Nyahende Thomas
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 211
- 104
These OCAMPO guys are Mafioso. Waliizidi ujanja IEBC navyoona
naona , jamaa wa supreme court wamekuwa wanjanja saana, nitatoka vipi?
Taarifa ya habari ya saa moja Chanel ten wamesema imethibitishwa kulikuwa na mapungufu katika 22 constituents kama ilivyodaiwa na petitioners!
Hukuwa unasikiliza wewe...
hii pasaka inaweza kuwa mbaya sana kwa president elect uk! Btw .....hana "bp"?
Wasiwasi wangu ni kama majaji wataweza kutoa hukumu ya haki.
Tayari Uhuru Kenyatta amekwishaanza kuwapiga mkwara majaji hao sita pamoja na kujaribu kuomba radhi lakini alichokisema alikimaanisha.
Hatahivyo kesi hii ni jaribio/mtihani mkubwa sana na mgumu sana kwao kwani uamuzi wa hii kesi unaipa mahakama nafasi ya kwanza ya kujijengea kuaminiwa na wakenya ama kujiondolea uaminifu miongoni mwa wakenya.
Well, unakumbuka Supreme Court ilitoa order ku-Scrutinize forms 34s and 36s? Pia re-tallying of suspicious 22 polling stations? Sasa imedhihirika leo asubuhi Mahakamani kuwa in those 22 polling stations Uhuru aliongezewa 6,000 votes na Raila alipunguziwa 11,000 Votes. Mind you its only in 22 polling centres. (What if in 33,000 polling centres?). Haya Forms 34 ambazo ndizo zinakuwa na results kutoka counties mbalimbali, imegundulika 10 hazipo. Je yale matokeo yaliyotangazwa (including results from those missing 34 forms) yalitoka wapi? were they complete? Haya kuna duplication of form 36.....so ....interesting!
Naona unatoka vapour tupu. If you watched the Respondent counsels today in court then no doubt you would concur with me. So you think the "Clerical" errors favored who? just wait kesho asubuhi ndo utajua mbivu na mbichi.wacha uongo here is the print out of the form 34 re-tally. 6000 umetoa wapi kwa Raila do you always believe everything you hear or read. people like you work at the level of gossip and not fact.confirm things before you post them
Excel Report of the 22 Constituencies Re-Tallied
Naona unatoka vapour tupu. If you watched the Respondent counsels today in court then no doubt you would concur with me. So you think the "Clerical" errors favored who? just wait kesho asubuhi ndo utajua mbivu na mbichi.
why are u shifting the goal post, what do u stand for, earlier umeseme, uhuru could have not crossed 50 +1, i.e ana 49.?%, hapa wasema hiyo difference ya 6000, can not reduce 50 +1, mara ume vote kwa cord, mara warongo, mara anatakuwa President at all cost, hivi aliye form Munguki alikuwa Odinga? aliye rig 2007 alikuwa Odinga?the 6000 was from the overall tally of form 36 which still didn't cut UK lead of 50+1. look at the court report that i have provided there are only 5 discrepancies in the 22 re tallied stations using the form 34. 2 the discrepancies in meru were opposed and evidence was provided proving that the discrepancies only fell on 3 areas. considering that these stations are only 22 of the 33000. look at the given report don't comment on what a person said in court. lawyers are liars and will lie win their case. use your head like i did and look for your own evidence. and for your info i voted for CORD but i can't stand it when a person had lie to try and become president at all costs. i was also an election observer working under a certain media house so i know that most of what CORD is purporting is a lie (MY OPINION)
Excel Report of the 22 Constituencies Re-Tallied
why are u shifting the goal post, what do u stand for, earlier umeseme, uhuru could have not crossed 50 +1, i.e ana 49.?%, hapa wasema hiyo difference ya 6000, can not reduce 50 +1, mara ume vote kwa cord, mara warongo, mara anatakuwa President at all cost, hivi aliye form Munguki alikuwa Odinga? aliye rig 2007 alikuwa Odinga?
Taarifa ya habari ya saa moja Chanel ten wamesema imethibitishwa kulikuwa na mapungufu katika 22 constituents kama ilivyodaiwa na petitioners!