Kenya Election 2007: Outcomes

Dar city na hisi ni VETA moja ipo pale kariakoo

Ndio mimi hapo huwa nashangaa ukikuta watu wa dar ndio wa kwanza kuwatupia watu wa vijijini wa aamuke Lakini wao ndio wanatakiwa kuaamuka.
Kenya sio tume tu ila wananchi wanamorali hata sie tukiacha hiyo tume ikaendelea lakini wananchi tukabadirika hakika mambo yatabadirika na stori itakuwa nyingine.

Tatizo letu tupo wanyonge mno
 
Wewe nawe usianze kukatisha tamaa watu hapa.

Tanzania tunao maraila wetu kina zitto na Dr slaa

toa uoga wako hapa kuharibu siku ya kufurahia hapa

Ukweli huuma sana; nami unaniumiza sana, kuona tulivyobweteka.

Pengine uko sahihi, hao uliowataja wakaweza kufanya kweli; tuwape muda' kwani hata huyo Odinga hakuanza jana.
 
MWAI KIBAKI RAILA ODINGA KALONZO MUSYOKA
Nairobi 84,283 103,847 14,965
Eastern 57,448 11,687 144,485
Nyanza 20,866 865,564 691
Coast 53,378 80,295 5,614
Central 803,028 8,959 2,126
North Eastern 20,501 25,391 4,235
Western 81,963 271,911 2,530
Rift Valley 288,918 757,901 19,772
Total 1,410,385 2,125,555 194,418
 
Je Lazaro wa singida?!! jamaa anaelimu ya ka-community college huko IOWA.......lakini mmmmmmmmh ngoja nikae kimya!!.
 

Ndiyo maana hakusema ni Diploma ya kitu gani. Anyway, kwa ujumla tukubali tumeliwa. Ngonja tule somo la Kenya, Viva EAF!!!!
 

Inaonekana Kalonzo amefanya kweli Eastern province kwa kugawa kura za Kibaki huko. Tanzanian Kenya unaonaje hii?
 
Kuna mengi ya kujifunza kutokana na huu uchaguzi wa wenzetu kutoka Kenya wao wakiamua hakuna T.shirt, khanga ,pombe wala kuwekewa mikanda ya Rwanda na Burundi Genocides wao wanaangalia kwanza maisha yaona nchi yao.

Tatizo la watu wa hapakwetu wapo watanzania ambao wako radhi walale njaa waona watotowaokulikokuona CCM ikiondoka madarakani.

Wapo tayari wakiona mamam zao na wake zao wakilazwa chini nakujifungua wakiwa sakafunikulikokuiona CCM ikiondoka madarakani , watu sijui wamelogwa ama nini sijui.

Wapo watanzania ambao kwao kuliko CCM waondoke hata kama hawanufaiki nayo ni bora washindwe kuwasomesha watoto wao na kuwapatia elimu nzuriili wawezekuwakwamua hapo baadae.

Tanzania ni lazima iamke kwanza kwani bial hivyohata ikiwaje kuna giza mbeleni kwanza ndiomaana utamsikia kiongozi kama Kingunge anasema kuwa uzalendo umeondoka kwa sababu ya vyama vingi.. ni upuuzi mkubwa .

Nimepigiwa simu na kiongozi mmoja wa ccm akiwa anashangaa kuwakwa nini Kenya wanamwaga Kibaki nikamwabia kwao wakenya kazi ni lazima inapimwa na wananchi na huko kwao wananchi wameamua kuyachukua mamlaka yao mikononi mwao wenyewe na sio mikononi mwa viongozi kama hapa kwetu .

Nawaombea ODM na haswa Raila aweze kushinda ili aweze kuifunza Tanzania somo .

Nunga mkono hoja ya kumtafutia nyama choma K-T pale Arusha na pia kinywaji baridii....
 
Ndiyo maana hakusema ni Diploma ya kitu gani. Anyway, kwa ujumla tukubali tumeliwa. Ngonja tule somo la Kenya, Viva EAF!!!!

..hahaha ahaha haha,wewe humu wengi hawataki EAF wewe unasema viva,wanasema watamezwa na wakenya na hawachagui upinzani eti hawako tayari,humu ndani 80% wanaona bora mafisadi hata kama shule yao inaishia kwenye kichaka cha Dar city college!
 
RAILA ODINGA

Published on August 1, 2007, 12:00 am




Full Name:

Raila Amolo Odinga

Date of Birth:

January 7, 1945

Spouse:

Ida Anyango Oyoo

Children:

Fidel, born 1973; Rosemary, born 1977; Raila Jnr, born 1979; Winnie, born 1990

Party:

ODM

Political Office:

Member of Parliament for Lang'ata Constituency.
Elected 1992, 1994 (By-election), 1997 and 2002.
Positions Held

Minister for Energy, 2001-2002
Minister for Roads, Public Works and Housing, 2003-2005
Education:

1952-53 – Kisumu Union Primary School, Nyanza
1954-62 – Maranda Primary and High School, Nyanza
1962-64 – Herder Institute (high school). Leipzig, Germany
1964-69 – M.Sc Mechanical Engineering, Otto von Guericke Technical University, Magdeburg, Germany
Business/Professional Experience:

1970 – Assistant lecturer, department of mechanical engineering, University of Nairobi
1971 – Partner in Franz Schineis & Partners, engineering consultants
1971 – Established Standard Processing Equipment Construction & Erection Spectre, later East African Spectre Ltd), engineering company that later specialised in the manufacture of liquid petroleum gas cylinders
1974 – Appointed group standards manager, Kenya Bureau of Standards
1975 – Two-month programme at British Standards Institution, London: Standards and specification writing, product testing and quality control
1976 – Two-month programme at US National Bureau of Standards, Gaithersburg, Maryland, and University of Denver, Colorado
1978 – Promoted to deputy director, Kenya Bureau of Standards

Campaign Website: http://www.raila2007.com/
 
Ukweli huuma sana; nami unaniumiza sana, kuona tulivyobweteka.

Pengine uko sahihi, hao uliowataja wakaweza kufanya kweli; tuwape muda' kwani hata huyo Odinga hakuanza jana.

Kalamu,

KANU ilikuwa na nguvu sana huko Kenya kabla ya kuanguka. Kuna watu kina Ken Matiba walikuwa wameshagive up baada ya kushindwa 1992 na kusema kuwa KANU haiwezi shindwa election. Suala ni maamuzi tu na hili linawezekana hata Tanzania.

Raila amepata pia msaada wa watu walioko nje ya nchi. Ninakoishi mimi marekani wakenya kibao walichanga karibu dola laki moja kumsaidia Raila ashinde. Watu wengi nje ya nchi walikuwa wamechoka na movement ya ODM ilipata nguvu sana kwa networkin hii.

Bila kutoka nje ya mada, hili hata Tanzania linawezekana na inabidi tu Tanzania tuache udini wa kudai kuwa rais ajaye lazima awe mkristo na tumchague Zitto au Lipumba au Mtikila au yeyote yule anayefaa bila kujali anatoka wapi na dini gani.
 
Jamani Joe Nyaga vipi?



Sijapata matokeo ya Nyagah Nimemsikia BBC akieleza kufuatia kuchelewa matokeo kutangazwa. Hata akishindwa atateuliwa maana nasikia jamaa ndio atakuwa Foreign Minister katika serikali mpya ya Agwamba Raila Amolo Oginga Odinga.
 
Jamani Joe Nyaga vipi?


MH. HALISI NA WAHESHIMIWA WENGINE,

MWANZO: TUNASUBIRI PIA. ZA JOE NYAGAH ZIKIINGIA NITAWATAARIFU. ILA NAOMBA MDA NIONDOKE NIKASHUGHULIKIE FAMILIA PIA.

PILI. KUNA HOFU KUHUSU ZA NYAGAH JILI YUPO KWENYE ENEO AMBAYO INAMVUTO MKUBWA AU KUMFAGILIA SANA KIBAKI.

TATU: NADHANI MPINZANI WA NYAGAH AMBAYE NI PASTA MUTAVA MUSYIMI AL MAARFU KWA KUPIGANIA DEMOKRASIA KUPITIA UMOJA WA MAKANISA KENYA UIITWAO NCCK ATAMPONDA NYAGAH.

NNE: RAILA WATAMPATIA DIREKT NOMINATION HATA AKISHINDWA YUPO NA NAFASI BUNGENI. ALIJARIBU SANA KUMUUZA RAILA KWA WAKIKUYU.

NTAREJEA MWENDO WA SAA MBILI USIKU HIVI NA DATA TOSHA.

ALAMSIKI
 
Opposition leads Kenya election: media By Daniel Wallis and Katie Nguyen

NAIROBI (Reuters) - Kenya's opposition challenger Raila Odinga took the lead on Friday in the race to govern east Africa's biggest economy, media tallies showed, while activists voiced fears over delayed official results.

If the entrepreneur and son of a nationalist hero does win, President Mwai Kibaki would become the first of Kenya's three post-independence leaders to be ousted by the ballot box.

Three local TV stations aired unofficial, partial results showing Odinga holding a commanding lead. KTN had him on 2.98 million votes versus Kibaki's 2.02 million. That represented about half the 8-10 million ballots thought to have been cast.

But by 5 p.m. (1330 GMT), the Electoral Commission of Kenya (ECK) had only released results from 28 of the country's 210 constituencies, with Kibaki leading by 693,195 votes to 517,800.

The delays at the ECK raised concerns among grassroots activists and Odinga's opposition Orange Democratic Movement.

"In this era of technology, it is surprising that ECK seems to be moving at a snail's pace in satisfying public hunger for information," civil society groups said in a statement.

"ECK must do better ... otherwise a situation will be created where sections of Kenyans will dispute the results."

Scenting victory, Odinga's supporters said they feared the delays meant the government was plotting to rig the results.

"Is this a strategy to impose a rejected regime on the people?" asked opposition official Joseph Nyaga. He accused the ECK of withholding results from the key Central Province "pending instructions from senior government officials."

The ECK denied any interference but also lamented the delays, which it said could extend the process into Saturday.

"If results were announced on the media two hours ago, the returning officer has no excuse for not getting them to us," ECK Commissioner Jack Tumwa said. "The country is getting restless."
 
Inawezekana Humu Kila Mtu Ana Damu Ya Ccm Ndio Maana Hawajaanza Kuwaamini Wapinzani Mpaka Sasa
 

Asante mkuu kwa kazi njema!

Wana JF walioko marekani tutakupatia special invitation kuja kutoa speech......lol ya ushindi
 
Inawezekana Humu Kila Mtu Ana Damu Ya Ccm Ndio Maana Hawajaanza Kuwaamini Wapinzani Mpaka Sasa

Una maana gani ukisema kila mtu?

Mimi hata waniue siitaki ccm na sitachoka mpaka itoke madarakani na wapambe wake wakose kazi za bwerere!
 
mamam zao na wake zao wakilazwa chini [/B]nakujifungua wakiwa sakafunikulikokuiona CCM ikiondoka madarakani , watu sijui wamelogwa ama nini sijui.

.....

mkuu wengine wakilazwa kweli hasa na wakuu ktk kampeni, kiasi cha kupelekea talaka.

wengine hutoa watoto wao wabichi wakakae kambi ya kuandaa ushindi, uone makada wanavyojilia nyama ya bifu isio na mfupa ee jamani kuna laana humu
 
JK ajue wananchi wanafuatilia kinachoendelea Kenya....mwache tuu aendelee na uswahili wake
 
JK ajue wananchi wanafuatilia kinachoendelea Kenya....mwache tuu aendelee na uswahili wake

JK yuko likizo na wala hajali kuwa kuna ndege ya jeshi ilikuwa inafanya biashara za utalii na kuanguka kule Arusha.

Anasubiriwa aje ama akubali ama kumkatalia Balali kujiuzulu na pia anasubiriwa kuja kutupatia ripoti za wizi wa hapo jikoni kwetu BOT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…