Kenya Election 2007: Outcomes


Hili la kuoleana kweli limatusogeza karibu sana na kutufanya tuwe ndugu damu moja; lakini kumbuka kuwa kuoleana ni matokeo ya kufutika kwa ukabila. Katika mazingira ya ukabaila huwa ni vigumu mtu wa kabila moja kufunga na ndoa na patina wa kutoka kabila jingine.
 


Hapa ndipo walipovurunda kwa kudhani kuwa wao tu ndio walizaliwa wawe watawala wa Kenya. Ni kweli wangeweza kumwacha Odinga atinge Ikulu huku wakihakikisha kuwa atakuwa analinda msalahi yao. Tatizo lao ni lile la kuwadharau waluo japo ukweli ni kuwa per capita ya waluo waliokwenda shule ni kubwa sana kuliko ya wakikuyu.
 
'50 dead' in torching of Kenyan church


Matthew Weaver and agencies
Tuesday January 1, 2008
Guardian Unlimited

Dozens of people, many of them children, were killed when a mob set fire to a Kenyan church today, as the crisis over the disputed re-election of the country's president escalated.
The Red Cross said at least 50 people died as they sought refuge in the church from the violence that has broken out since Sunday's vote.

The blaze occurred in Eldoret almost 200 miles from the capital Nairobi. One local reporter who visited the scene told Reuters: "I saw about 10 to 15 bodies crammed in a corner. They were charred. I could not look at the scene twice."

Reuters quoted a senior security official claiming that as many 15,000 people were sheltering at churches and police stations in Eldoret.
As the violence spread, the government sought to ban a mass opposition rally against Mwai Kibaki's continued rule.

The opposition leader, Raila Odinga, yesterday called for a million people to take to the streets on Thursday to protest at what is widely regarded as a rigged election.

But the authorities said they wanted to block the demonstration to prevent more of the violence that has already led to the deaths of more than 220 people.

Police spokesman Eric Kiraithe told Reuters: "The ban on political rallies is not without reason."

He added: "When people are daring enough to commit crimes against other people's lives and property, it is not likely the police can also have the capacity to organise security properly."

The police said that, as well as the rising death toll, the crisis had seen 33,500 Kenyans forced to leave their homes and 208 properties destroyed.

The bloodshed has exposed underlying tribal tension in Kenya, where Kibaki's Kikuyu supporters - members of Kenya's largest ethnic group - are accused of turning their dominance of politics and business to the detriment of others. Odinga is from the Luo tribe.

The Red Cross said gangs were even checking on the tribal affiliations of aid workers trying to help the injured.

In Nairobi's Mathare slum, Odinga supporters torched a minibus and attacked Kikuyu travellers, witnesses said.

Riots have also been raging in opposition strongholds in western Kenya, the tourism-dependent coast and the Rift valley.

Earlier Gordon Brown urged Kenya's politicians to start talking and bring an end to the violence, a call Odinga rejected.

In telephone calls to both Odinga and Kibaki, the British prime minister called for negotiations.

He said: "What I want to see is them coming together. I want to see talks and I want to see reconciliation and unity. I want to see the possibility explored where they can come together in government."

But, speaking on BBC Radio 4's Today programme, Odinga said: "What is there to negotiate?"

"Kibaki must first accept that he lost the election."

He also rejected suggestions that his supporters were to blame for the violence.

"The blame should not be directed at our side," he said. "The security forces are shooting people on sight. It is Kibaki that should be blamed."

Brown's intervention came as European Union electoral monitors declared the election "flawed".

The prime minister said: "There has been criticism of the election procedures. I think it is important all sides must recognise that by working together we can make progress.

"But the first priority is that the violence is brought to an end. It is unacceptable that lives are being lost. The important thing is that people should now come together and I will be talking to the various parties later today."

The chief EU monitor, Alexander Graf Lambsdorff, told the BBC that the poll was "flawed" and "lacked credibility".

In a statement, the EU observer mission said: "The 2007 general elections have fallen short of key international and regional standards for democratic elections.

"They were marred by lack of transparency in the processing and tallying of presidential results, which raises concerns about the accuracy of the final results of this election."

Four of Kenya's 22 top electoral commissioners called for an independent inquiry into whether the national electoral commission altered the results of the election.





 

yeah kichuguu nakubaliana na wewe kabisa apo ni matokeo ya sisi kuweza kuutokomeza ukabila..siku hizi hakuna anayejali eti umeoa/olewa na kabila gani..hata kama resentments zipo zinamalizwa kiutu uzima, na judging kwa idadi ya ndo zinazofungwa dar, nimeona nyingi tu ambazo ni mchanganyiko
 
thatsz right nakulilia tz... tanzania tupmbane na UDINI tu ..unanyemelea..hata viongozi wa siasa au mawaziri wanaotoa matamko au maamuzi yanayoashiria udini au kuegemea dini..tuwakemee na kuwazomea bila haya.....makabila yetu tuendelee kuyatumia kwenye kutambika na utani tu..au kwa wanaume wakware si mbaya kuuliza kabila mama unayekutana naye ili upate kujua utajiri na utaalamu wa kinamama wa pande mbalimbali za nchi yetu....

sioni aibu kusema kuwa naona faraja na raha kuwa tangu enzi zetu kila mtanzania wa kanda mbali mbali ninayekutana naye nina cha kumsifia kuhusu dada zake ..naye vile vile ana cha kuelezea kuhusu dada zangu...ndio utanzania huo jama ....wenzetu hiyo hamunaa..ukizaliwa mmakuwa inabizi ufanye zero grazing hapo hapo umakuani....ukitaka angalau kufaidi utajiri na fahari ya nchi sehemu nyingine unakataliwa si tu kwa kuangalia muonekano na sera bali kwa misingi ya kabila lako...

kwa kweli nafurahia kuwa mtanzania ..kwa kuwa nikiwa vijijini naweza kulala sehemu yoyote ya jamuhuri hii namaanisha kama nimekwama kijiji chochote naripoti kwa balozi sasa kutokana na umri wako utapatiwa mahitajio yooote muhimu...kama ni mtoto utapewa chakula na malazi kwenye kundi au nyumba yenye watoto wenzako..kama ni kijana kapera utapewa chakula na malazi kwa makapera wenzako[sasa wao watakupa mbinu za medani za kupata mahitaji mengine ya asili...kama ni wa makamu kama sisi utakaribishwa na kupewa sehemu ya faragha ya kulala na mwenyeji wako aliyejitolea kukuhifadhi aghalabu anaweza kufanya utaratibu wa kiutu uzima kukupa malazi ,chakula,pombe,na ukapatiwa na kampani kabisa hapo hapo ...sasa huo ndio undugu tulionao..sehemu nyingine hizi raha hupati..tuilinde AMANI yetu wote tanzania na ..afrika mashariki yote!!!
 

Maneno kwenye blue ni muhimu sana mzee kichuguu, Wakikuyu wanasahau mchango wa wajaluo kwenye elimu ya juu kenya na hii ndio inaleta hamasa kubwa kiasi hiki.

Baada ya kinachoendelea sasa hivi nina imani kuwa wakikuyu na wameru watajifunza kuwatambua wenzao na kuishi nao kwa amani.

Umeona changes kule mashada na nation, watu wameanza kutia akili baada ya rants za kashfa za kuanzia jumapili.
 
Hi! Mwanakijiji,

Nakusahihisha kidogo tu. Joseph Sinde Warioba ni Mwikizu toka Ikizu, Bunda.Kuna tofauti kati ya Mzanaki na Mwikizu, ingawa kwa lugha zinasikiliza kwa kisasi fulani. Ni kama Spanish and Portugiese au Msukuma na Mnyamwezi au Mhaya na Mkerewe.
 
ngereja asante sana ndio maana niliweka alama ya kuuliza. Nadhani tukiangalia historia yetu hasa utaona kuwa kama mtu mmoja alivyosema hapo juu kuwa tulianza kushirikiana kabla ya Uhuru. VIti ya maji maji ilisaidia sana kuunganisha makabila ya kusini ambayo kabla ya hapo yalikuwa yamewahi kupigana. Siyo tu kuunganisha makabila ya kusini lakini pia kuwaunganisha kwa namna moja na watu wa pwani. Nadhani huo ndio ulikuwa mwanzo wa utani wa jadi kwani waliokuwa wamepigana huko nyuma sasa walijikuta wana adui mmoja (mdachi) na hivyo wakaweka tofauti zao pembeni.

Sifahamu sana kuhusu utani wa makabila ya kaskazini ingawa upo. Nadhani hili la utani ni unique phenomenon kwa Tanzania (niko tayari kusahihishwa kwa wale mliokaa nchi zenye mazoea kama haya).
 
thatsz right nakulilia tz... tanzania tupmbane na UDINI tu ..unanyemelea..hata viongozi wa siasa au mawaziri wanaotoa matamko au maamuzi yanayoashiria udini au kuegemea dini..tuwakemee na kuwazomea bila haya.....!

Kukemea na kuzomea hakusaidii bali tume huru iundwe kuchunguza madai ya udini na kama tume itagunduwa kuna udini nchini mwetu basi hatuwa za haraka zichukuliwe kuumaliza udini!! kinyume chake walalahoi watachoka na mwisho ni kuchukuwa hatuwa!!
 
1. Saa ingine huwa najiuliza- do we need peace/stability or democracy Africa?

2. May be tunahitaji tu kwanza stability kama China- na Arabian States- the democracy baadae

3. Democracy hatuwezi Africa kwa miaka hii- hadi miaka ijayo (may be 50 or 100 years to come?)

Hili la Kenya is a testimony- that we are not ready kuheshimu doemacrasia hii ya West!
 
I acted under a pressure, says Kivuitu

Published on January 2, 2008, 12:00 am


By Isaac Ongiri

On Tuesday night, Mr Samuel Kivuitu made a damning admission that he announced results of the fiercely contested presidential election under pressure.

The announcement plunged the country into a post-election violence of a scale never witnessed before.

The magnitude of the Electoral Commission chairman’s admission and the further dent on the credibility of the election was captured in his answer when asked if indeed President Kibaki won the elections: "I do not know whether Kibaki won the election".

Kivuitu continued with his stunning revelations when he said he took the presidential election winner’s certificate to State House, Nairobi, after "some people threatened to collect it while I’m the one mandated by law to do so".

"I arrived at State House to take the certificate and I found the Chief Justice there, ready to swear-in Kibaki," Kivuitu said.

On claims that he was under undue pressure to declare results, Kivuitu said: "Some PNU (Party of National Unity) and ODM-Kenya leaders put me under pressure by calling me frequently, asking me to announce the results immediately".

President Kibaki ran for re-election on a Party of National Unity ticket, while Mr Kalonzo Musyoka, made his bid on an ODM-Kenya ticket. Mr Raila Odinga, who has said he was robbed of victory, ran on an Orange Democratic Movement (ODM) ticket.

On Tuesday, Kivuitu said the alleged pressure to declare results came in the wake of parallel pressure from a number of ambassadors from the European Union countries and Mr Maina Kiai of the Kenya National Commission on Human Rights not to announce the results until complaints, which arose, were addressed.

"I had thought of resigning, but thought against it because I don’t want people to say I’m a coward," he said. The embattled ECK chairman made the revelations shortly after meeting with 22 ECK commissioners.

On Tuesday, Kivuitu conceded that matters that arose from the poll results were so urgent that they should be taken to court, and the ruling done with minimum delay to ease national tension.

Court settlement

"If this matter is finally taken to court, the ruling should be made urgently so that if it were decided that Raila is the President, so be it. If it is Kibaki, so be it," he added.

Kivuitu said he made the decision, whose far-reaching implications are now being felt across the country. He said he announced the results because the commission had no legal mandate to investigate complaints raised by the opposition immediately.

Kivuitu fell short of naming the individuals from the two parties — PNU and ODM-Kenya — who coerced him to announce the disputed poll outcome, but went on to announce that the commission was consulting eminent lawyers over the next course of action "so that its actions remain within the law".

The EU observer team has discredited the poll results and urged for an independent audit.

On his part, Kivuitu said he backed independent investigation into what may have happened, but added that this would be only if the law would provide for it.

"We are culprits as a commission. We have to leave it to an independent group to investigate what actually went wrong," the chairman said, stunning local and international journalists, who had gathered at his Nairobi residence.

It has also emerged that some countries concerned with the poll outcome, like South Africa, had sent in their electoral officials to the country.

Kivuitu said the officials would be arriving on Wednesday "to look into the matter".

On Tuesday, Kivuitu was in a meeting with his 22 commissioners, which his deputy, Mr Kihara Muttu, described as "a house-keeping meeting".

In a signed statement, the 22 commissioners condemned the violence, which up to last night had claimed the lives of about 300 people.
 
Mashada wamenikatalia nisisome forums kadhaa mpaka nijiandikishe tena upya ikiwa nia pamoja na kutoa personal details nyingi ikiwa ni pamoja na namba yangu ya simu. Najua kuwa leo wamekomana nyani giladi mpaka administrator kashindwa kujizuia.
 
Huyu kiviutu yawezekana walimwekea mguu wa kuku chini kwa chini maana alikuwa ana mdeclare jamaa kama amenigwa mfupa wa sangara aka mbuta aka chengu.Na amesema hivyo baada ya majamaa kuingia mitini wengene dochilandi wengine bunyoro.shughuri pevu inakuja
Amani haiji bila ncha ya upanga.
 
President faces struggle to fill posts after loyalists lose seats


Jeevan Vasagar
Wednesday January 2, 2008
The Guardian

Kenya's constitution gives President Mwai Kibaki the power to appoint his vice-president and other ministers, but the circle he can pick from is severely diminished after the election, which saw more than half his cabinet lose their seats.
The high-profile casualties included the vice-president, Moody Awori, the defence minister, Njenga Karume, and the roads minister, Simon Nyachae - political veterans and Kibaki loyalists who were derided as "yesterday's men" during the election campaign.

With 35 seats in parliament, compared with 100 for the opposition, Kibaki will struggle to fill his cabinet, especially as the opposition has rebuffed a government invitation to discuss power-sharing.
Kibaki, who was swept to power in 2002, already faces accusations that he surrounds himself with a narrow clique, and this election result is likely to intensify that perception. The president's coterie is nicknamed the Mt Kenya mafia because it derives from Central Province, home to the mountain that gave Kenya its name. His reliance on this inner circle has stoked jealousy among other ethnic groups in Kenya, who believe that the president's Kikuyu tribe has benefited most from recent economic growth.

The president also faces a legislative roadblock, with the opposition dominating parliament and likely to prevent the passing of a budget or other legislation. Kenya's single-chamber parliament can also pass a vote of no confidence in the government, potentially triggering the dissolution of a new Kibaki cabinet.

Kibaki's current difficulties echo his embarrassing defeat in a referendum on a new draft constitution in November 2005. Kibaki championed a draft that allowed the presidency to retain extensive powers.

Voters refused to support this and called for a new constitution which limited the president's powers. At the time, seven cabinet ministers rebelled against him to lead the no campaign - among them Raila Odinga, who now claims to have won the presidency.


 
Udikteta umeanza rasmi kenya!!!

Story by NATION Reporter
Publication Date: 1/2/2008

Police Commissioner Hussein Ali has cautioned Kenyans against attending rallies called by politicians, warning that they would be arrested.

Major-General Ali outlawed a meeting called by ODM leaders at Uhuru Park on Thursday, citing the volatile security situation in the country.

The police commissioner said: "After due consideration of the prevailing security situation, the meeting is illegal and any person who will attempt to attend this meeting will face the full force of the law."

He cited the law on the guidelines and regulations for organising and holding such political rallies, processions and meetings.

"After all, the season for political rallies in the country is over. There will be no more rallies and we will ensure that none takes place," he told journalists at Vigilance House, the police headquarters.

On Tuesday, Government Spokesman Alfred Mutua said the police directive will be in force until the current security situation normalises.

Maj-Gen Ali warned: "Anybody inciting Kenyans into violence, engaging or procuring others to commit criminal offences will be dealt with according to the law without any exception," he said.

Police Spokesman Eric Kiraithe said police will not have the capacity to cater for political rallies and at the same time monitor the security situation in the country.
 

Kati ya Watu ambao wanatakiwa kumalizwa kabisa kabla ya KIbaki ni huyu Kiviutu, huyu jamaa majanga yanayotokea roho za watu wote ziko kwake ni mtu wa ajabu sana.

Nafikiri Kenya wako makini na vyombo vya human right vitaliona hili na kumushughulikia.

Kwani alipopewa hii nafasi alifikiria ni nafasi ya kuuza karanga? Hakujua ni nafasi yenye pressure?
 

Mkuu unalojiuliza ni suala analoweza kujiuliza kila mtu.

Lakini pia itakuwaje kama tutakaa kwenye amani lakini baadhi ya watu wanakuwa matajiri wengine wakitumbukia katika majanga ya umasikini?

Mimi ninachoona no way out, huwezi kupata maendeleo kabla ya kuchukia mfumo uliopo.

Nilitegemea viongozi wa upinzani Africa nzima kuwa wameishaanza kundamana kumpinga kibaki.

Yanayotokea Kenya hatuna jinsi kama si leo ni Kesho au Keshokutwa yatatokea nchi nyingi tu.

Lakini pia tukumbuke kuwa Kibaki hana akiri nzuri baada ya Kupigwa na Kinyatta miaka hiyo kichwani, kwa hiyo watu waungue wasiungue anaweza asione hayo.
 

Huu ndio udikteta wenyewe kweli kweli. Halafu wanasema Odinga awatulize wafuasi wake, afanyeje kama hawzi kuongea nao.
 

Kenyan-Tanzania I am behind your move brother and will spread the news to all my cousins, friends,family friends, relative and neighbours because part of me is Kenyan and i believe in equity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…