Kenya doubles Tanzania in agriculture

Kenya doubles Tanzania in agriculture

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Posts
20,648
Reaction score
17,772
Kenya's output worth in agriculture is twice that in Tanzania. Even after so many Tanzanians have been bragging here that they produce more agricultural products than Kenya, luckily the truth is out.

Capture.PNG
 
Hata kwenye Tanzanite pia Kenya inauza zaidi kuliko Tanzania, hahahaha.
Fungua thread ya hiyo tutacontribute. Anyway what happened to we produce more agricultural products than Kenya?😂😂😂
 
Which agricultural products apart from buying from neighboring countries and rebranding and export them to Europe and other parts of the World?
There is one thing I like about internet. It reveals every lies around. Hile kelele ya produce more than Kenya I hope imeisha. Or is there anything you can add?
 
Hapo hawajaonyesha mnachozalisha, wameonyesha pesa mnayopata kutokana na mazao ya KILIMO, hivi hujui kwamba mnada wa chai pale Mombasa unakusanya chai toka nchi zote za EA, ikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia? Ili hiyo chai yote inapopelekwa nje ya toka Kenya inahesabika ni Agricultural produce toka Kenya?

Sasa kama Kenya inauwezo wa kuzalisha Agricultural produces, vipi inategemea Tanzania na Uganda katika chakula kama mahindi, mchele, tomato, Matunda, maharage na vyakula vingine?
 
Hapo hawajaonyesha mnachozalisha, wameonyesha pesa mnayopata kutokana na mazao ya KILIMO, hivi hujui kwamba mnada wa chai pale Mombasa unakusanya chai toka nchi zote za EA, ikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia?. Ili hiyo chai yote inapopelekwa nje ya toka Kenya inahesabika ni Agricultural produce toka Kenya?.

Afadhali umemuelewesha sababu anatia aibu sana!
 
First you have to know that Kenya produces more ovacado than Tanzania, more mangos. In fact most agricultural products we produce more.
Hapo hawajaonyesha mnachozalisha, wameonyesha pesa mnayopata kutokana na mazao ya KILIMO, hivi hujui kwamba mnada wa chai pale Mombasa unakusanya chai toka nchi zote za EA, ikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia?. Ili hiyo chai yote inapopelekwa nje ya toka Kenya inahesabika ni Agricultural produce toka Kenya?.

Sasa kama Kenya inauwezo wa kuzalisha Agricultural produces, vipi inategemea Tanzania na Uganda katika chakula kama mahindi, mchele, tomato, Matunda, maharage na vyakula vingine?
 
Kenya produces more mangos than Tanzania.
Haka kakiingereza kako koko hakana maana yoyote ile.

Wenzako wanakufa njaa huko Turkana na maeneo mengine ya nchi yenye ukame wa kutisha huko Kunya-Land. Wacha hizi ligi uchwara za mchangani, badala yake jikite kuwasaidia wenzako wanaotaabika kwa kwashakoo.

Zaidi ya yote, tutaendelea kuwasaidia na kuwalisha mpaka pale Kenya itakapoweza kujitegemea.
 
Nitajie mtu mmoja amekufa njaa this year.
 
Back
Top Bottom