Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

WENZANGU,

NASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NASI KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.

NAWAOMBENI RUHSA NIENDE NIKAOMBOLEZE NA NCHI YANGU, TUPANGUZANE MACHOZI KWA KITENDO CHA JINAI KIMECHOFANYIKA IKULU, NAIROBI. SITAKUWA HAPA KWA MUDA LAKINI MUISHI KWA AMANI NCHI YA MAMANGU, TANZANIA.

WAMEFUNGA VITUO VYOTE VYA UTANGAZAJI NA SASA NI KBC TU NDIO INA HATI ZA KUTANGAZA. NGOJENI MUONE DAMU SASA HASA YA WANAUPINZANI NA WALIOMPIGIA RAILA IKIANZA KUMWAGWA NA SERIKALI. KBC ITAWAAMBIA MAMBO SHWARI LAKINI WATAPONDA ANY RESISTANCE NA RISASI. TUMEKWISHA SISI, VIONGOZI WETU ODM WILL BE ARRESTED WITHOUT TRIAL AND THIS IS WHAT IT MEANS TO FIGHT FOR DEMOCRACY AND THE POOR.

WE ARE MEN, WE WILL DIE LIKE MEN.

KWAHERI YA KUONANA. NIKIFA VITANI HUKO KWENYE MAANDAMANO AMBAZO ZIMEANZA TAYARI MUSINISAHAU MOYONI MWENYU. NAWAPENDA NA NINA WAHESHIMU.

AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
 
poleni sana mkuu,

unajua hata mugabe wa zimbabwe anadhani kuwa anasaidia nchi yake kwa yale anayofanya. afrika huko watu wengi wana mawazo kama ya mzalendo halisi hapo juu.

mzee wa miaka sabini na sita na ambaye inaonekana kama amechaguliwa tu na kabila yake anavyokandamiza makabila mengine zaidi ya 41.

Pole sana mkuu lakini hii ndio afrika na sio tu mungu ametuacha bali pia hata shetani anaona aibu na kusema kuwa mengine yanayofanywa sasa hivi sio toka kwake.
 
1. Swala jingine -je Uchaguzi kuwa free and fair ni lazima Raila awe mshindi? Je wizi anweza tu kufanya Kibaki kwa kuwa ni incumbent president?

2. Taabu ODM walianza kusherekea mapema mno- ktkt ya mchezo wakati mpira ni dakika 90!

3. Well is was a neck to neck contest- angalia margin ya ushindi- 200,000 yoyote angeweza tu kushinda!

Kama Kibaki ndo ametangazwa, Utaifa, utulivu na amani kwa Kenya ni muhimu zaidi kuliko kuingia mitaani!

Hapa ndipo watu wanapokushangaa. Pamoja na kuomba watu wawe watulivu, haiondoi ukweli kwamba huyu bwana kauiba huo urais na hii ni tofauti kabisa na kusema uchaguzi ulikuwa au haukuwa free au fair. Hapa ni kwamba watu wamesumbuliwa bure kupigishwa kura halafu anatangazwa mwingine. Sasa wale mamilioni ya wana Kenya sio wajinga kutokujua kwamba mshindi angekuwa moja kati ya hawa wawili, lakini wameshuhudia kwa kunusua,kuona na kusikia jinsi mtu waliomchagua alivyonyang'anywa ushindi wake. Sasa kuwaomba watu wawe watulivu kwa kejeli hakusaidii ni kuwachochea zaidi. Mtu mwenye busara anakubali kwamba ni kweli mmeibiwa, lakini njia nzuri ya kumkamata mwizi ni kwa kutumia vyombo hivi na hivi, etc, sio kutoa lecture za free and fair elections.Lecture za namna hii zinatufaa sisi watanzania ambao CCM walishatulisha limbwata ambalo hata hivyo lina-expire very soon.
 
I just watched Kibaki being sworn in on KBC channel 1. He is now giving his speech. The whole exercise seemed so contrived I couldn't help thinking that these mafisadis have no morals. In a tired voice Mr. Kibaki has urged on all Kenyans to set aside the differences brought by the election and work together for the benefit of the people.
 
KWAHERI YA KUONANA. NIKIFA VITANI HUKO KWENYE MAANDAMANO AMBAZO ZIMEANZA TAYARI MUSINISAHAU MOYONI MWENYU. NAWAPENDA NA NINA WAHESHIMU.
It Sounds Sad.Hivi Ikulu kuna nini?
 
WENZANGU,

NASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NASI KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.

NAWAOMBENI RUHSA NIENDE NIKAOMBOLEZE NA NCHI YANGU, TUPANGUZANE MACHOZI KWA KITENDO CHA JINAI KIMECHOFANYIKA IKULU, NAIROBI. SITAKUWA HAPA KWA MUDA LAKINI MUISHI KWA AMANI NCHI YA MAMANGU, TANZANIA.

WAMEFUNGA VITUO VYOTE VYA UTANGAZAJI NA SASA NI KBC TU NDIO INA HATI ZA KUTANGAZA. NGOJENI MUONE DAMU SASA HASA YA WANAUPINZANI NA WALIOMPIGIA RAILA IKIANZA KUMWAGWA NA SERIKALI. KBC ITAWAAMBIA MAMBO SHWARI LAKINI WATAPONDA ANY RESISTANCE NA RISASI. TUMEKWISHA SISI, VIONGOZI WETU ODM WILL BE ARRESTED WITHOUT TRIAL AND THIS IS WHAT IT MEANS TO FIGHT FOR DEMOCRACY AND THE POOR.

WE ARE MEN, WE WILL DIE LIKE MEN.

KWAHERI YA KUONANA. NIKIFA VITANI HUKO KWENYE MAANDAMANO AMBAZO ZIMEANZA TAYARI MUSINISAHAU MOYONI MWENYU. NAWAPENDA NA NINA WAHESHIMU.

AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI

THANX SO MUCH!!PLS USIPOTEE NATABIRI TUTAKUHITAJI SANA KWANI SIONI KUWA MWISHO UMESHAFIKA! WE WILL NEED ALL THE DETAILS OF WHAT IS HAPENING THERE... THANX AGAIN
 
Kila mara watu tunapojaribu kuimove afrika mbele kuna watu wanataka kuirudisha nyuma , hivi kweli uchumi wa Kenya utaweza kuthrive kwenyee hii hali ? Na jee kama chama Moi kingeamua kuiba uchaguzi kipindi kile cha Nyuma huyu mzee angeshinda ? On a serious note na mheshimiwa Zito atuambie analiona vipi suala lake la shirikisho , kweli ni idea nzuri kujiunga na nchi ambayo kuna chuki kubwa kati ya kabila na kabila.

Katika hali kama hii ndio utaona kelele zote za Federation ni kwa kundi fulani ambalo linataka ujiko. Kama uchaguzi mdogo kama huu ambao ni Kenya pekee kasheshe kama hii, je ikiwa nchi tano zinafanya uchaguzi huyo rais wengine wanasema hawatakubali kutawaliwa naye itakuwaje? Uchaguzi huu umeua kabisa tumaini la kuja kuungana hapo baadaye. (Kenya ndio kila siku wanataka tuungane kwa staili hii ambapo vyombo vya habari vingi vimekuwa mabubu - NO WAY.)

Ucheleweshaji wa kura tena za mjini Nairobi na vitongoji ambavyo vipo karibu kabisa na mjini na kupotea kwa returning officers ni kitu cha wizi wa kura mchana kweupe. Hii inauma kabisa, sina cha kufaidi kutoka Kenya lakini hakuna democracy ya aina hii.

Wananchi wanapojifunga mabomu na kujilipua huwa tunakuwa wagumu kufahamu kwa nini wanafanya hivyo. Kibaki na chama chako ambao mko serikalini kwa kutumia nguvu mlizopewa mmetuangusha, ni ukweli ambao utawasuta hadi siku mtakayofukiwa six feet.
 
WENZANGU,

NASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NASI KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.

NAWAOMBENI RUHSA NIENDE NIKAOMBOLEZE NA NCHI YANGU, TUPANGUZANE MACHOZI KWA KITENDO CHA JINAI KIMECHOFANYIKA IKULU, NAIROBI. SITAKUWA HAPA KWA MUDA LAKINI MUISHI KWA AMANI NCHI YA MAMANGU, TANZANIA.

WAMEFUNGA VITUO VYOTE VYA UTANGAZAJI NA SASA NI KBC TU NDIO INA HATI ZA KUTANGAZA. NGOJENI MUONE DAMU SASA HASA YA WANAUPINZANI NA WALIOMPIGIA RAILA IKIANZA KUMWAGWA NA SERIKALI. KBC ITAWAAMBIA MAMBO SHWARI LAKINI WATAPONDA ANY RESISTANCE NA RISASI. TUMEKWISHA SISI, VIONGOZI WETU ODM WILL BE ARRESTED WITHOUT TRIAL AND THIS IS WHAT IT MEANS TO FIGHT FOR DEMOCRACY AND THE POOR.

WE ARE MEN, WE WILL DIE LIKE MEN.

KWAHERI YA KUONANA. NIKIFA VITANI HUKO KWENYE MAANDAMANO AMBAZO ZIMEANZA TAYARI MUSINISAHAU MOYONI MWENYU. NAWAPENDA NA NINA WAHESHIMU.

AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI

K-T
POLE SANA- UNA UZALENDO WA KWELI NDUGU YETU!

TAKE TIME PIA NA FAMILIA YAKO MPUMZIKE- HIZI NI SIASA!

LIFE IS BROEDER KULIKO SIASA!

TUNAKUPENDA SANA!

NA AHSANTE KWA HABARI MOTOMOTO!

HILA LA HERI KTK SHEREHE ZA KUUAGA MWAKA!

MZALENDO!
 
naomba niulize jamani,

hivi sababu kubwa zaidi ya KIBAKI kuiweka rehani nchi yake ni nini??

ni kitu gani kipo ikulu ya kenya ambacho hatakipata katika miaka michache ya ya uhai wake(huu ni ukweli halisi ukizingatia ana miaka 76)

nionavyo mimi analazimisha kuwa raisi wa nchi isiomhitaji,kama kweli ana uchungu na kenya nadhani angeshakubali kushindwa,na kama ana uchungu na fedha madaraka.hapo kazi ipo..,

kwani ikulu ya kenya ina nini cha kung'ang'ania kiasi hicho??mie naona matatizo mengi mno ya wakenya ndio anayoyakimbilia kule ikulu yao.kwa miaka yake(76).nina mashaka na hili

all in all,KIBAKI ni reflection ya viongozi wengi wa kiafrika..,wana ahadi tamu wakati wa uchaguzi..,wakichaguliwa..,shughuli kukubali kuachia madaraka,

i doubt hata RAILA akichaguliwa ataondoka bila mikiki..,viongozi wa kiafrika ni wa ajabu sana.
 
woga au kupenda uhai si ishara ya freedom and wisdom.

mie nnampenda kibaki na nilipenda sana ashinde nilisema lkn sio kwa kuiba.

na hapa hakuna njia ila kukataa na lolote liwalo na liwe maana bila ya hivyo hawa watu hawatakoma maana watajua kuwa mwisho hakuna litalokiuwa.

wacha pasikalike lkn mwisho pakitulia patakuwa na adabu.

nnapinga kwa nguvu zote wanaodai itumike diplomatic kwa sasa.
alokurambisha na ww mrambishe ajue kuwa nayo chungu
 
WENZANGU,

NASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NASI KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.

NAWAOMBENI RUHSA NIENDE NIKAOMBOLEZE NA NCHI YANGU, TUPANGUZANE MACHOZI KWA KITENDO CHA JINAI KIMECHOFANYIKA IKULU, NAIROBI. SITAKUWA HAPA KWA MUDA LAKINI MUISHI KWA AMANI NCHI YA MAMANGU, TANZANIA.

WAMEFUNGA VITUO VYOTE VYA UTANGAZAJI NA SASA NI KBC TU NDIO INA HATI ZA KUTANGAZA. NGOJENI MUONE DAMU SASA HASA YA WANAUPINZANI NA WALIOMPIGIA RAILA IKIANZA KUMWAGWA NA SERIKALI. KBC ITAWAAMBIA MAMBO SHWARI LAKINI WATAPONDA ANY RESISTANCE NA RISASI. TUMEKWISHA SISI, VIONGOZI WETU ODM WILL BE ARRESTED WITHOUT TRIAL AND THIS IS WHAT IT MEANS TO FIGHT FOR DEMOCRACY AND THE POOR.

WE ARE MEN, WE WILL DIE LIKE MEN.

KWAHERI YA KUONANA. NIKIFA VITANI HUKO KWENYE MAANDAMANO AMBAZO ZIMEANZA TAYARI MUSINISAHAU MOYONI MWENYU. NAWAPENDA NA NINA WAHESHIMU.

AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI

Inasikitisha sana! Tunakuombea ndugu yetu.

Yaani mimi nimeishiwa nguvu.
 
Pangupakavu,
Jibu la rahisi rahisi ni kwamba Kibaki ameng'ang'ania mamlakani kuwalinda mafisadi. Kumbuka alliance aliyounda na Moi? Hawa wote walimwogopa Raila kwa sababu wanajua kuwa anajua madhambi yao. Pili ni kuendeleza the power of the Kikuyu cabal. If this can be done in the long run only time will tell. Coalition aliyoiunda Raila si mchezo.
 
Hivi huyu Kibaki anaposema God bless Kenya , ni Mungu gani anayemwomba ?
 
naomba niulize jamani,

hivi sababu kubwa zaidi ya KIBAKI kuiweka rehani nchi yake ni nini??

ni kitu gani kipo ikulu ya kenya ambacho hatakipata katika miaka michache ya ya uhai wake(huu ni ukweli halisi ukizingatia ana miaka 76)

nionavyo mimi analazimisha kuwa raisi wa nchi isiomhitaji,kama kweli ana uchungu na kenya nadhani angeshakubali kushindwa,na kama ana uchungu na fedha madaraka.hapo kazi ipo..,

kwani ikulu ya kenya ina nini cha kung'ang'ania kiasi hicho??mie naona matatizo mengi mno ya wakenya ndio anayoyakimbilia kule ikulu yao.kwa miaka yake(76).nina mashaka na hili

all in all,KIBAKI ni reflection ya viongozi wengi wa kiafrika..,wana ahadi tamu wakati wa uchaguzi..,wakichaguliwa..,shughuli kukubali kuachia madaraka,

i doubt hata RAILA akichaguliwa ataondoka bila mikiki..,viongozi wa kiafrika ni wa ajabu sana.

NO,

kibaki alipendekezwa na raila baada ya makubaliano kuwa angeacha urais au kutoa nafasi ya prime minister ili kupunguza nguvu ya rais.

moi alikubali kuachia madaraka maana alikuwa na mipango yakuendeleza kikuyu dynasty.

Raila hana kashfa ya kifisadi ingawa amekuwa kwenye serikali kabla kwa hiyo hii si kweli.

Asante
 
Hivi huyu Kibaki anaposema God bless Kenya , ni Mungu gani anayemwomba ?

kuna miungu wengi duniani na huyu naye ana mungu wake.

umeisikia hiyo kuwa ametangaza kesho kuwa public holiday ili hata court zisifunguliwe na watu wasipate nafasi ya kukata rufaa mpaka alhamis!!!!!!
 
WENZANGU,

NASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NASI KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.

NAWAOMBENI RUHSA NIENDE NIKAOMBOLEZE NA NCHI YANGU, TUPANGUZANE MACHOZI KWA KITENDO CHA JINAI KIMECHOFANYIKA IKULU, NAIROBI. SITAKUWA HAPA KWA MUDA LAKINI MUISHI KWA AMANI NCHI YA MAMANGU, TANZANIA.

WAMEFUNGA VITUO VYOTE VYA UTANGAZAJI NA SASA NI KBC TU NDIO INA HATI ZA KUTANGAZA. NGOJENI MUONE DAMU SASA HASA YA WANAUPINZANI NA WALIOMPIGIA RAILA IKIANZA KUMWAGWA NA SERIKALI. KBC ITAWAAMBIA MAMBO SHWARI LAKINI WATAPONDA ANY RESISTANCE NA RISASI. TUMEKWISHA SISI, VIONGOZI WETU ODM WILL BE ARRESTED WITHOUT TRIAL AND THIS IS WHAT IT MEANS TO FIGHT FOR DEMOCRACY AND THE POOR.

WE ARE MEN, WE WILL DIE LIKE MEN.

KWAHERI YA KUONANA. NIKIFA VITANI HUKO KWENYE MAANDAMANO AMBAZO ZIMEANZA TAYARI MUSINISAHAU MOYONI MWENYU. NAWAPENDA NA NINA WAHESHIMU.

AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI

Too sad; nasi tunawapenda sana wakenya na tupo nanyi japo kwa maombi na fikra. Yanayokumba ndiyo yatakayotukumba sisi siku wananchi wakiamua kuitumua hii KANU ya kwetu (CCM). Tupo nanyi kwa uamuzi wowote wananchi watakaona unafaa. Tunatamani hili jambo lingekuwa solved peacefully, lakini kama wananchi wataamua vinginevyo basi sisi tunabariki na kuwaombea maana sauti ya watu ni sauti ya Mungu, na wazi kuwa katika hili watawala wa Kenya wanaongozwa na kumwakilisha shetani.
 
Back
Top Bottom