Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 790
Kinachoshaangaza ni kwamba majimbo mengine ni ya hapo hapo Nairobi! Ndiyo maana ODM wana mashaka sana na hali hiyo. Kama yangechelewa matokeo ya kule kaskazini mashariki watu wangeweza kuelewa.
Kwi kwi kwi,,, Naimajini 2010 wakati matokeo ya Urais ya Kata ya Kivukoni, Jimbo la Ilala, yatakapochua siku sita kupelekwa kwenye Tume ya Uchaguzi, Iliyoko kata ya Kivukoni, Mitaa ya Ohio na Garden Avenue... Patamu hapo!!!