Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

NEWS COMING IN SASA HIVI!


RAILA ASHINDA ENEO BUNGE LAKE LA LANGATA!!!!!!!!!!!!!!!


HOYEEEEE!!! WACHA NITAFUTE RESULTS KAMILI


Lulu lulu lulu! Ngoja nifungue wine angalau niibwie robo, nitaendelea kuinywa kadri Raila anavyoshinda halafu nitaimalizia jioni baada ya matokeo yote kutoka. Hamna raha kwenye siasa pale wananchi wanapoamua kutenda na marefu wanaamua vile walivyotenda. Kenya mnatupa somo, tunalipata kwa furaha na wengine najua linawauma sana, lakini hawana ujanja itabidi wanywe tu.
 
Hamjamboni Waheshimiwa,

a) Raphael Tuju - Foreign Affairs
b) Moody Awori - Vice President na MInista wa Home Affairs
c) Muskari Kombo - Local Governments
d) Raphael Wanjala - Asst Minista Water resources
e) Mutahi Kagwe - Information and Comm. Tech.
f) Kalembe Ndile - Asst Minista Wanyama Pori na Utalii
g) Paul Sang - Afya
h) Daudi Mwiraria - Natural Resources
i) beth Mugo - (anamwita Kenyatta mjomba huyu) Elimu (asst)
j) George Saitoti - Elimu
k) Newton Kulundu - Labour
l) Simeon Nyachae- Public Works and Roads
m) Moses Akaranga - Office of the President
n) Kipruto Kirwa - Agriculture
o) Anania Mwaboza - Asst. Defence
Heshima Mkuu
Kwa kifupi serikali ya Kibaki, imeanguka. Hakuna cha Kibaki Tena.
 
Nafikiri Moi kawauza PNU, waliamini kweli angewasidia kupata kura za Rift Valley, sasa ameshindwa hata kuwasaidia wanawe wapate kura.

Sasa ngoma imeisha, Raila kashinda, kwa tofauti ninayoiona Rift valley, hakuna uwezekano wa Kibaki kushinda tena. Kura za Central hazitoshi kumfanya ashinde.

I hope mama Ngillu ameshinda.
 
Kwa anae elewa siasa za Kenya, kwa kuwa Kibaki anagombea pia ubunge kwenye jimbo lake (eneo bunge lake), ikitokea akashindwa uchaguzi wa Rais na akapata ubunge, je, ataingia Bungeni ama itabidi uitishwe uchaguzi mwingine. Ninaona kama imekaa kushoto kidogo kwa Rais Mstaafu kuingia Bungeni akiwa Mbunge wa Kawaida.

Wanafuata taratibu kama za UK. Kama unakumbuka Thatcher aliendelea kuwa mbunge kwa muda mrefu.

Blair ndiye hakutaka na akaamua kujiuzulu, lakini kwa UK ni kawaida kwa PM aliyeondoka/aliyeondolewa kuendelea kuhudhuria vikao vya bunge.

Kwa Afrika inaweza kuwa ngumu, huenda baada ya muda akaamua kuachia hicho kiti.
 
Guys

Raila is leading ktk majimbo 6 out of 8, ambayo ni Nyanza,Western,Riftvaley,Nairobi,Northestern,and Coast mpaka sasa
 
Kwa anae elewa siasa za Kenya, kwa kuwa Kibaki anagombea pia ubunge kwenye jimbo lake (eneo bunge lake), ikitokea akashindwa uchaguzi wa Rais na akapata ubunge, je, ataingia Bungeni ama itabidi uitishwe uchaguzi mwingine. Ninaona kama imekaa kushoto kidogo kwa Rais Mstaafu kuingia Bungeni akiwa Mbunge wa Kawaida.

Likitokea hilo la Kibaki kushindwa KENYA na ashinde kiti chake cha bunge basi kuna options mbili:

1. Ataingia bungeni kama mkuu wa Upinzani

2. Kwajili ya umri na hadhi/aibu, wataalam wa siasa wanasema kwamba atakataa kuingia bunge na kujuzulu. Hii haina maana kutakua na uchaguzi nchi nzima. Ila speaker atatoa notice aseme kiti cha eneyo bunge la OTHAYA lipo empty na baadaye kutafanyika by-election au uchaguzi mdogo baadaye. Wengi wanasema yule mkee wake wa pili ataweza kuibuka mshindi endako hii likitokea jili amekua akifanya netwek kali wakati Lucy Kibaki yupo ikulu Nairobi.

Kibaki akishindwa nadhan kwa maoni yangu ataichukua opshen ya pili.
 
Wakuu wetu pia wajiaandae.
Aksante sana K-T for the info.

Sanda Matuta,

Sisi ndio tujiandae kuwatoa, vinginevyo mazingira ya Kenya na Tanzania ni tofauti sana.

Kwanza katiba yetu mbovu mno. Si unaona hata vyama vya upinzani sasa pamoja na kutaka kuungana hawawezi kuungana kwasababu watapoteza viti vyote vya ubunge na udiwani pamoja na ruzuku.
 
Lulu lulu lulu! Ngoja nifungue wine angalau niibwie robo, nitaendelea kuinywa kadri Raila anavyoshinda halafu nitaimalizia jioni baada ya matokeo yote kutoka. Hamna raha kwenye siasa pale wananchi wanapoamua kutenda na marefu wanaamua vile walivyotenda. Kenya mnatupa somo, tunalipata kwa furaha na wengine najua linawauma sana, lakini hawana ujanja itabidi wanywe tu.

Kitila wakikusikia wenyewe shauri yako!
 
Prof. Nyong'o nimempata. Amekuwa non-commital lakini anasema wameshinda kwa asilimia 52.1 kutokana na hesabu za mawakala wao katika majimbo 7. Jimbo la Nane ni North Eastern na kasema bila kuhesabu kura zote za huko wameshinda kwa asilimia 52!

Ananiletea idadi ya majimbo waliyoshinda by sms. Nitawajulisha.

Anasema wana wasiwasi Ngilu kashindwa. Yeye kashinda Nyong'o kashinda Kisumu Rural.
 


RIPOTI ZNAINGIA SASA HIVI ZA HUKO ELDORET NORTH ATOKAKO SIMBA WA ODM AITWAYE WILLIAM RUTO. HUYU NDIYO ALIORGANIZE WAKALENJIN WAKAMUASI MOI KWA JUMLA NDANI YA MKOA WA RIFT VALLEY! WILLIAM RUTO NI MMOJA WA WALE WANAITWA ODM PENTAGON NA AMEJITOKEZA KAMA SAUTI YA JAMII YA WAKALENJIN YA AKINA MOI NA ANATARIJIWA KUWA PRIME MINISTER WAKATI SERIKALI YA RAILA ITACHUKUA MAMLAKA NA KUCHENJI KATIBA MWAKANI. WAKATI MOI ALIWATAKA WAKALENJIN WAMPIGIE KIBAKI ASILIMIA 99 YA MATOKEO HADI SASA INAONYESHA JAMII HIO ILIAMUA KUMFUATA RUTO HADI KWA TIMU YA RAILA.

RUTO .ODM - 78, 423
JONATHAN BII KANU. 20, 300
PRISILA CHEROP PNU. - O

[/B][/COLOR]
 
MHESHIMIWA ZITTO,

Kama vile ndugu yetu Mnairobi amesema hapo juu ya thread, NGILU ameshinda kwao Kitui Central

Sasa timu ya ngazi ya juu ya ODM IJULIKANALO KWA JINA THE ODM PENTAGON tayari ipo bungeni

RAILA ODM LANGATA
RUTO ODM ELDORET NORTH
NGILU ODM KITUI CENTRAL
MUDAVADI ODM SABATIA
NAJIB ODM MVITA
IMESALIA JOE NYAGAH....APO MAHALA PAGUMU JILI HIO NI ENEO YA PNU NA KIBAKI
 
Prof. Nyong'o nimempata. Amekuwa non-commital lakini anasema wameshinda kwa asilimia 52.1 kutokana na hesabu za mawakala wao katika majimbo 7. Jimbo la Nane ni North Eastern na kasema bila kuhesabu kura zote za huko wameshinda kwa asilimia 52!

Ananiletea idadi ya majimbo waliyoshinda by sms. Nitawajulisha.

Anasema wana wasiwasi Ngilu kashindwa. Yeye kashinda Nyong'o kashinda Kisumu Rural.

Asante Zitto. Nitasikitika sana mama Ngilu akishindwa, ninaamini hata akishindwa basi Raila atamteua kuwa mbunge.

Kuna jamaa kaandika Ngilu kashinda, wacha tusubiri na kuona mwisho wake.
 
Moi sons, Biwott lose to newcomers

Published on December 28, 2007, 12:00 am

By Standard Team

Former President Daniel Moi sons Raymond and Gideon lost to newcomers in Rongai and Baringo Central parliamentary seats to ODM candidates.

And immediate former Keiyo South MP Nicholas Biwott's 28-year hold on the constituency came to an end after he suffered defeat at the hands of a political newcomer.

Neophyte Jackson Kiptanui Kamai, 38, pulled a major surprise to fell a giant when he upset the self declared ‘Total Man' beating him hands down with over 20, 000 votes.

Kamai, vying on an ODM ticket, was declared the new Keiyo South MP by presiding officer, Joseph Mibei, after he garnered 30,830 votes against Biwott's 9,483 who ran on Kanu.

Biwott's perennial political rival, Tabitha Seii who stood on a Kenda ticket failed to make an impression and garnered only 226 votes.


Raymond, who was vying under a Kanu ticket came a distant third with the second place going to Jack Waihenya of PNU. Luka Kigen clinched the seat by garnering 20, 812 votes, against Waihenya's 13, 937 while Raymond got 12,888.

Gideon Moi lost the seat he inherited from the former president to Sammy Mwaita of ODM.

There were celebrations at Rongai Boys High School after the Returning Office Ms Monica Cheruiyot declared Kigen the winner. His supporters broke into pro-ODM songs and lifted him shoulder- high.

"I am so happy I have won and thank the people of Rongai for giving me a chance to serve them," he said.

Elsewhere, William Ole Ntimama has retained his Narok North seat, beating his closest rival, PNU candidate Moitalel Kenta by 6174 votes. He got 27,814 votes, Kenta managed 21,640 and Martin Kamwaro 12,180.

Fred Kapondi of ODM won in Mt Elgon, an area that has suffered from tribal clashes for the better part of the last two years.

Labour minister and former Lurambi Member of Parliament Dr Newton Kulundu has conceded defeat. Kulundu called the Standard Newsroom and announced he accepted defeat as a democrat. He however complained a number of anomalies in some of the polling centres in the area.

"As a democrat, I accept the outcomes and urge my colleagues who have been beaten to follow suit," he said.

Former Budalangi MP Raphael Wanjala was also defeated by a Nairobi based lawyer Ababu Namwamba of ODM. Namwamba got 11012 votes against Mr Wanjala 7180 votes in an election that was marked with high turnout.

Source: The Standard
 
Sanda Matuta,

Sisi ndio tujiandae kuwatoa, vinginevyo mazingira ya Kenya na Tanzania ni tofauti sana.

Kwanza katiba yetu mbovu mno. Si unaona hata vyama vya upinzani sasa pamoja na kutaka kuungana hawawezi kuungana kwasababu watapoteza viti vyote vya ubunge na udiwani pamoja na ruzuku.

Sawa nakubari Kaka,
Ni sisi yatupasa kujiaandaa lakini na wao pia.

Mimi kwa matazamo wangu waTZ wanahitaji boost kidogo tu,hari ngumu ya maisha,utandawazi na siasa za wenzetu mfano Kenya kwa sasa katika kipindi hiki cha miaka karibu saba(7) imefanyakazi ya kubadirisha mitazamo ya watu.
Kama upo Bongo shuka Mtaani kwenye vijiwe vyao tizama na sikia mitazamo ya wale vijana walio jobless
 
Nationmedia Results At 2.00pm
Raila - 2.08m Votes 59.7% Of Votes Counted
Mwai - 1.22m 35%
Kilonzo 0.216m 5%
 
Back
Top Bottom