Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Currently Active Users Viewing This Thread: 100 (48 members and 52 guests)
kakindomaster, Mtanzania, Zitto, Dua, mwafrika, johnshaaban, kilitime, Jasusi, ngereja, eddy, mfwatiliaji, Kitila Mkumbo, Mzalendohalisi, Ogah, Invincible, Mtu, shy, COMRADE44, kapinga, Azimio Jipya, green29, Nurujamii, Keil, Keen, Kithuku, NakuliliaTanzania, shemzigwa, nampula, Masatu, MSAUZI, Rwabugiri, Mtaalam, Jembajemba, Kadogoo, mkomboziufisadi, Mtu Mzima, Mlalahoi, tanzactive, mkamap, Kenyan-Tanzanian, Verily Verily, Halisi, ulate, sabasaba, KULIKONI UGHAIB, LUGASA, mtu66, jamco_za

K-T

Hawa wote wameshuhudia jinsi viongozi wa Africa wasivyopenda mabadiliko.

Wanaitisha chaguzi wakati wanajua matokeo.

Asante sana kwa msaada wako.

Hila haki itacheleweshwa tu lakini itapatikana
 
kibaki ameshinda basi kazi imeanza na kbc wameanza propaganda kuwa walioshindwa wakubali matokeo maana kuna mwaka 2012 na 2017 inakuja.

mungu isaidie kenya na afrika yetu.
 
matokeo haya ni haramu, naamini kabisa ni mbio za sakafuni siku si nyingi Raila atakuwa presidente de kenya.
 
So,what's next?Inatia uchungu kuona watawala wa Kiafrika wanavyoweza kufanya lolote kung'ang'ania madarakani ili wabaki madarakani kuendeleza ufisadi
 
So,what's next?Inatia uchungu kuona watawala wa Kiafrika wanavyoweza kufanya lolote kung'ang'ania madarakani ili wabaki madarakani kuendeleza ufisadi

wapambe na wanafiki watakuambia kuwa inabidi wakenya watulie na wasubirie mwaka 2012 kwa election ijayo.
 
Kibaki named victor in Kenya vote

Kenya's President Mwai Kibaki has won the country's closely-fought election, the Electoral Commission has declared.
The announcement came after opposition leader Raila Odinga accused Mr Kibaki of electoral fraud and called for a full re-assessment of the results.

Mr Odinga had lead since vote counting began, but saw his advantage evaporate as later votes were added.

The count was badly delayed, sparking violence in which several people are reported to have been killed.
 
Nimeumia sana lakini. Nimeshinda na kukesha mbele ya screen ya computer for 3 days and 3 nights only to end up disappointed!
 
Many thanks to all JF members who contributed to this event.

Kenyan - Tanzanian for all your updates and others.

Shukran.
 
What a shame on africa!

what a shame on what was supposed to be one of africa's most free and fair elections!

Watu walitegemea katika ulimwengu wa sasa, ambapo teknolojia imekua, kusiwe na ubabaishaji kama huu uliotokea...lakini imetokea!

Aibu hata kutoka nje huko kujipigia kifua kuwa mi ni mwana east africa!

What a shame, and more importantly, what a humiliation to those who fought so hard and brilliantly in this election, just to witness this kind of 'vote rigging'!

kweli hata mi tumbo linageuka geuka

Mh Zitto (MB) madamu uko hapa tunaomba analysis yako...tujipangeje kwa 2010? hatuna muda kaka!
 
Back
Top Bottom