Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Wote hao wananshinda nawanakesha wakisubiri matokeo!!! kwi kwi kwi
Kibaki inabidi aombe wafuasi wake waachie Matokeo mara moja hili kama kashinda ijulikane.
Kuendelea kushikilia matokeo inamaana anataka fujo.
Usiku unaingia shida inaweza kuwa kubwa.
Tuko kwenye maandalizi ya 2010, mwenzetu kwanini uko hapa? Kwi kwi kwi!!!
Tatizo ni kwamba data tulizokuwa tunapata zilikuwa zinarushwa na KTN na hazikuwa ni official, na hata Nation Media jana walikuwa wanasema hizo results zilikuwa provisional. Kwa hiyo sasa hivi nadhani wameamua kuweka results za ECK moja kwa moja, hiyo inaweza kuwa sababu ya kura za Kalonzo kupungua.
Moto unawaka ndani ya KICC, kamishina kafukuzwa kwenye ukumbi!
Kuna kazi kweli kweli hapo.
Tuombe mungu haya yaishe salama maana hii ni hatari sana. mimi naamini kuwa mwisho wa siku amani ya kenya itaendelea kuwepo jamani mungu hivi waafrika tumekukosea nini?
Master unasahau kuwa wizi mara nyingi huwa unafanyika usiku na sio mchana. Kwa hiyo inawezakena kabisa kuwa wanasubiri usiku uingie ili watumie usiku kufanya mambo!
VURUGU NDANI YA JUMBA KUU LA ECK JAMENI! SASA HIVI! WAJUMBE WA VYAMA MBALI MBALI WAWAFUKUZA MAKAMISHENA NA KUWAAMBIA WANAMTAKA KIVUITU AJE ATANGAZE MSHINDI MARA MOJA!!
WACHA NIFUATE HII NAJA NA NEWS
WAHESHIMIWA BADO TUPO,
HIZO FIGA ZA NATION MSIZIKUBALI, ZIMETOLEWA NA PNU AU SERIKALI WAKATI WALIONA KINA RAILA WAMEENDA HEWANI NA KUTANGAZA KWA MEDIA ZA KIMATAIFA KWAMBA UPINZANI UMESHINDA NA RAIS AMEKATAA KUKUBALI. NI REACTIONARY RESULTS ZA KU LEGITIMIZE WHY MAENEO YA RAIS YAMEKATALIA MABOX MENGI YA KURA HADI LEO.
_____________________
MAJINA YA MAENEO BUNGE YALIYOSALIA HESABU NI HAYA:
1.Kamukunji
2.Makadara
3.Dagoretti
4.Embakasi
5.Changamwe
6.Kisauni
7.Likoni
8.Msambweni
9.Kinango
10.Bahari
11.Magarini
12.Garsen
13.Ijaara
14.Wajir North
15.Wajir West
16.Isiolo North
17.Igembe
18.Tigania West
19.Tigania East
20.North Imenti
21.South Imenti
22.Nithi
23.Tharaka
24.Mutito
25.Kangundo
26.Kathiani
27.Mwala
28.Mbooni
29.Kilome
30.Makueni
31.Kibwezi
32.Olkalaou
33.Kiambaa
34.Limuru
35.Turkana North
36.Turkana Central
37.Kapenguria
38.Laikipia East
39.Naivasha
40.Nakuru Town
41.Molo
42.Kajiado North
43.Sotik
44.Buret
45.Ainamoi
46.Malava
47.Emuhaya
48. South Mugirango
49.Bomachoge
50.Bobasi
51.Nyaribari Chache
52Kitutu Chache
____________________________
HALAFU KUNA MHESHIMIWA ALIYEULIZA IDADI AU TAKWIMU ZA VYAMA: BAADHI HIZI:
1 ODM - 93
2. PNU - 33
3. ODM-K - 15
4. KANU - 9
5. SAFINA -5
6. NARC - 3
7. NARC KENYA -2
8. FORD ASILI - 1
9. KENDA - 1
1O. FORD KENYA - 1
11. KADDU -1
____________________
Labda uulize yeye ametukosea nini kiasi tunamkosea hivi? Au kwa uzuri zaidi Mungu kawakosea nini watawala wa Afrika kiasi kwamba hawamuheshimu kiasi hiki?
kivuiti Awasili...kumechacha!