mwanza ...u can follow TAHA ...Tanzania Horticulture association..ili upate updates zaidi
Plus you can Check Africado industry in Kilimanjaro and Rungwe avocado processing in Mbeya..those are the big processing and Packaging industries za Avocado nnzaojua..in more time tutapata nygnge ..
 
Avocados exported from Kenya are grown by Kenyan farmers , mainly from Muranga, Embu , Meru , Nyeri , Kirinyaga and adjacent areas..
Kenya has been looking for a bigger export market in China, because currently Kenya only exports 10% to 20% of avocados...

So you want to mean we are looking for an export market for TZ avocados and leave Kenyan avocados ?

If your avocado exports have risen from 0 to 12M , why are Kenyan exports not falling... in fact they are rising.
 
So you mean that avocado's zinazoenda kenya au zilizokuwa zinaenda kenya haziwi recorded as re export?
 
So you mean that avocado's zinazoenda kenya au zilizokuwa zinaenda kenya haziwi recorded as re export?

If you were exporting avocados to Kenya, those would be 1st recorded as TZ exports to Kenya, before they are recorded as "re-exports from Kenya to other parts of the world"
ama unafikiri Export ni bidhaa tu zikienda kwa wazungu ??

So far TZ has had very low exports of avocados to anywhere.

If Kenya was making all that money from exporting TZ avocados, then TZ avocado farmers would also be recording huge sales..

Avocado processing giants kama, "Olivado" imekuwa Kenya toka miaka ya 2009. Hizi kampuni hufanya utafiti wa hali ya juu kabla kuingia nchi yeyote..
hakuna kampuni itajenga viwanda Kenya eneo ya Murang'a, kutegemea avocado kutoka TZ..

Jambo hili nimewafunza hapa sana ili muelewe international trade - exporting and importing , lakini mnajifanya sokwe.

Ukulima unaendelea nchi zingine pia, siyo Tanzania peke yake. Safiri uone dunia, ukiskia bidhaa inauzwa East Africa usije ukajidanganya imetoka TZ peke yake.
 
Back
Top Bottom