Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Naweza kusema uchaguzi wa Kenya sasa hivi uko kwenye constituencies zilizobaki, hapo ndio kufa na kupona, pata shika nguo kuchanika. PNU wakifanikiwa kuiba hapo ndio watashinda na ODM wakiweza kuonesha ujasiri wa kukataa kuibiwa basi hapo ndio itakuwa nafasi ya ushindi wao....the coming hour will be very interesting in Kenyan Politics, it will show the world what Kenya and Kenyans are really like. Let us wait and see!!
 
Kibaki inabidi aombe wafuasi wake waachie Matokeo mara moja hili kama kashinda ijulikane.

Kuendelea kushikilia matokeo inamaana anataka fujo.

Usiku unaingia shida inaweza kuwa kubwa.

Master unasahau kuwa wizi mara nyingi huwa unafanyika usiku na sio mchana. Kwa hiyo inawezakena kabisa kuwa wanasubiri usiku uingie ili watumie usiku kufanya mambo!
 
Tuko kwenye maandalizi ya 2010, mwenzetu kwanini uko hapa? Kwi kwi kwi!!!


LOL. I enjoy this vigilance. Pemba, Tarime and Karatu style! I wish kule Karagwe, ubungo, songea mjini nk- kama kila mpiga kura angekaa mkao wa 'hakuna kulala, mpaka kieleweke'. Anyway, tuendelee kusubiri matokeo. Kuna mambo mengi Tanzania tunaweza kujifunza uchaguzi wa Kenya kwa ajili ya uchaguzi wetu wa 2010- mazuri na mabaya.

JJ
 
Njia wanayotaka kutumia PNU na serikali ni kuvuga uchaguzi ili urudiwe wajipange kuiba kura zaidi. wait and see
 
Tatizo ni kwamba data tulizokuwa tunapata zilikuwa zinarushwa na KTN na hazikuwa ni official, na hata Nation Media jana walikuwa wanasema hizo results zilikuwa provisional. Kwa hiyo sasa hivi nadhani wameamua kuweka results za ECK moja kwa moja, hiyo inaweza kuwa sababu ya kura za Kalonzo kupungua.

WAHESHIMIWA BADO TUPO,

HIZO FIGA ZA NATION MSIZIKUBALI, ZIMETOLEWA NA PNU AU SERIKALI WAKATI WALIONA KINA RAILA WAMEENDA HEWANI NA KUTANGAZA KWA MEDIA ZA KIMATAIFA KWAMBA UPINZANI UMESHINDA NA RAIS AMEKATAA KUKUBALI. NI REACTIONARY RESULTS ZA KU LEGITIMIZE WHY MAENEO YA RAIS YAMEKATALIA MABOX MENGI YA KURA HADI LEO.

_____________________

MAJINA YA MAENEO BUNGE YALIYOSALIA HESABU NI HAYA:

1.Kamukunji
2.Makadara
3.Dagoretti
4.Embakasi
5.Changamwe
6.Kisauni
7.Likoni
8.Msambweni
9.Kinango
10.Bahari
11.Magarini
12.Garsen
13.Ijaara
14.Wajir North
15.Wajir West
16.Isiolo North
17.Igembe
18.Tigania West
19.Tigania East
20.North Imenti
21.South Imenti
22.Nithi
23.Tharaka
24.Mutito
25.Kangundo
26.Kathiani
27.Mwala
28.Mbooni
29.Kilome
30.Makueni
31.Kibwezi
32.Olkalaou
33.Kiambaa
34.Limuru
35.Turkana North
36.Turkana Central
37.Kapenguria
38.Laikipia East
39.Naivasha
40.Nakuru Town
41.Molo
42.Kajiado North
43.Sotik
44.Buret
45.Ainamoi
46.Malava
47.Emuhaya
48. South Mugirango
49.Bomachoge
50.Bobasi
51.Nyaribari Chache
52Kitutu Chache

____________________________


HALAFU KUNA MHESHIMIWA ALIYEULIZA IDADI AU TAKWIMU ZA VYAMA: BAADHI HIZI:

1 ODM - 93
2. PNU - 33
3. ODM-K - 15
4. KANU - 9
5. SAFINA -5
6. NARC - 3
7. NARC KENYA -2
8. FORD ASILI - 1
9. KENDA - 1
1O. FORD KENYA - 1
11. KADDU -1

____________________
 
Wizi umeanza, kuna mgogoro kwenye utangazaji wa kura, kuna jimbo Kibaki amepata 95,000+ na Odinga amepata 1849. Kwa mwendo huu hapa kuna balaa. Turn out 79%!
 
Jamani kwa wale mnaofatilia matangazo live kwenye KBC hebu ona vile wanahabari wa Kenya walivyo na msimamo tofauti na hao wa Tanzania. Wanahabari wa Kenya wanailazimisha tume ya uchaguzi itoe matangazo kwa ajili ya amani na utulivu wa Kenya.

Mzee Kivuitu tafadhali tangaza matokeo.
 
Moto unawaka ndani ya KICC, kamishina kafukuzwa kwenye ukumbi!
 
VURUGU NDANI YA JUMBA KUU LA ECK JAMENI! SASA HIVI! WAJUMBE WA VYAMA MBALI MBALI WAWAFUKUZA MAKAMISHENA NA KUWAAMBIA WANAMTAKA KIVUITU AJE ATANGAZE MSHINDI MARA MOJA!!

WACHA NIFUATE HII NAJA NA NEWS
 
Moto unawaka ndani ya KICC, kamishina kafukuzwa kwenye ukumbi!

Kuna kazi kweli kweli hapo.

Tuombe mungu haya yaishe salama maana hii ni hatari sana. mimi naamini kuwa mwisho wa siku amani ya kenya itaendelea kuwepo jamani mungu hivi waafrika tumekukosea nini?
 
Mkuu KT

Nasikia yamebakia majimbo ishirini tu mpaka sasa unaweza kutupa taharifa za sasa hivi?
 
Kuna kazi kweli kweli hapo.

Tuombe mungu haya yaishe salama maana hii ni hatari sana. mimi naamini kuwa mwisho wa siku amani ya kenya itaendelea kuwepo jamani mungu hivi waafrika tumekukosea nini?

Labda uulize yeye ametukosea nini kiasi tunamkosea hivi? Au kwa uzuri zaidi Mungu kawakosea nini watawala wa Afrika kiasi kwamba hawamuheshimu kiasi hiki?
 
Master unasahau kuwa wizi mara nyingi huwa unafanyika usiku na sio mchana. Kwa hiyo inawezakena kabisa kuwa wanasubiri usiku uingie ili watumie usiku kufanya mambo!

Mkuu

Kweli naona usiku unavyoingia mambo mazito yanazidi kutinga hiyo ya Keil inaonyesha kuwa usiku mambo yanaweza kubadilika kama usiku wa kuamukia leo.

Inabidi kweli wasisubili usiku la sivyo kibaki anaweza kuongeza milioni mbili zaidi.
 
VURUGU NDANI YA JUMBA KUU LA ECK JAMENI! SASA HIVI! WAJUMBE WA VYAMA MBALI MBALI WAWAFUKUZA MAKAMISHENA NA KUWAAMBIA WANAMTAKA KIVUITU AJE ATANGAZE MSHINDI MARA MOJA!!

WACHA NIFUATE HII NAJA NA NEWS

Jamani mie kiroho juu, ee Mungu wanusuru ndugu zetu!

But Kibaki why all these?? Muogope Mungu wako jamani!
 


WAHESHIMIWA BADO TUPO,

HIZO FIGA ZA NATION MSIZIKUBALI, ZIMETOLEWA NA PNU AU SERIKALI WAKATI WALIONA KINA RAILA WAMEENDA HEWANI NA KUTANGAZA KWA MEDIA ZA KIMATAIFA KWAMBA UPINZANI UMESHINDA NA RAIS AMEKATAA KUKUBALI. NI REACTIONARY RESULTS ZA KU LEGITIMIZE WHY MAENEO YA RAIS YAMEKATALIA MABOX MENGI YA KURA HADI LEO.

_____________________

MAJINA YA MAENEO BUNGE YALIYOSALIA HESABU NI HAYA:

1.Kamukunji
2.Makadara
3.Dagoretti
4.Embakasi
5.Changamwe
6.Kisauni
7.Likoni
8.Msambweni
9.Kinango
10.Bahari
11.Magarini
12.Garsen
13.Ijaara
14.Wajir North
15.Wajir West
16.Isiolo North
17.Igembe
18.Tigania West
19.Tigania East
20.North Imenti
21.South Imenti
22.Nithi
23.Tharaka
24.Mutito
25.Kangundo
26.Kathiani
27.Mwala
28.Mbooni
29.Kilome
30.Makueni
31.Kibwezi
32.Olkalaou
33.Kiambaa
34.Limuru
35.Turkana North
36.Turkana Central
37.Kapenguria
38.Laikipia East
39.Naivasha
40.Nakuru Town
41.Molo
42.Kajiado North
43.Sotik
44.Buret
45.Ainamoi
46.Malava
47.Emuhaya
48. South Mugirango
49.Bomachoge
50.Bobasi
51.Nyaribari Chache
52Kitutu Chache

____________________________


HALAFU KUNA MHESHIMIWA ALIYEULIZA IDADI AU TAKWIMU ZA VYAMA: BAADHI HIZI:

1 ODM - 93
2. PNU - 33
3. ODM-K - 15
4. KANU - 9
5. SAFINA -5
6. NARC - 3
7. NARC KENYA -2
8. FORD ASILI - 1
9. KENDA - 1
1O. FORD KENYA - 1
11. KADDU -1

____________________

Kenyan Tanzania
I wonder who are the residents of number 28 constituent, is it all women or? In tanzania that name would be taboo to be spoken in public.
 
Labda uulize yeye ametukosea nini kiasi tunamkosea hivi? Au kwa uzuri zaidi Mungu kawakosea nini watawala wa Afrika kiasi kwamba hawamuheshimu kiasi hiki?

Ni hatari sana na inasikitisha kuwa watu wanaweza kufanya mambo kama vile hawamuheshimu Mungu. Nilisoma taarifa ya reuters jana ila leo nimeitafuta imekosekana na sijui kwa nini. Hii taarifa ilisema kuwa Kivuitu amesema kuwa matokeo yatacheleshwa makusudi ili kutuliza munkari ya watu ambao hawatapenda hayo matokeo.

Kama hili ni kweli basi amekosea sana maana kuchelewa huku na kama mambo ndio kama ninavyoona KBC kuwa Kibaki ana 95000 na Raila akiwa na 1000 kwenye jimbo moja basi hakuna atakayeamini kuwa kibaki ameshinda hata kama akishinda kwa halali.

Yaani afrika kila option inaonekana kuwa mbaya tu naogopa kusema kuwa ni laana hii na wala sio bure!
 
kivuiti Awasili...kumechacha!


Hapa ndio mwisho wa maneno. Ingekuwa kwa wenzetu Kibaki angeshapiga simu saa nyingi kumpongeza Raila, lakini kwetu wapi maskini!!! Ndio maana wengine wanafika mahala wanakubaliana na Watson, japokuwa naye amegundulika kuwa 16% ya genes zake zina asili ya Africa weusi.
 
Back
Top Bottom