Kenya Election 2007: Outcomes

SKY News wanasema riots zimeanza Nairobi baada ya matokeo kutangazwa.
 

kweli kabisa mtanzania.

watu wanapenda sana kukimbilia na mifano ya uropa na amerika bila kukumbuka hawa jamaa wamepigana sana kabla ya kuheshimiana na pia kuwa marais wa huko hawana nguvu sana ya ndani kama vile marais wa afrika ambao wanafanya chochote kile wakiwa madarakani.


Huu ni ushenzi na inabidi watu ambao sio from gema (kikuyu, meru na some kambas) waongozane hadi nairobi na wakae huko mpaka kieleweke maana wao ni wengi kuliko hao gemas.

aibu kabisa na mizee hii isiyotaka kuachia madaraka.
 
Poleni sana jamani wana JF wote wapenda amani na demokrasia ya kweli!. Hapana shaka wote tumepata pigo kwa mazingaombwe yaliyo endelea, na pengine kupata maumivu mioyoni mwetu hasa kwa jinsi tulivo shuhudia na kusikia kilicho endelea!

Binafsi nimeumia sana!

Tuwaombee wenzetu huko Kenya hili jambo liishe kwa amani, Mungu awape hekima kina Raila waweze kufanya lilo la busara ili Kenya iendelee kuwa ya amani.
 
Hivi ODM wamepata nafasi za ubunge asilimia ngapi? Inabidi kweli busara itumike kusitokee machafuko!
 
You are not. very good idea, lakini ni vigumu kuiweka vizuri sasa hivi maana bado tunaomboleza kubakwa kwa demokrasia Kenya

Tuwe na wazo hili, tukimaliza kuuguza majeraha yetu tufanye hii kazi. Lakini the earlier the better, maana tukisubiri sana hata baadhi ya evidence zilizopo zinaweza kuyeyuka.
 

Nilisema kitu kama hiki. SHY Akaja juu!!!
 
Kila mara watu tunapojaribu kuimove afrika mbele kuna watu wanataka kuirudisha nyuma , hivi kweli uchumi wa Kenya utaweza kuthrive kwenyee hii hali ? Na jee kama chama Moi kingeamua kuiba uchaguzi kipindi kile cha Nyuma huyu mzee angeshinda ? On a serious note na mheshimiwa Zito atuambie analiona vipi suala lake la shirikisho , kweli ni idea nzuri kujiunga na nchi ambayo kuna chuki kubwa kati ya kabila na kabila .
 
Damn 48%+48%+5%=100%??? Hii hesabu ya wapi?

this can be a simple and smallest error they(kibaki et al) have made But if its true that the final sum is 48%+48%+5%=101

that means that kibaki actually got 47% of the votes,and to make up with the extra percentage that raila was leading with,kibaki added the votes to make up the shame full 101% sum,

and the way things looked before,raila must have gotten 49% and raila had something like 45%-46%

a better way is for international community to intercept,and let democracy pave the way for future better kenya
 

yup,

bado unaweza kujiunga nao ili ukapunguza chuki dhidi yao na kuifanya iwe chuki dhidi ya wengine na mwishowe wanaamua kuishi pamoja (just dreaming). Nchi zote zilizoungana kuna migogoro lakini life inaendelea kama kawa!
 

Yaliyomkuta Al Gore ndiyo haya tunayoshuhudia kwa Raila hivi leo.

Kwamba Bush anatakiwa kuongoza maana ni muIRISH na Gore hatakiwi

kuongoza sababu ni muGREEK (inferior tribe/ethnic gp)


Very sad stories.
 
Politricks Buddy
 
BBC (UK) hawajasema chochote tangu wakati wa kupiga kura as if nothing was happening, lakini sasa hivi baada ya fujo kuanza utaona watakavyoshika bango!
 
1. Swala jingine -je Uchaguzi kuwa free and fair ni lazima Raila awe mshindi? Je wizi anweza tu kufanya Kibaki kwa kuwa ni incumbent president?

2. Taabu ODM walianza kusherekea mapema mno- ktkt ya mchezo wakati mpira ni dakika 90!

3. Well it was a neck to neck contest- angalia margin ya ushindi- 200,000 yoyote angeweza tu kushinda!

Kama Kibaki ndo ametangazwa, Utaifa, utulivu na amani kwa Kenya ni muhimu zaidi kuliko kuingia mitaani!
 
na wakifanyakaga wizi ndo hivo hivo?? sasa kuapishwa usiku wote huu?? shame on him!
 

wewe ulikuwa unafuatilia matokeo au vipi.

umeona hizo picha za maboksi ya kura yakiwa nje tu na huku agents wa vyama wakiwa hawapo?

ulimsikia mkuu wa tume akisema kuwa wasimamizi wameenda nyumbani na matokeo yakura au wengine wamelala?

Ni rahisi sana kusema kuwa hakuna kilichotokea kama hutafatilia events zote za uchaguzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…