Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kwa kweli tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa wenzetu hasa katika suala la uchaguziJust heard from the BBC Radio Saitoti out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa wenzetu hasa katika suala la uchaguziJust heard from the BBC Radio Saitoti out
Sorry, North Eastern nayo imewekwa kwenye site ya Nation Media, so watu wanaweza kupata full picture ya matokeo jinsi ilivyo mpaka sasa.
2007-12-27 @ 06:44 by Kuria
We cannot have an illiterate president who does not know where his name is.
He did that intentionally to make the world see that the elections are being rigged. Raila is a loser. He is just trying to justify his reasons to claim foul play. Raila and the Standard Newspapers will flop. KTN even gives Raila a chance to speak on TV on the day of the electuions and it is not allowed internationally for a candidate to appear to campaign on election day.
His friend Kwendo Opanga has always been like the party newspaper editor and today they have reported that names starting with A, O are missing because they are associated with Raila Odinga. Kibaki will win and if reports we have at the moment are true, then wait for today evening and hear the results.
In Uhuru Primary, there were no queues in lines with A and O, yet at the end of the day, it will be said that the elections were rigged.
To HELL with THe STANDARD. KWEDNO OPANGA, a KANU operative should be fired from his job. He has no business being at a newspaper that has for five years been fighting the government. Shame on Kwendo. Like Raila, KTN and the Standard are losers. They made innocent people (policemen be killed) in Nyanza. To HELL. I will NOT buy the Standard again.
Election Updates
VP, 14 Ministers trounced
Published on December 28, 2007, 12:00 am
By Stephen Ndegwa
President Mwai Kibakis cabinet faced the biggest embarrassment yet as 14 ministers lost their parliamentary seats while five others are facing imminent defeat.
Vice President Hon Moody Awori and other regional leaders in charge of Kibaki campaign faced the wrath of voters and were trounced by mainly ODM candidates as vote counting for the hotly contested elections continued countrywide..
The ministers include Musikari Kombo, Newton Kulundu, Kipruto Kirwa, Moses Akaranga, Simeon Nyachae, Njenga Karume, Raphael Tuju, David Mwiraria, Mohamud Abdi Mohammed, Morris Dzoro, Suleiman Shakombo, Mutahi Kagwe and Paul Sang.
Four other ministers particularly in Ukambani area are trailing the ODM-K candidates. They include Lands minister Prof Kivutha Kibwana, Water minister Mutua Katuku, Livestock Development minister Joseph Munyao and Transport Minister Ali Chirau Mwakwere.
Results broadcast on KTN showed Awori lost the Funyula parliamentary seat to the ODM candidate Dr Paul Otuoma, becoming the second time in Kenyas history for a VP to lose a parliamentary seat. In 2002, Vice President Mr Musalia Mudavadi lost to Mr Moses Akaranga of Narc, a few months after he was appointed by President Moi. Uncle Moody as he is popularly known, has been Member of Parliament for Funyula constituency for the last 25 years, although his grip on Funyula politics spans over 45 years
Ford Kenya chairman and former Webuye MP, Musikari Kombo, lost the seat to Alfred Sambu of ODM.
Information and Communications minister Mutahi Kagwe lost to former chairman of Nairobi Water and Sewerage Company Mr Kabando wa Kabando of Safina party. Kagwe initiated many development projects in his Mukurweini constituency, both through the CDF concept and from his own initiative and it will puzzle many people how his opponent, Kabando wa Kabando pulled the carpet from under his feet.
Health Minister Paul Sang lost former State House Comptroller Mr Frankline Bett of ODM. Sang was appointed to the position just two months to the election after Kibakis ally and Health Minister, Charity Ngilu, declared her support for ODM presidential candidate Mr Raila Odinga.
Other results show ODM Pentagon member and Raila Odingas running mate, Mr Musalia Mudavadi, has trounced Public Service minister Moses Akaranga of PNU. Najib Balala has won the Mvita seat , beating former Mombasa mayor Taib Ali Taib.
Former Keiyo South MP and Kanu strongman Nicholas Biwott lost the seat to Mr Jackson Kiptanui of ODM. In Ugenya constituency, lawyer James Orengo will make a political come back after clinching the seat he lost in 2002.
However, ECK has not officially released the results. We will bring you more results as we get them.
Hapo wekeni na mtoto wa Mzee Moi (Gideon Moi) nae kapigwa dafrau. Ukiona watoto wa Mzee Moi wanapigwa kumbo hapo ndipo utamu wa politics unapoongezeka na kumfanya Moi awe hana maana yoyote huko kwao!
Source: The Standard
mi sipati nationmedia, sijui kwa nini. Nimesikia BBC kuwa watoto wa Moi wote wameshindwa. Hii maana yake ni kuwa Moi ameshindwa na Ruto hata Baringo? Basi hakuna njia Raila atashinda. Najaribu kumtafuta Prof. Nyong'o ili niweze kujua wao wanajua nini so far. Simu inaita tu lakini nikimpata nitawamegea.
Sure K-T umetuacha hewani muda mrefu.... please update!!!!
mi sipati nationmedia, sijui kwa nini. Nimesikia BBC kuwa watoto wa Moi wote wameshindwa. Hii maana yake ni kuwa Moi ameshindwa na Ruto hata Baringo? Basi hakuna njia Raila atashinda. Najaribu kumtafuta Prof. Nyong'o ili niweze kujua wao wanajua nini so far. Simu inaita tu lakini nikimpata nitawamegea.
Mkuu mimi hapa ndio najaribu kupata kutoka jikoni lakini wapi.
Hapa mafisadi wanapigwa butwaaa.Kama Kibaki amepoteza maminister 14 hiyo ni Tsunami.Tuombe Mungu huyu mpambanaji Raila aibuke mshindi ili iwe changamoto kwetu
Hamjamboni Waheshimiwa,
Shukran kwa kuvumilia masaa mengi mkingojea ujumbe za huku kwetu.
Haya hizi dondooz hapa:
1. Kufikia sasa kura za vituo 4856 zimehesabiwa. Nyingi bado zingali huko nje jili kuna vituo 27530 jumla nchini. Kwanini zinachelewa kutangazwa na maafisa wa ECK ilhali vyombo vya redio hata za kigeni tayari zinapata news nani kashinda wapi? ntarejea kwa hili hapo chini.
2. NI KWELI: Maminista wa serikali ya Kibaki kibao wameonyeshwa chamtemakuni na wananchi.
a) Raphael Tuju - Foreign Affairs
b) Moody Awori - Vice President na MInista wa Home Affairs
c) Muskari Kombo - Local Governments
d) Raphael Wanjala - Asst Minista Water resources
e) Mutahi Kagwe - Information and Comm. Tech.
f) Kalembe Ndile - Asst Minista Wanyama Pori na Utalii
g) Paul Sang - Afya
h) Daudi Mwiraria - Natural Resources
i) beth Mugo - (anamwita Kenyatta mjomba huyu) Elimu (asst)
j) George Saitoti - Elimu
k) Newton Kulundu - Labour
l) Simeon Nyachae- Public Works and Roads
m) Moses Akaranga - Office of the President
n) Kipruto Kirwa - Agriculture
o) Anania Mwaboza - Asst. Defence
Wengine ni hawa vigogo wa chama mbali mbali ambazo zilikuwa zinafanya kazi karibukaribu na KIBAKI yaani kama KANU na SAFINA
a) Gideon Moi (mwanake Moi)
b) Philip Moi ( mwanake Moi)
c) Nicholas Biwott
d) Paul Muite (SAFINA)
Hawa minista waliponea chupuchupu jili wanatoka kwa jamii ya wakikuyu na wakikuyu wenggi walimpsapot Kibaki na hawa vigogo wake:
a) John Michuki - Internal Affairs
b) Amos Kimunya - Finance
Kibaki anaongoza Central na Eastern. Raila anaongoza kwa hizo mikoa zingine zote 6.
Wanawake wakutoka jamii ya Moi waliosimama kwa chama cha Raila yaani ODM wote wameshinda
a) Sally Kosgei ( Aldai, ODM)
b) Peris Chepchumba (Eldoret East, ODM)
c) Professor Margaret Kamar (Eldoret South, ODM)
MAALUM: KUHUSU HILI SWALA LA KUCHELEWA KWA MATOKEO. SASA WANANCHI NA WANAHABARI PAMOJA NA MAAJENTI WA VYAMA MBALI MBALI WANATOA KELELE HUKU WAKISEMA SERIKALI INATAKA KUJARIBU KUIBA KURA KWA KUBADILISHA MATOKEO ILI IJIFICHE HAIBU. MUZIDI KUTUOMBEA JILI WAKIFANYA MCHEZO HUU MBAYA LOLOTE LAWEZA TOKEA HUKU! SAA 12.38PM DEPUTY KAMISHENA WA ECK AMEKUTANA NA WANAHABARI WANCHI NA WAKIMATAIFA NA KUTOA ONYO KALI KWA HAO MAOFISA WA UCHAGUZI MASHINANI WA HARAKISHE KUTOA MATOKEO.
____________________________________________
NEWS COMING IN SASA HIVI!
RAILA ASHINDA ENEO BUNGE LAKE LA LANGATA!!!!!!!!!!!!!!!
HOYEEEEE!!! WACHA NITAFUTE RESULTS KAMILI