Kenya Election 2007: Outcomes



WAKUU,

NEWS MPYA HII HAPA:

TIME: 9.03AM
SOURCE: KTN TV

NATIONAL RESULTS KUFIKIA SASA

a) Raila - 3, 974, 715
b) Kibaki - 3, 580, 602
c) Kalonzo - 535, 363
___

PERCENTAGE ZA KURA ZILIZOKWISHA HESABIWA TOKA KILA MKOA

90% of Central,
87% of Eastern,
65% of Rift Valley,
60% of Nyanza,
55% of Coast,
50% of North Eastern,
55% of Western,
45% of Nairobi results in.

VYAMA NA NAMBARI ZA VITI VILIZOSHINDA

1. ODM 91
2. PNU 32
3. ODM-K 12
4. SAFINA 4
5. FORD PEOPLE - 3
6. NARC - 3
__________________________

1. Hawa majamaa waserikali au PNU bado wanashikilia mabox za huku Eastern watokako wameru ambao ni ngome ya Rais Kibaki.

2. Ruto na Nyagah wa ODM PENTAGON wamewasili Nairobi kwa ofisi kuu za ECK na kuitisha mkutano na wanahabari. Wameomba Kibaki aingilie kati na kuwaeleza maafisa wa ECK wafanye hala hala na halali jili usalama wa nchi unatishiwa na kadri mda unavyozidi kuyoyoma bila mshindi kutolewa. Wameuliza swali: Kuna nini inaendelea huko Meru ambako sio mbali sana na Nairobi takriban safari ya masaa mawili kwa gari?

3. Wawili hao pia wameuliza ni kwanini mkuu wa ECK haonekani hewani au hadharani? Kwa masaa 9 imeyopita inasemekana kwamba mkuu huyo, Samuel KIvuitu hapatikani hewani hata kwenye simu. Wanaotangaza matokeo rasmi ni baadhi ya wale maafisa wapya wa tume hilo walioajiriwa na serikali chini ya madai ya upinzani kwamba wamewekwa huko awali ili wafanye wizi wa kura. Zaidi ni huyo ambaye ni makamu wa Kivuitu.

4. Nyagah alinukuliwa live na wanahabari akisema kwamba kumefanyika wizi mkubwa wa kura kwenye ngome za PNU huko Mikoa ya Central na Eastern jana baada ya kuonekana kwamba ODM ilikuwa inashinda tangu jana asubuhi. Kumbukeni yeye anatoka hizo sehemu ingawaje ako ndani ya timu ya Raila/ODM. Alisema hivi sasa amesikia fununu kwamba wapambe wa Kibaki ikulu wanasema eti kama "plani" iliweza kufanyika USA na NIGERIA mbona sio KENYA? Nyagah alidai kwamba polisi wamewekwa wengi sana nje ya eneo la makao makuu ya ECK na wananchi hawawezi hata kuja pale njee kusubili kura za viongozi wao. Kwa maoni yake, Nyaga aliona ni kana kwamba Serikali na ECK zinataka ku announce kura imeshindwa na Kibaki na wananchi wakitoa fujo basi polisi wapambane nao.





4. Hizi picha zaonyesha maaskari wanaopatrol njee ya makao ya ECK hivi sasa.

5. Wacha tuendelee kusubiri ila PNU ikiiba hizi kura basi na ole wao....nchi inaeza kubadilika.
 
PRESIDENTIAL PROVISIONAL RESULTS AS AT 21.00 GMT [50% OUT OF 14.2 MILLION VOTES COUNTED]:-

RAILA ODINGA-3,609,348 - (50.2%) (25.25% of the 14.2 m registered voters)
MWAI KIBAKI -3,060,473 - (42.5%) (21.41% of the 14.2 m registered voters)
KALONZO MUSYOKA-515,950- (7.2%) (3.61% of the 14.2 m registered voters)

Raila is leading Kibaki by 548,875 votes an approximately 7.7%. The result will go to the wire as predicted. This will test the character of Kenyans as a nation.

PROVISIONAL PALIAMENTARY SEATS WON BY PARTIES:-
ODM-72
PNU-19
ODM-K-9
KANU-6
SAFINA-4
NARC-3
PICK-2
NEW FORD-K-2
UDM-1
SISI-1
DP-1
MGPK-1
TOTAL-112
 
Raila amechukua langata margin ya 25.25% na 21.41%(kibaki)...hizi namba zinawezwa kuchezewa huko meru! ODM JUU!
 
naona gap linaanza kupungua,
kunani pale kenya na kuna kura kibao hazijahesabiwa..lets wait and see
zitto umetuhakikishia kwamba ODM Wameshinda..
 
Naona Wakenya watachinjana hapa, kwa jinsi watu muhimu wa Kibaki walivyoangushwa, itakuwa ni maajabu Kibaki akishinda uchaguzi huu na damu inaweza kumwagika kweli Kenya.
 
Currently update from KTN are;

Raila: 4,047,241
Kibaki: 3,626,142
Kalonzo 619,216
Total 8,292,599

The counted votes are approximately 60 percent. i hope that Raila's lead over Kibaki continues like this to the end.

TUNATAKA RAISI YEYOTE EAST AFRICA ASIWE NA UHAKIKA WA KURUDI MADARAKANI.

LONG LEAVE EAST AFRICA
 
Zitto Can U check ua PM? Some 1 is being lukin for u
 
Kuna vurugu Kisumu, Kericho, Nairobi na Eldoret. Nadhani ni busara Kibaki aconcede because in any case i always say the country must move forward. Nchi ni beyond Kibaki and his inner circle. How can he form government with 24 MPs? Asituletee wakimbizi huku, tumepokea wengi toka Uhuru.

Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu Ibariki Kenya
 

Ubarikiwe sana; duh!
 
HUKU MAMBO YANAZIDI KUCHACHA

NILIVYOWAELEZA WENZANGU USIKUWA WA KUAMKIA LEO, PNU na SERIKALI WALICHEZA JANA USIKU MCHEZO MCHAFU. SASA KUNA FUJO KATIKA MIJI HIZI AMBAZO MH.ZITTO AMETAJA NA TENSION NAIROBI MZIMA.

KUTATOKEA KIBAYA HUKU.....

RAILA ANAPANGA KUENDA HEWANI WAKATI WOWOTE KUTOKEA SASA. PIA MKUU WA UCHAGUZI.

IDADA YA MAAFISA WA JESHI MBALI MBALI ZA POLISI YAZIDI KUONGEZEKA NAIROBI.

NA HAYA NDIO MATOKEO KUFIKIA SASA

RAILA - 4, 042, 702,
KIBAKI - 3, 663, 950.

ZIMESALIA KURA ZA MAENEO BUNGE TAKRIBAN 35. KWA HIZI KUMI NA SITA ZIKO KWENYE NGOME YA KIBAKI. KURA ZA MAENEO MATANO HAPA NAIROBI ETI MPAKA SASA HAZIJAMALIZIKA.

ALL THE COUNTRY IS IN A MENTAL STATE OF EMERGENCY, ME INCLUDED!

TUSUBIRI HII FILAMU HAI AMBAYO KIBAKI ANATOUNYESHA.
 
Ubarikiwe sana; ngoja na mimi nikaandike sasa, duh!

Kitila,

basi hata vinasomeka? jama wa Nai wamenipigia simu kuhusu vurugu huko miji kadhaa imenibidi nirudi hapa tena. Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Kenya amemwomba Kibaki aconcede defeat ili kuitoa Kenya katika machafuko. Sijui Kibaki atasikia............
 

Hongera Raila na kundi lako. Kazi iliyo mbele ni kubwa zaidi.
 

Mh. Zitto(MB),

Heshima mbele, Tahadhari tu mheshimiwa!!! hili si jambo rahisi!!! JF nayo ni chombo kinaangaliwa duniani kote including Kenya,,, kwa hiyo kama ODM wanavyosubiri official results from ECK, na wewe ungevumilia kidogo kufanya hivyo... hili ni jambo tete!!! Kumbuka Zanzibar (Shariff na Komandoo) na DTV
 
hi wana jf.
kuna habari zisizopendeza, huko Mji wa Migori ni risasi tu mji mzima. nyumba za wakikuyu zinachomwa moto, magari ya wakurya nayo yanachomwa moto, watu wanauna coz wana KIbaki anaendelea kuiba kura. Eeee Mungu wasaidie wakenya bongo tumechoka kubeba wakimbizi!!!!
 


Acha unafiki wako hapa kwani kitu gani kibaya kimesemwa hapo.


Raila Odinga kesha twaa mikoba yote. Kenyans have decided.
 
Kwani hayo majimbo ambayo hayajatangazwa ni watu wangapi walijiandikisha kupiga kura?
 

EEE MWENYEZI MUNGU TUEPUSHE NA HILI JANGA LILILO MBELE YETU!!! SISI WANAO MASKINI WA EAST AFRICA, WAPE HAO VIUMBE WAKO DHAIFU SUBRA WAKUBALI MATOKEA KWA AJILI YA MASLAHI YA WATU 120M WA EAST AFRICA...

AMEN AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…