Kinachoshaangaza ni kwamba majimbo mengine ni ya hapo hapo Nairobi! Ndiyo maana ODM wana mashaka sana na hali hiyo. Kama yangechelewa matokeo ya kule kaskazini mashariki watu wangeweza kuelewa.
Wakuu
Kumutoa Rais wa nchi siyo mchezo, ameisha zoea starehe nyingi, wewe unafikiri mzee wa watu anatoka kwenda wapi na aibu yote hii.
Huyu mzee inawezekana kachanganyikiwa kabisa, anahitaji ushauri nasaha hili aweze kutoka.
Jamani Ikulu ni patamu mno.
Je?matokeo aliyotrangaza Raila kayapata kwa mawakala wake ama kayatoa wapi tafadhai naomba jibu mapema kuna kazi inatakiwa kufanyika hapa mapema sana kuokoa jahazi.
KT,
Raila na Chama chake cha ODM walikuwa wameajiri an Independent Research Group ifanye hesabu sambamba na ECK. Waliwatuma maafisa wao kwa maeneo bunge yote nchini na vitou vyote vya kupigia kura hata huko kwenye ngome za serikali.
Matokeo hayo ndio halali ila kuna jambo baya linaendelea huko kwa maeneo atoako support Kibaki. Hadi sasa wamekatalia mabox ya kura. Wanagonja maeneo yote mengine yatangaze kabisa Raila kapata ngapi halafu wasindilie kura bandia ndani ya mabox kisha za Rais zipite za Raila. Duru za kuaminika toka kwa media za huku zasema hivyo. Kawaida, serikali imepinga madai haya.
KT,
Kwenye hayo majimbo ya uchaguzi 159, mgawanyo wa kura za ubunge ukoje?
_________________________________________
RIPOTI ZA HIVI SASA:
1. RAILA 4.05 MILLION
2. KIBAKI 3.5 MILLION
BADO WANACHAPA HESABU
_________________________________
JAMA YANGU MMOJA ANAYETOKA MAENEO YANASHUKIWA KUWA YAMEIBA KURA ZA URAIS ANANIAMBIA KWA HILI SMS ETI MATOKEO YA KURA YATAKUWA KAMA YAFUATAVYO KUFIKIA JIONI:
"I have very intelligent information, Please dont ignore this, just verify it against the final results when ECK announces shortly, instead, look for something else to do about it, Kibaki is set to win the race as follows:
Kibaki: 4,649,246
Raila: 4,233,860
Kalonzo: 875,293
ODM, Wajaluo, Wapumbavu and Wote Wengine, Mjinyonge, we are celebrating a win."
THIS IS THE KIND OF THING THAT MAKES THE REST OF KENYANS TO HATE THE KIKUYUS WITH A PASSION
[/B][/COLOR]
1. Vijana wa ODM KISUMU wavamia duka la mkikuyu.
2. FUJO, FUJO NA FUJO
3. FUJO ZAIDI HUKO KISUMU
Nimeona hii toka Nationmedia;
Official results from 189 of 210 constituecies:
Raila 4,356,092
Kibaki 4,009,300
Kalonzo 452,952
Hawaonyeshi hizo constituencies ni kutoka majimbo yapi. Mbona kama kura za Kalonzo zinapungua?
Currently Active Users Viewing This Thread: 86 (36 members and 50 guests)
kilitime, shemzigwa, mwafrika, NakuliliaTanzania, Bongolander, Kadogoo, Mtanzania, ntareyehirungu, tanzactive, Keil, gagnija, kinetiq01, kakindomaster, COMRADE44, MSAUZI, Kitila Mkumbo, semanao, KULIKONI UGHAIB, Komando, kijunjwe, Rufiji, Wicked3, Mnairobi, suleimani, Kenyan-Tanzanian, chakaza, Kasungura, sabasaba, mburahati, jamco_za, Mkaguzi, Mr. Zero, Mnhenwa Ndege, Jembajemba, Mtu wa Pwani, Shakazulu