Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Ameshaapishwa tayari. Inatia aibu kweli kweli.

Wanafunga vyombo vya habari, hawajui kuna sms, kuna Internet, kuna vyombo vya habari vya nje?

Mimi ni mpenda amani sana, lakini kwenye hili naamini wananchi wana kila haki
ya kutumia nguvu kumwondoa Kibaki.
 
Je yawezekana kuwa katika hamasa yetu ya kutaka Raila ashinde tumeshindwa kuwa fair na kutaka aliyeshinda kihalali ashinde whoever that may be? Kuongoza toka mwanzo siyo sababu ya kujitangaza mshindi. Tatizo hilo ndilo lililowakuta CUF kwenye uchaguzi.

Nadhani sheria ya Kenya ni kama ya kwetu ambapo Tume ikishamtangaza Rais hakuna pa kukimbilia ni kusubiri miaka mitano. Je watu wa Raila hawakutumia kila "mbinu" ili mgombea wao ashinde na mbinu hizo zikaitwa "mkakati"?

Kwa vyovyote ilivyo, uchaguzi huu wa Kenya umekuwa na madudu mengi na ya dhahiri ambayo unaweza kufanya yaliyotokea Tanzania kuwa ni ya shule ya vidudu. Tunapoenda mbele jukumu kubwa ni kuona jinsi gani tunaweza kutengeneza mechanism ambayo itahakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa uhuru.

Binafsi naamini jambo moja ambalo lazima lifanyike mara moja Tanzania na hata baadaye Kenya ni kuwa mtindo wa kusubiri matokeo ya Urais yatangazwe kitaifa unachochea sana wizi na uvunjaji wa taratibu. Binafsi naamini kila mkoa/jimbo utangaze matokeo yake ya mkoa na hayo yanasimama. Tume ya Taifa jukumu lake ni kukusanya matokeo yote na kuyajumuisha. Hii ina maana ya kuwa badala ya vituo kutangaza halafu matokeo yaende tume ya Taifa ni vizuri matokeo yakitangazwa vituoni yanaenda ngazi za mkoa na kila mkoa unatangaza matokeo yake period.

Baada ya mikoa yote kutangaza matokeo yote, tume inatangaza mshindi.
 
WENZANGU,

NASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NASI KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.

NAWAOMBENI RUHSA NIENDE NIKAOMBOLEZE NA NCHI YANGU, TUPANGUZANE MACHOZI KWA KITENDO CHA JINAI KIMECHOFANYIKA IKULU, NAIROBI. SITAKUWA HAPA KWA MUDA LAKINI MUISHI KWA AMANI NCHI YA MAMANGU, TANZANIA.

WAMEFUNGA VITUO VYOTE VYA UTANGAZAJI NA SASA NI KBC TU NDIO INA HATI ZA KUTANGAZA. NGOJENI MUONE DAMU SASA HASA YA WANAUPINZANI NA WALIOMPIGIA RAILA IKIANZA KUMWAGWA NA SERIKALI. KBC ITAWAAMBIA MAMBO SHWARI LAKINI WATAPONDA ANY RESISTANCE NA RISASI. TUMEKWISHA SISI, VIONGOZI WETU ODM WILL BE ARRESTED WITHOUT TRIAL AND THIS IS WHAT IT MEANS TO FIGHT FOR DEMOCRACY AND THE POOR.

WE ARE MEN, WE WILL DIE LIKE MEN.

KWAHERI YA KUONANA. NIKIFA VITANI HUKO KWENYE MAANDAMANO AMBAZO ZIMEANZA TAYARI MUSINISAHAU MOYONI MWENYU. NAWAPENDA NA NINA WAHESHIMU.

AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
So painful lakini tupo pamoja before God
 
Umri wa Kibaki ni miaka 76 na ODM wamepata viti 76% vya ubunge. Kenya itatawalika?
 
Je yawezekana kuwa katika hamasa yetu ya kutaka Raila ashinde tumeshindwa kuwa fair na kutaka aliyeshinda kihalali ashinde whoever that may be? Kuongoza toka mwanzo siyo sababu ya kujitangaza mshindi. Tatizo hilo ndilo lililowakuta CUF kwenye uchaguzi.

Nadhani sheria ya Kenya ni kama ya kwetu ambapo Tume ikishamtangaza Rais hakuna pa kukimbilia ni kusubiri miaka mitano. Je watu wa Raila hawakutumia kila "mbinu" ili mgombea wao ashinde na mbinu hizo zikaitwa "mkakati"?

Kwa vyovyote ilivyo, uchaguzi huu wa Kenya umekuwa na madudu mengi na ya dhahiri ambayo unaweza kufanya yaliyotokea Tanzania kuwa ni ya shule ya vidudu. Tunapoenda mbele jukumu kubwa ni kuona jinsi gani tunaweza kutengeneza mechanism ambayo itahakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa uhuru.

Binafsi naamini jambo moja ambalo lazima lifanyike mara moja Tanzania na hata baadaye Kenya ni kuwa mtindo wa kusubiri matokeo ya Urais yatangazwe kitaifa unachochea sana wizi na uvunjaji wa taratibu. Binafsi naamini kila mkoa/jimbo utangaze matokeo yake ya mkoa na hayo yanasimama. Tume ya Taifa jukumu lake ni kukusanya matokeo yote na kuyajumuisha. Hii ina maana ya kuwa badala ya vituo kutangaza halafu matokeo yaende tume ya Taifa ni vizuri matokeo yakitangazwa vituoni yanaenda ngazi za mkoa na kila mkoa unatangaza matokeo yake period.

Baada ya mikoa yote kutangaza matokeo yote, tume inatangaza mshindi.

Amen Mwanakijiji,

hayo uliyosema yangefanyika hakuna mtu angeibiwa kura kama kilichofanyika hapa.
 
Kenya had an important test. The undeniable truth, It flanked it big time.

Let's move forward; and forget the 'most advanced...whatever dreams.'

We all pray and hope peace prevails.
 
Mzee Mwanakijiji,
Hapana. Hii ya Kenya ni wizi wa mchana. Inakuwaje Ikulu wawe na orodha ya matokeo inayoonyesha Kikabi kashinda kwa kura 4.5 milllion to 4.3 million za Raila? Zogo lote la jana hata kufikia mchana wa leo lilihusiana na Kamati ya Uchaguzi kukubali matokeo yaliyopikwa na Ikulu. Na pia usiwasahau wasimamiaji waliojitolea mhanga kusema kuwa kura ziliibiwa, in one place Kibaki akipngezewa kura 45 elfu ambazo hakuzipata. Na point ya mwisho, iweje mawaziri wengi wa Kibaki pamoja na VP wake wakataliwe na yeye akubalike? Hapa system imewangusha Wakenya.
 
Kwa 76% ya wabunge hata kura ya kutokuwa na imani nae inawezekana kabisa na tukarudi nyuma! Haki lazima itafutwe kwa nguvu zote hata kwa nguvu kama ndio last coin ya nguvu za wananchi.
 
Mwanakijiji,

Naona unataka kuspark fire , inakuwaje uchaguzi ambao uliandaliwa kwa miaka na teknolojia iliyokuwepo watu wanashindwa kurudisha matokeo on time ? Na jana mwenyekiti wa tume alisema anajaribu kuwapigia simu awapatikani sasa kama hii ndio hali, inakuwaje leo wanaccept matokeo kwa watu ambao jana walikimbia nayo .

Hii trick nadhani walijifunza Zanzibar...
 
Nakubaliana na wewe hapa..CNN na BBC wameniboa sana for their lack of interest in these elections, i got more info from JF than them..proud to be a member once again..lakini wakisikia fujo sasa lazma waanze ku report...its so sad...kama walivyosema wengi east africans tungelikuwa na large reserves of Oil...Raila angekuwa Raisi saizi..the west is always there to solve political issues when their interests are at stake... :-(...wanajf i may not have done my homework but what is the role of hawa EU Election Watchers..like whats next? they have seen what went down, what now??? As much as i have violance sometimes it feels like the only solution...the went throught to achieve their state of affairs mayb we should too...

Samahani kwa hasira lakini ingawa mimi mtanzania inauma sana..coz this clearly shows that sisi vita yetu dhidi ya mafisadi bongo inaanza kuwa ndoto sasa...REPORT YA BOT ANYONE??? Nadhani we can all agree kwamba MATOKEO TUMESHAYAJUA... :-( ...DONT WE ALL MISS THE DAYS WHEN WE COULD BLAME THE WHITE MAN FOR OUR PROBLEMS IN AFRIKA...
 
Je yawezekana kuwa katika hamasa yetu ya kutaka Raila ashinde tumeshindwa kuwa fair na kutaka aliyeshinda kihalali ashinde whoever that may be? Kuongoza toka mwanzo siyo sababu ya kujitangaza mshindi. Tatizo hilo ndilo lililowakuta CUF kwenye uchaguzi.

Nadhani sheria ya Kenya ni kama ya kwetu ambapo Tume ikishamtangaza Rais hakuna pa kukimbilia ni kusubiri miaka mitano. Je watu wa Raila hawakutumia kila "mbinu" ili mgombea wao ashinde na mbinu hizo zikaitwa "mkakati"?

Kwa vyovyote ilivyo, uchaguzi huu wa Kenya umekuwa na madudu mengi na ya dhahiri ambayo unaweza kufanya yaliyotokea Tanzania kuwa ni ya shule ya vidudu. Tunapoenda mbele jukumu kubwa ni kuona jinsi gani tunaweza kutengeneza mechanism ambayo itahakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa uhuru.

Binafsi naamini jambo moja ambalo lazima lifanyike mara moja Tanzania na hata baadaye Kenya ni kuwa mtindo wa kusubiri matokeo ya Urais yatangazwe kitaifa unachochea sana wizi na uvunjaji wa taratibu. Binafsi naamini kila mkoa/jimbo utangaze matokeo yake ya mkoa na hayo yanasimama. Tume ya Taifa jukumu lake ni kukusanya matokeo yote na kuyajumuisha. Hii ina maana ya kuwa badala ya vituo kutangaza halafu matokeo yaende tume ya Taifa ni vizuri matokeo yakitangazwa vituoni yanaenda ngazi za mkoa na kila mkoa unatangaza matokeo yake period.

Baada ya mikoa yote kutangaza matokeo yote, tume inatangaza mshindi.

Hata kama aliyeshinda, hajafanya hivyo kihalali? kwani nyu-shahidi ngapi zipo zinazo sema kura zimeiibiwa? Hata wamarekani walisubiri takribani mwezi mzima, korti zilihusishwa na vote kuwa counted and recounted ndipo mshindi akatangazwa.....sasa best huoni kama hapa kuna walakini au ndio politics za "mr nice guy"??
 
Fresh tally will do him no good. The President of the republic of Kenya His Excellency Mwai Kibaki has been sworn in by the Chief Justice.

See you in court Raila
 
Experts predicted Kenya's presidential ballot would be the closest in four decades of independence. But it turned out to be even more dramatic.

Here are some key quotes compiled by Reuters:

"This government has lost all legitimacy and cannot govern ... I wish to appeal to President Mwai Kibaki to acknowledge and respect the will of the people of Kenya and honourably concede defeat." -- opposition presidential candidate Raila Odinga, leader of the Orange Democratic Movement (ODM) talks tough.

"Those are noises ... Any other kangaroo results given by any Tom, Dick or Harry deserve every contempt." -- a spokesman for Kibaki's Party of National Unity (PNU) laughs at opposition.

"How many times have we met mad people on the road saying 'I own this shop,' and the man has no trousers? I can even announce that I am president of Kenya. Will that make me president of Kenya?" -- Electoral Commission of Kenya (ECK) chairman Samuel Kivuitu calls for an end to premature victory declarations.

"Almighty God, whoever wins, we pray there will not be bloodshed." -- presidential candidate and pastor Pius Mwangi Muiru calls on party agents and journalists, crammed into a chaotic ECK results briefing, to bow their heads in prayer.

"This election should be won by the ballot, not by shouting." -- Justice Minister Martha Karua yells for order.

"These guys don't know how to rig properly, like Moi used to." -- Kenyan TV anchorwoman overheard accidentally live on air, referring to former President Daniel arap Moi.

"The looters say they have decided to attack shops because the ECK is taking too long to announce the results of the election. But what do the shops have to do with the commission?" -- Kisumu police chief Grace Kaindi wonders at looters' motives.

"The government has failed to declare Odinga a winner. They stole our votes, we are looting everything we can. I am so happy. This will be a celebration." -- Kennedy Ochieng, an 11-year-old weighed down by a box of stolen property, explains himself.

"There is a massive question mark over the tally of votes. Our observers have been sent away from tallying centres without being given results." -- chief European Union election monitor Alexander Graf Lambsdorff reserves his final judgment

http://africa.reuters.com/wire/news/usnL30148216.html
 
Ameapishwa bila hata sherehe? Hakuna mwaliko wa kiongozi yeyote. Mbona nasikia Kikwete alikuwa ametayarisha suti yake kwa ajili ya katripu ka Nairobi?

Ukishakuwa mwizi bwana, huna hata raha. Sasa hivi nadhani Kibaki anatoa macho kama mjusi. Hana uhakika atakuwa rais wa namna gani kwa miaka mitano. Kuongoza watu wasiokutaka. Kazi kweli kweli.
 
Je yawezekana kuwa katika hamasa yetu ya kutaka Raila ashinde tumeshindwa kuwa fair na kutaka aliyeshinda kihalali ashinde whoever that may be? Kuongoza toka mwanzo siyo sababu ya kujitangaza mshindi. Tatizo hilo ndilo lililowakuta CUF kwenye uchaguzi.

Nadhani sheria ya Kenya ni kama ya kwetu ambapo Tume ikishamtangaza Rais hakuna pa kukimbilia ni kusubiri miaka mitano. Je watu wa Raila hawakutumia kila "mbinu" ili mgombea wao ashinde na mbinu hizo zikaitwa "mkakati"?

Kwa vyovyote ilivyo, uchaguzi huu wa Kenya umekuwa na madudu mengi na ya dhahiri ambayo unaweza kufanya yaliyotokea Tanzania kuwa ni ya shule ya vidudu. Tunapoenda mbele jukumu kubwa ni kuona jinsi gani tunaweza kutengeneza mechanism ambayo itahakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa uhuru.

Binafsi naamini jambo moja ambalo lazima lifanyike mara moja Tanzania na hata baadaye Kenya ni kuwa mtindo wa kusubiri matokeo ya Urais yatangazwe kitaifa unachochea sana wizi na uvunjaji wa taratibu. Binafsi naamini kila mkoa/jimbo utangaze matokeo yake ya mkoa na hayo yanasimama. Tume ya Taifa jukumu lake ni kukusanya matokeo yote na kuyajumuisha. Hii ina maana ya kuwa badala ya vituo kutangaza halafu matokeo yaende tume ya Taifa ni vizuri matokeo yakitangazwa vituoni yanaenda ngazi za mkoa na kila mkoa unatangaza matokeo yake period.

Baada ya mikoa yote kutangaza matokeo yote, tume inatangaza mshindi.

Mwanakijiji,

Hapa ni kama tunampigia mbuzi gitaa. Kila mtu anajua nini kinatakiwa kifanyike lakini watawala hawataki kwasababu wanajua watashindwa.

Afrika lazima ifike mahali tutumie nguvu kuwatoa hawa mafisaidi ili iwe fundisho hata kwa watu wengine.

Nilisikitika sana yule rais wa Romania aliponyongwa lakini sasa naanza kuelewa.

Kadri kiongozi mmoja anavyofanikiwa kuiba kura na kubaki madarakani ndivyo wengine wanavyoona kumbe inawezekana.

Sasa hivi naangalia TV hapa wanasema watu 10 wameshakufa tayari kwenye mapambano ya wafuasi wa ODM na polisi.

Tuwaombee Wakenya leo maana inaelekea hakutakuwa na jema huko.
 
kwa kifupi inakatisha tamaa, halafu watu wakilikita "ughaibuni" utasikia wanalalamika ati wamekimbia rudini home!!! kufanya nini kama mambo yenyewe ndio haya??aibu gani hii? sisiemu watatumia same playbook come 2010........kaaaazi kweli.
 
thats why i always n wil always stick to ma main and important point abt politics......
POLITICS IS A VERY VERY VERY DIRTY GAME!!!!!
 
Back
Top Bottom