Kenyan-Tanzanian
JF-Expert Member
- Nov 7, 2006
- 302
- 2
HAYA HII HAPA TENA BREAKDOWN WAKUU,
TIME: 12.12am
SOURCE: KTN TV
KURA NCHI NZIMA:
1. Raila - 3,609, 795
2. Kibaki - 3, 116, 373
3. Kalonzo - 516, 511
KURA ZA MIKOANI
EASTERN
1. Kalonzo - 411, 936
2. Kibaki - 349, 147
3. Raila - 48, 712
Nafamishwa na wenzangu kwamba zile total votes za kila mkoa au ile total vote ya 14.1 Million ni namba rasmi za waliojisajili na sio kwamba hawa wote walipiga kura. Basi total za mshindi, na wenzake pengine zitafika kwa 11 Million. Mnaweza tilia hili maanani tukichapa mahesabu usiku kucha leo.
Mwa mfano: Katika eneo bunge la Juja huko Central province Namba ya wapiga kura ua kura huko ni 163, 397.
Lakini kufikia sasa wamepata mbunge na kura zishahesabiwa.
1. Kibaki - 100, 390
2. Raila - 13, 752
3. Kalonzo - 4, 409
Ukiweka hizi pamoja hazifikii ile figa rasmi ya 163, 397. Hii ina maana kwamba kuna wale waliojisajili lakini hawakuenda kupiga kura. Turn out ya wapigaji kura Central na Rift Valley zilikuwa nzuri sana. Eastern maeneo ambayo yako pande za kusini wa mkoa huu siyo tishio. Huko kunaishi jamii za kuhamahama na huwa hawapigi kura kwa wingi. Kuliko na kura ni kati kati ya Eastern wishiko mabinamu wa wakikuyu waiitwao wameru na waembu....kura za waembu zimekwisha ingia na Kibaki amepata na tiyari ziko kwenye hiyo figa hapo juu kwenye post hii. Tunasubiri za wameru kama kwa kina Petkey Miriti au Kiraitu Murungi na pia embu kwa kina Mbarire.
Kibaki wasipo iba kura basi Raila yuko ndani ya Ikulu wiki ijayo.