Mungu wa akina Karamagi na KikweteHivi huyu Kibaki anaposema God bless Kenya , ni Mungu gani anayemwomba ?
So painful lakini tupo pamoja before GodWENZANGU,
NASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NASI KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.
NAWAOMBENI RUHSA NIENDE NIKAOMBOLEZE NA NCHI YANGU, TUPANGUZANE MACHOZI KWA KITENDO CHA JINAI KIMECHOFANYIKA IKULU, NAIROBI. SITAKUWA HAPA KWA MUDA LAKINI MUISHI KWA AMANI NCHI YA MAMANGU, TANZANIA.
WAMEFUNGA VITUO VYOTE VYA UTANGAZAJI NA SASA NI KBC TU NDIO INA HATI ZA KUTANGAZA. NGOJENI MUONE DAMU SASA HASA YA WANAUPINZANI NA WALIOMPIGIA RAILA IKIANZA KUMWAGWA NA SERIKALI. KBC ITAWAAMBIA MAMBO SHWARI LAKINI WATAPONDA ANY RESISTANCE NA RISASI. TUMEKWISHA SISI, VIONGOZI WETU ODM WILL BE ARRESTED WITHOUT TRIAL AND THIS IS WHAT IT MEANS TO FIGHT FOR DEMOCRACY AND THE POOR.
WE ARE MEN, WE WILL DIE LIKE MEN.
KWAHERI YA KUONANA. NIKIFA VITANI HUKO KWENYE MAANDAMANO AMBAZO ZIMEANZA TAYARI MUSINISAHAU MOYONI MWENYU. NAWAPENDA NA NINA WAHESHIMU.
AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
Je yawezekana kuwa katika hamasa yetu ya kutaka Raila ashinde tumeshindwa kuwa fair na kutaka aliyeshinda kihalali ashinde whoever that may be? Kuongoza toka mwanzo siyo sababu ya kujitangaza mshindi. Tatizo hilo ndilo lililowakuta CUF kwenye uchaguzi.
Nadhani sheria ya Kenya ni kama ya kwetu ambapo Tume ikishamtangaza Rais hakuna pa kukimbilia ni kusubiri miaka mitano. Je watu wa Raila hawakutumia kila "mbinu" ili mgombea wao ashinde na mbinu hizo zikaitwa "mkakati"?
Kwa vyovyote ilivyo, uchaguzi huu wa Kenya umekuwa na madudu mengi na ya dhahiri ambayo unaweza kufanya yaliyotokea Tanzania kuwa ni ya shule ya vidudu. Tunapoenda mbele jukumu kubwa ni kuona jinsi gani tunaweza kutengeneza mechanism ambayo itahakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa uhuru.
Binafsi naamini jambo moja ambalo lazima lifanyike mara moja Tanzania na hata baadaye Kenya ni kuwa mtindo wa kusubiri matokeo ya Urais yatangazwe kitaifa unachochea sana wizi na uvunjaji wa taratibu. Binafsi naamini kila mkoa/jimbo utangaze matokeo yake ya mkoa na hayo yanasimama. Tume ya Taifa jukumu lake ni kukusanya matokeo yote na kuyajumuisha. Hii ina maana ya kuwa badala ya vituo kutangaza halafu matokeo yaende tume ya Taifa ni vizuri matokeo yakitangazwa vituoni yanaenda ngazi za mkoa na kila mkoa unatangaza matokeo yake period.
Baada ya mikoa yote kutangaza matokeo yote, tume inatangaza mshindi.

Hivi huyu Kibaki anaposema God bless Kenya , ni Mungu gani anayemwomba ?
Umri wa Kibaki ni miaka 76 na ODM wamepata viti 76% vya ubunge. Kenya itatawalika?