KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Sisi kwetu utasikia kesi ipo mahakamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmm, Bongo flavor kwa kwenda mbele. Taifa la makanjanja.Bongo kurusha matangazo ya bunge ni nongwa halafu tutegemee kurusha matangazo ya kesi ya Urais??
mavyombo suala la "digital" limewaondoa wengi kwenye matumizi ya TV
Hii ndiyodemokrasia kwani kila mtu anaweza kufuatiliamwenendo wa kesi kwenye tv hata kama upo mbali citizen tv wanalusha live kutoka supreme court
Hapa mzee kuna elimu fulani ya muhimu. Unavyoona wewe ni kwa nini mseto unawadhoofisha wapinzani? Makosa gani labda wanayoyafanya ambayoipengine wangeya avoid wangeweza kutumia hiyo fulsa ya kuwa katika serikali kwa kujiimarisha zaidi?
mchezo wa paka na panya. hata uhuru akivuliwa urais na uchaguzi ukarudiwa. akishindwa na yeye atakimbilia mahakamani.