Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Election Updates

VP, 17 Ministers trounced

Published on December 28, 2007, 12:00 am

By Stephen Ndegwa

President Mwai Kibaki’s cabinet faced the biggest embarrassment yet as 17 ministers lost their parliamentary seats while five others are facing imminent defeat.

Vice President Hon Moody Awori and other regional leaders in charge of Kibaki campaign faced the wrath of voters and were trounced by mainly ODM candidates as vote counting for the hotly contested elections continued countrywide..

The ministers include Musikari Kombo, Newton Kulundu, Kipruto Kirwa, Moses Akaranga, Simeon Nyachae, Njenga Karume, Raphael Tuju, David Mwiraria, Mohamud Abdi Mohammed, Morris Dzoro, Suleiman Shakombo, Mutahi Kagwe and Paul Sang.

Others from Ukambani area include Lands minister Prof Kivutha Kibwana, Water minister Mutua Katuku, Livestock Development minister Joseph Munyao and assistant minister for Wild Life Kalembe Ndile. Transport Minister Ali Chirau Mwakwere and Education minister George Saitoti are hanging by the thread.

Source: The Standard
 
Ahsante Mh. Zitto (MB)

Kwa hiyo Tanzania Tungekazia zaidi kwenye Mwenyekiti wa Tume kuwa mtu,,, anayejiheshimu huenda ingesaidia kidogo say Jaji Mkuu mstaafu kama yupo/wapo!

Hivi tume inapoajiri wafanyakazi wake yenyewe is this a temporary employment au permanent? maana naona uchaguzi mara nyingi unafanyika mara moja kwa miaka mitano,,, au pengine mara mbili especially kwenye by-elections

Narc’s Robert Monda, a veterinary doctor, sent Nyachae packing. So nimepata mtu wa pili wa NARC after mama Ngilu. Nataka kujua matokeo ya Ann Njogu, nisaidieni jamani.

Ndio mfano Jaji Kisanga akiwa Mwenyekiti anaweza kutunza heshima yake kwa kukataa kuingiliwa. Au hata watu kama Prof. Issa Shivji, Chris Peter Maina au Haroub Othman.

Kenya watumishi wa Tume ni wa muda na huajira kwa watu kuomba na kufanyiwa usaili. Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo wana nguvu sana bila kuingiliwa na maDC. Tanzania ni tofauti kwani DC anamwingilia DED maana yupo chini yake kikazi.
 
Kenya's president facing election defeat

Kenya's opposition leader, Raila Odinga, has taken a strong early lead over President Mwai Kibaki in the race to

lead the country.
Tallies issued today by local television stations gave Odinga, a former political prisoner, 57% of the vote compared

to Kibaki's 39%, with more than a third of the ballots counted. The results are unofficial, with the Election

Commission of Kenya slow to confirm results from yesterday's poll.

If Kibaki, who has been in government since independence in 1963, loses, he will become the first Kenya leader ever

to be voted out of office.

Though he has presided over strong economic growth, Kibaki's failure to meet his pledges of ending graft, delivering

a new constitution and reducing unemployment had left him lagging behind Odinga in pre-election opinion polls.
At parliamentary level the early results showed Odinga's Orange Democratic Movement set to gain a large majority,

winning 31 of the 41 seats already decided.

In a sign of discontent with the performance of the last parliament, several of Kenya's most powerful political

figures were voted out.

Moody Awori, the country's 80-year-old vice-president, was soundly beaten in his constituency, as was information

minister Mutahi Kagwe, foreign minister Raphael Tuju, and roads minister Simeon Nyachae.

Njenga Karume, defence minister and one of Kibaki's closest confidantes, was also struggling to keep his seat.

The fight against corruption was one of the main themes of the election campaign, as it was in 2002 when Kibaki came

to power on an anti-graft platform.

He took little subsequent action against ministers and MP's tainted by corruption - something the Kenyan voting

public appeared to have addressed themselves at the ballot box.

David Mwiraria, a close Kibaki ally who was finance minister while bogus firms were awarded huge government

contracts in 2003, lost his seat. The two MPs fingered for massive theft of state funds in a report commissioned by

Kenya's government from the risk consultancy Kroll, but never publicly released, met the same fate.

Nicholas Biwott, a close ally of former President Daniel arap Moi and one of the most feared men in Kenya, came

second in Keiyo South constituency. Gideon Moi, the former president's son, suffered a shock defeat in Baringo

Central, his father's old ward.

Indeed, Kibaki's election alliance with Moi appeared to have backfired spectacularly, with Odinga amassing a huge

lead in Rift Valley province where Moi used to be so influential.

As expected, both Kibaki and Odinga amassed near blanket support from their Kikuyu and Luo ethnic groups. But Odinga

has also won the backing of many of the countries 41 other ethnic groups, who feel that the Kikuyu have been

unfairly favoured by successive post-independence governments.

Odinga has promised to repair the country's crumbling infrastructure, end corruption and create jobs for the youth.

The closeness of the poll, and its largely peaceful conduct so far, has reinforced Kenya's status as by far the most advanced democracy in east Africa.

Source:

http://www.guardian.co.uk/kenya/story/0,,2232837,00.html?gusrc=rss&feed=12#article_continue
 
Keil

Dr. Mukhisa Kituyi lost the seat kwa Profesa wa Historia wa Moi University, Dr. Simiyu Eseli.

Sasa hii ina maana asilimia 75 ya serikali Kibaki imekataliwa na waKenya toka pembe zote za nchi. Hii ni ishara, kwa maoni yangu, kwamba kweli WaKenya hawamtaki Kibaki hata kidogo.

Hivi sasa kuna mahojiano kwenye runinga ya KTN dhidi ya mtangazaji na wanademokrasia wawili wanaosapot PNU na ODM. Hata huyo mama wa PNU hapo stesheni anasema waKenya walikuwa wamechoka na Kibaki na wanatamani kuongozwa na ODM ikongozwa na Raila odinga na timu yake inayojumlisha kila kabila, kila dini na kila region ya nchi....
 
It's true, democracy iliyopo Kenya itatuchukua miiaka 20 kuifikia. Dame!! We are really in big s***t waTZ. Wenzetu mambo yaliiva tangu 2002. This time the are only spicing up or icing their cake. CCM wanawacheka tu upinzani kwa kujipa moyo, come to 2010 JK atajicotea 80 % kama analia vile!!!! Viva Odinga! Viva Kenya!!!
 
It's true, democracy iliyopo Kenya itatuchukua miiaka 20 kuifikia. Dame!! We are really in big s***t waTZ. Wenzetu mambo yaliiva tangu 2002. This time the are only spicing up or icing their cake. CCM wanawacheka tu upinzani kwa kujipa moyo, come to 2010 JK atajicotea 80 % kama analia vile!!!! Viva Odinga! Viva Kenya!!!

Unajua wanaoshinda Kenya ni wananchi, ODM ni viongozi tu. Hata sisi tutashinda pale wananchi watakapoamua na watampata wa kuwaongoza. Sasa unapowacheka wapinzani TZ nawe pia ujicheke kama sehemu ya umma, au siyo?
 
Huyu KT kuna haja ya kumwandalia kasherehe kakumpongeza, amekuwa mtu wa msaada sana katika huu uchaguzi. Jamani mlipo TZ naombeni mu-organise kasherehe kwa heshima ya huyu ndugu, ikishindikana Dar hata nyama choma pale Arusha-kuna bar moja wanachoma nyama safi sana pale (siikumbuki jina)
 
Jamani TVT walioenda Nairobi, walituambia watakua wanaleta "LIVE" kutoka huko, sasa vipi? Au ndio kama ile LIVE!!!? au wamenuna?
 
NEWS INAYOINGIA SASA HIVI.

DR. HENRY KOSGEI AMBAYE NDIYE MWENYEKITI RASMI WA ORANGE DEMOCRATIC MOVEMENT (ODM) AMECHAGULIWA KWA 56, 784 VOTES. MSHINDANI WAKE ALIPATA 2736 VOTES


CHAIRMAN WA ECK SAMUEL KIVUITU YUKO HEWANI KTN ANATANGAZA MATOKEO RASMI YA KWA RAILA LANGATA CONSTITUENCY!!!!!!!!!!!



 
Jamani TVT walioenda Nairobi, walituambia watakua wanaleta "LIVE" kutoka huko, sasa vipi? Au ndio kama ile LIVE!!!? au wamenuna?


Wamenuna hao. itabidi wameze machupa, ndiyo hivyo tena, KANU ya pili aka CCM-Kenya wameshanyukwa!
 
Unajua wanaoshinda Kenya ni wananchi, ODM ni viongozi tu. Hata sisi tutashinda pale wananchi watakapoamua na watampata wa kuwaongoza. Sasa unapowacheka wapinzani TZ nawe pia ujicheke kama sehemu ya umma, au siyo?

Bwana Kitila,

Siyo kuwa nacheka upinzani. I wish CCM could lose out, tena big time. Tatizo letu Bongo wala siyo vijijini. Nafikiri vijijini wana mwamko sasa kuliko hata mijini ndiyo sababu wapinzani wengi (Bara) wanatoka huko.I wish Dar wangeonyesha mfano especially majimbo ya wasomi ya Kinondoni. Niaminivyo mimi CCM huwa wanapanga majimbo ya kuwapa wapinzani before, then NEC inatutangazia tu!!!
 
Saitoti trails as chaos mar tallying

By Isaac Ongiri


Education minister Prof George Saitoti was stoned and chased away from Ololaiser Secondary school after violence erupted over alleged rigging.

The minister was stoned as he walked out of the counting hall moments after he had stormed in to protest that his agents were allegedly being intimidated by supporters of his rivals.

Police threw teargas canisters forcing members of the public and some journalists to scamper for safety as the minister was hurriedly driven away.

One policeman was hurt during the scuffle that also left several civilians injured.

Some presiding officers returned unsealed ballot boxes heightening suspicion that they could have been tampered with.
“We can not accept this, look, the ballot boxes are opened, they are unsealed, we can not count on this for any fairness,” Rev Sakuda, the ODM candidate protested.

Returning officer Mr George Morara called ECK headquarters for direction and later announced that tallying had been stopped.

But when Prof. Saitoti came in he begged Mr Morara to resume vote tallying and follow the law.
“Let the voting proceed, we can follow the law and complaints can be addressed later, “he said.

Before chaos erupted Sakuda who is running on ODM was leading with 9,412 with the minister trailing by 4127 votes from about 40 polling stations tallied.

Source: The Standard
 
Bwana Kitila,

Siyo kuwa nacheka upinzani. I wish CCM could lose out, tena big time. Tatizo letu Bongo wala siyo vijijini. Nafikiri vijijini wana mwamko sasa kuliko hata mijini ndiyo sababu wapinzani wengi (Bara) wanatoka huko.I wish Dar wangeonyesha mfano especially majimbo ya wasomi ya Kinondoni. Niaminivyo mimi CCM huwa wanapanga majimbo ya kuwapa wapinzani before, then NEC inatutangazia tu!!!


Ni kweli, itabidi tujipange upya kwa kweli. Tumechoka kusononeka, tutazeeka sana na kununa bila matendo na mafanikio.
 
Huyu KT kuna haja ya kumwandalia kasherehe kakumpongeza, amekuwa mtu wa msaada sana katika huu uchaguzi. Jamani mlipo TZ naombeni mu-organise kasherehe kwa heshima ya huyu ndugu, ikishindikana Dar hata nyama choma pale Arusha-kuna bar moja wanachoma nyama safi sana pale (siikumbuki jina)

Kitila,

Ni kweli naona KT katufaa kweli maana magazeti na vyombo vya habari vingine vilikuwa nyuma sana.

Mwaka 2010 itabidi JF iwe na wawkilishi wilaya zote TZ.
 
Unajua wanaoshinda Kenya ni wananchi, ODM ni viongozi tu. Hata sisi tutashinda pale wananchi watakapoamua na watampata wa kuwaongoza. Sasa unapowacheka wapinzani TZ nawe pia ujicheke kama sehemu ya umma, au siyo?

Ni kweli kabisa, hata NARC walianza kutokana nna nguvu za Umma, nakumbuka nilikuwapo pale Uhuru siku wanatangaza, umma uliamua na Raila ndiye aliyemtaja Kibaki katika mkutano ule, alisema, "Kibaki atosha" akashangiliwa, lakini wapi na wapi, Mzee wa watu na mkewe Lucy wakaona wamefika!! Hakuna mwingine, sasa Watanzania wameanza kwa "zomea zomea", hakuna kiongozi wa upinzani aliyewaandaa kuzomea, hata yule mwanafunzi aliyeuliza swali kwa EL hakutumwa na kiongozi. Tusiwadharau Watanzania, wanaona na watafanya siku si nyingi.
 
Back
Top Bottom