Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

mavyombo suala la "digital" limewaondoa wengi kwenye matumizi ya TV
 
Last edited by a moderator:
Bongo kurusha matangazo ya bunge ni nongwa halafu tutegemee kurusha matangazo ya kesi ya Urais??
 
Hii ndiyodemokrasia kwani kila mtu anaweza kufuatiliamwenendo wa kesi kwenye tv hata kama upo mbali citizen tv wanalusha live kutoka supreme court

Acha kudanganyika na kushawishika kirahisi wewe! Ndio maana nchi inauzwa tumebaki tu kushangilia Wachina wamekuja kutusaidia!

Wakenya ni wasanii kuliko hata sisi x100, hayo yote wanayofanya ni shoo tupu ili watu kama nyinyi na wengineo waseme hayo uliyasema, lkn mwisho wa siku hayamsaidii chochote Mkenya aliye mkimbizi ndani ya nchi yake mwenyewe tangu mwaka 2007, anaishi porini bila msaada wowote, wa hiyo unayoiita Demokrasia ya ukweli!

 
Kenya's Supreme Court has ordered the election commission to recount votes in some constituencies in regard to the country's March 4 presidential election.

The court on Monday heard arguments from civil society groups and the legal team of Prime Minister Raila Odinga over what they say were failures by the election commission to conduct a free and fair election.

The court ordered the election commission to recount votes in 22 of the country's 291 constituencies to see if any of the tallies exceed the number of registered voters, one of the complaints from Odinga's team. The court also ordered scrutiny of the 33,400 forms which were used for to record election results.

The election commission named Uhuru Kenyatta the winner of the election with 50.07 percent of the vote.

DW
 
Wakuu,
Wakati ule wa harakati za uchaguzi mlikuwa mnatupasha mno namna mpambano unavoendelea kila mara. Hadi tukawaelewa misimamo yenu ilivokuwa. Ajabu mmekuwa kimya mno baada ya uchaguzi kwisha.

Moja ya faida ya jukwaa hili ni kupashana habari za matukio yote yanayoendelea kuhusu siasa.

Kama utakumbuka update za kesi za Tz zintupwa jamvini hadi msomaji unajisikia kuwa upo mahakamani nawe.

Kwa jamaa zetu wa Kenya vipi? mbona mko kimya? Au ndo wenyewe mliokata rufaa na mliokatiwa rufaa na kwa maana hiyo mnahangaikia kushinda?
 
Wenzetu wametuacha mbali sana,na hii ni kutokana na sera mufilis za MA-CCM.
 
Hapa mzee kuna elimu fulani ya muhimu. Unavyoona wewe ni kwa nini mseto unawadhoofisha wapinzani? Makosa gani labda wanayoyafanya ambayoipengine wangeya avoid wangeweza kutumia hiyo fulsa ya kuwa katika serikali kwa kujiimarisha zaidi?

Nafikiri si kwa sababu ya mseto sababu ni kwa sababu Waafrika hatuwezi perform tunachoongea ama tunachowaambia wananchi. Ni rahisi kuwadanganya waafrika utafanya hiki na kile hapa na pale kama hujawa mtendaji mkuu, lakini mara utapo-jump in na kuwa kiongozi vulnerbility zako zote zinaonekana Na.

Ndiyo maana, viongozi wa afrika kwa awamu ya awali anaweza shinda kiuhalali kwa hata 80% lakini round ya pili lazima ali-ring uchaguzi ndo ushinde, rejea Kikwete. Na hata yule wa Zimbabwe, kama Mugabe aking'atuka akaja mpya, huyu mpya anasilimia kubwa kumgaragaza yule mpinzani alishinda mwaka ule na Mugabe akakwapua ushindi.

Ili ushinde na uko serikalini kwa nchi za afrika, lazima ujihakikishia unaweza ku-ring uchaguzi, kwa bahati mbaya Raila, Seif hawako ktk hiyo position.
Rejea pia mpinzani wa Senegal alingia kwa mbwembwe, ila yeye alikubali matokeo, nafikri ni siku si nyingi Gbabo alikuwa ameshughurikiwa.
 
mchezo wa paka na panya. hata uhuru akivuliwa urais na uchaguzi ukarudiwa. akishindwa na yeye atakimbilia mahakamani.
 
Mahakama nchini Kenya inayosikiliza rufaa ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku chache zilizopita imeamuru kura zirudiwe kuhesabiwa katika majimbo ishirini na mbili 22 nchini humo, sasa je matokeo zaidi yatabaini nini? Tuendelee kufuatilia ni nini kitajiri. Nini cha kujifunza hapo kwa mahakama zetu za Tanzania?
 
Hayo ndio majimbo pekee yenye matokeo ya utata ama wanataka kuyatumia kama sample space??
 
That Case is abit hard the lawyers throw their dice and its getting hot About the evidences put forward by CORD lawyers that takes the case to be hard Let me wait for tomorrow
 
mchezo wa paka na panya. hata uhuru akivuliwa urais na uchaguzi ukarudiwa. akishindwa na yeye atakimbilia mahakamani.

Just to inform every interested reader. THERE IS NO APPEAL ONCE THE SUPREME COURT HAS MADE ITS DECISION, ITS DECISIONS ARE FINAL
 
Back
Top Bottom