Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Kinachoshaangaza ni kwamba majimbo mengine ni ya hapo hapo Nairobi! Ndiyo maana ODM wana mashaka sana na hali hiyo. Kama yangechelewa matokeo ya kule kaskazini mashariki watu wangeweza kuelewa.

Kwi kwi kwi,,, Naimajini 2010 wakati matokeo ya Urais ya Kata ya Kivukoni, Jimbo la Ilala, yatakapochua siku sita kupelekwa kwenye Tume ya Uchaguzi, Iliyoko kata ya Kivukoni, Mitaa ya Ohio na Garden Avenue... Patamu hapo!!!
 
Naona wafuasi wa Raila wamecharuka kucheleweshwa matokeo..wanamapanga yaho hapo
 

Attachments

  • Snapshot8.jpg
    Snapshot8.jpg
    34.9 KB · Views: 65
  • Snapshot9.jpg
    Snapshot9.jpg
    35.1 KB · Views: 58
  • Snapshot0.jpg
    Snapshot0.jpg
    36.9 KB · Views: 55
  • Snapshot7.jpg
    Snapshot7.jpg
    34.8 KB · Views: 49
Wakuu

Kumutoa Rais wa nchi siyo mchezo, ameisha zoea starehe nyingi, wewe unafikiri mzee wa watu anatoka kwenda wapi na aibu yote hii.

Huyu mzee inawezekana kachanganyikiwa kabisa, anahitaji ushauri nasaha hili aweze kutoka.

Jamani Ikulu ni patamu mno.


Hamna lolote huyu mzee amesha zoea aibu maana alifutwa kazi na raisi Moi enzi zile ilikuwa makamu wa rais wakati huo huo alikuwa waziri wa afya pia alipoteza vibaya kura za 2002 na 2007. sasa lipi jipya aondoke tu.
 
Je?matokeo aliyotrangaza Raila kayapata kwa mawakala wake ama kayatoa wapi tafadhai naomba jibu mapema kuna kazi inatakiwa kufanyika hapa mapema sana kuokoa jahazi.
 
Raila had agents all round the country that relayed the results to their centre for tallying
 
Je?matokeo aliyotrangaza Raila kayapata kwa mawakala wake ama kayatoa wapi tafadhai naomba jibu mapema kuna kazi inatakiwa kufanyika hapa mapema sana kuokoa jahazi.

Raila na Chama chake cha ODM walikuwa wameajiri an Independent Research Group ifanye hesabu sambamba na ECK. Waliwatuma maafisa wao kwa maeneo bunge yote nchini na vitou vyote vya kupigia kura hata huko kwenye ngome za serikali.

Matokeo hayo ndio halali ila kuna jambo baya linaendelea huko kwa maeneo atoako support Kibaki. Hadi sasa wamekatalia mabox ya kura. Wanagonja maeneo yote mengine yatangaze kabisa Raila kapata ngapi halafu wasindilie kura bandia ndani ya mabox kisha za Rais zipite za Raila. Duru za kuaminika toka kwa media za huku zasema hivyo. Kawaida, serikali imepinga madai haya.
 


Raila na Chama chake cha ODM walikuwa wameajiri an Independent Research Group ifanye hesabu sambamba na ECK. Waliwatuma maafisa wao kwa maeneo bunge yote nchini na vitou vyote vya kupigia kura hata huko kwenye ngome za serikali.

Matokeo hayo ndio halali ila kuna jambo baya linaendelea huko kwa maeneo atoako support Kibaki. Hadi sasa wamekatalia mabox ya kura. Wanagonja maeneo yote mengine yatangaze kabisa Raila kapata ngapi halafu wasindilie kura bandia ndani ya mabox kisha za Rais zipite za Raila. Duru za kuaminika toka kwa media za huku zasema hivyo. Kawaida, serikali imepinga madai haya.
KT,
Kwenye hayo majimbo ya uchaguzi 159, mgawanyo wa kura za ubunge ukoje?
 
KT,
Kwenye hayo majimbo ya uchaguzi 159, mgawanyo wa kura za ubunge ukoje?

Wacha nikutafutie namba ya sasa ila ukicheki kurasa la 48 au 49 kwenye post fulani leo saa tatu niliweka mambo yalivyokuwa fikia subuhi.

WAKUBWA PICHA ZA FUZO KISUMU HIZI HAPA SASA

Baying_for_GEMA_shopII.jpg


1. Vijana wa ODM KISUMU wavamia duka la mkikuyu.


Riot_in_streets.JPG


2. FUJO, FUJO NA FUJO

Riotstreets3.jpg


3. FUJO ZAIDI HUKO KISUMU

RiotStreets.JPG



_________________________________________


RIPOTI ZA HIVI SASA:

1. RAILA 4.05 MILLION
2. KIBAKI 3.5 MILLION

BADO WANACHAPA HESABU

_________________________________


JAMA YANGU MMOJA ANAYETOKA MAENEO YANASHUKIWA KUWA YAMEIBA KURA ZA URAIS ANANIAMBIA KWA HILI SMS ETI MATOKEO YA KURA YATAKUWA KAMA YAFUATAVYO KUFIKIA JIONI:

"I have very intelligent information, Please dont ignore this, just verify it against the final results when ECK announces shortly, instead, look for something else to do about it, Kibaki is set to win the race as follows:

Kibaki: 4,649,246
Raila: 4,233,860
Kalonzo: 875,293

ODM, Wajaluo, Wapumbavu and Wote Wengine, Mjinyonge, we are celebrating a win."


THIS IS THE KIND OF THING THAT MAKES THE REST OF KENYANS TO HATE THE KIKUYUS WITH A PASSION



 
Mr Odinga has a four percentage point lead over Mr Kibaki
Kenya's opposition has claimed victory in presidential elections, and urged President Mwai Kibaki to admit defeat to prevent the spread of violence.
Official figures gave challenger Raila Odinga a four percentage point lead over President Mwai Kibaki, with three-quarters of the vote counted.

Kenya's electoral chief said results from some rural parts had been delayed.

Rioting has broken out in some opposition strongholds, where people feared their votes were being abused.

The head of the country's election commission, Samuel Kivuitu, said that early on Saturday afternoon, with 159 of Kenya's 210 constituencies tallied, Mr Odinga had 3,726,240 votes, to Mr Kibaki's 3,416,139 - around 49.5% to the challenger and 45.3% to the president.

Mr Kivuitu admitted there had been problems establishing results from some areas.

He warned that "if we don't get the results quickly, we will have to announce what we have".
 
Ninaangalia website ya Nation Media wanasema ni official results za majimbo 189 kati ya 210. Ina maana bado majimbo 21 tu na difference ya Kibaki na Odinga ni kama kura 346,792. Hata kama wakiiba kiasi gani, bado kuna ugumu wa kumeza hiyo tofauti unless kwenye hayo majimbo yote Odinga asipate kabisa.
 
_________________________________________


RIPOTI ZA HIVI SASA:

1. RAILA 4.05 MILLION
2. KIBAKI 3.5 MILLION

BADO WANACHAPA HESABU

_________________________________


JAMA YANGU MMOJA ANAYETOKA MAENEO YANASHUKIWA KUWA YAMEIBA KURA ZA URAIS ANANIAMBIA KWA HILI SMS ETI MATOKEO YA KURA YATAKUWA KAMA YAFUATAVYO KUFIKIA JIONI:

"I have very intelligent information, Please dont ignore this, just verify it against the final results when ECK announces shortly, instead, look for something else to do about it, Kibaki is set to win the race as follows:

Kibaki: 4,649,246
Raila: 4,233,860
Kalonzo: 875,293

ODM, Wajaluo, Wapumbavu and Wote Wengine, Mjinyonge, we are celebrating a win."


THIS IS THE KIND OF THING THAT MAKES THE REST OF KENYANS TO HATE THE KIKUYUS WITH A PASSION



[/B][/COLOR]

Asante ndugu kwa kutuletea habari za election.

One advice to you, ignore those sms because kenyans and all africans have a country to protect here. We dont want to see a 54th country in Africa. Let us all be calm and wait for results.

Americans had to wait for 2 weeks to get their results and they never tore their country apart. Send that guy a message back to make him apologize and feel sorry.

Thanks!
 
Kenya-Tanzanian,
Hongereni sana kwa kuwa na ujasiri wa kuonyesha wazi mmechoshwa na mafisadi.Wacha wajaribu kuiba na vijana wa ODM nasikia wamejianda vya kutosha kukabiliana na dalili zozote za wizi wa kura.
Hiyo ni leson nzuri sana hapa kwetu
 
Nimeona hii toka Nationmedia;

Official results from 189 of 210 constituecies:

Raila 4,356,092
Kibaki 4,009,300
Kalonzo 452,952

Hawaonyeshi hizo constituencies ni kutoka majimbo yapi. Mbona kama kura za Kalonzo zinapungua?
 
NAIROBI, Kenya (CNN) -- Opposition leader Raila Odinga's party claimed Saturday that it had won the most closely fought election in Kenya's history and asked President Mwai Kibaki to concede defeat.


Supporters of Presidential candidate Raila Odinga celebrate in Nairobi.

The party's number two official, Musalia Mudavadi, made the announcement at a press briefing.

"In view of the growing anxiety and restlessness in the country over the extended delay in releasing the presidential results by the electoral commission of Kenya, we now call on the outgoing president to acknowledge the will of the Kenyan people and concede defeat," Mudavadi told reporters.

Kenya's electoral commission has not yet announced official results of the election. It is expected to do so later Saturday.

But the slow pace of the vote counting has sparked violence in some parts of the country.

Mudavadi said Odinga had received 4,215,437 votes to Kibaki's 3,748,261 -- figures he said came from party representatives at polling stations across the country.

The delay comes from rules requiring that ballots be hand counted on site and then sent to Nairobi for verification before results can be announced.

The lag in the revelation of the results is blamed for the outbreak of sporadic violence in some areas.

Roaming gangs armed with machetes and other homemade weapons burned shops and broke into the homes of their political opponents Saturday in Kibera, the largest slum in Kenya's capital.

CNN Producer Kim Norgaard and his crew witnessed gangs looting and then burning several stores, and visited the home of a local organizer of one of the ruling parties that had been set on fire early Saturday morning.

The man was taken to the hospital with machete wounds, Norgaard said.

People's homes are being targeted according to their political affiliations, and armed gangs blame rival ethnic groups affiliated with local political parties for the violence.

Police are out on the streets but seem outnumbered and unable to completely stop the burning and looting, Norgaard observed.

Kibaki faced a serious challenge from Odinga, a flamboyant politician who for weeks has accused his rival of corruption. They are allegations Kibaki has faced since soon after he came to power five years ago.

While many Kenyans say they are tired of the accusations and are hungry for change, many others credit Kibaki with keeping the country's economy strong.

Many others, however, don't feel they have benefited from the economic boom. Odinga has openly appealed to them to vote out the incumbent so they can share the wealth.
 
Baying_for_GEMA_shopII.jpg


1. Vijana wa ODM KISUMU wavamia duka la mkikuyu.


Riot_in_streets.JPG


2. FUJO, FUJO NA FUJO

Riotstreets3.jpg


3. FUJO ZAIDI HUKO KISUMU

RiotStreets.JPG

Tamaa ya madaraka, Kibaki lazima akubali matokeo na kuwaasa wafuasi wake waheshimu maoni ya walio wengi. Inatia aibu kuona picha kama hizi huko Kisumu na kwingineko.

Tunamuomba rais aliyeshindwa awaase wafuasi wake ili kusitokee machafuko zaidi. La muhimu vile vile amuonye mkewe ambaye aliendekeza tabia ya kupiga raia kwa makusudi.

Rais mtarajiwa hongera sana kwa ushindi huu ni kwa wananchi wa Kenya wote popote walipo.
 
Nimeona hii toka Nationmedia;

Official results from 189 of 210 constituecies:

Raila 4,356,092
Kibaki 4,009,300
Kalonzo 452,952

Hawaonyeshi hizo constituencies ni kutoka majimbo yapi. Mbona kama kura za Kalonzo zinapungua?

Tatizo ni kwamba data tulizokuwa tunapata zilikuwa zinarushwa na KTN na hazikuwa ni official, na hata Nation Media jana walikuwa wanasema hizo results zilikuwa provisional. Kwa hiyo sasa hivi nadhani wameamua kuweka results za ECK moja kwa moja, hiyo inaweza kuwa sababu ya kura za Kalonzo kupungua.
 
Kibaki inabidi aombe wafuasi wake waachie Matokeo mara moja hili kama kashinda ijulikane.

Kuendelea kushikilia matokeo inamaana anataka fujo.

Usiku unaingia shida inaweza kuwa kubwa.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 86 (36 members and 50 guests)
kilitime, shemzigwa, mwafrika, NakuliliaTanzania, Bongolander, Kadogoo, Mtanzania, ntareyehirungu, tanzactive, Keil, gagnija, kinetiq01, kakindomaster, COMRADE44, MSAUZI, Kitila Mkumbo, semanao, KULIKONI UGHAIB, Komando, kijunjwe, Rufiji, Wicked3, Mnairobi, suleimani, Kenyan-Tanzanian, chakaza, Kasungura, sabasaba, mburahati, jamco_za, Mkaguzi, Mr. Zero, Mnhenwa Ndege, Jembajemba, Mtu wa Pwani, Shakazulu

Wote hao wananshinda nawanakesha wakisubiri matokeo!!! kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom