Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simplemind, isn't it possible to doctor the server contents?Wondering why iebc wont provide error and events log. The damn thing can be printed in matters of minutes by any one who has administrator privilege to computer system /the 6 servers.
Mahakama nchini Kenya inayosikiliza rufaa ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku chache zilizopita imeamuru kura zirudiwe kuhesabiwa katika majimbo ishirini na mbili 22 nchini humo, sasa je matokeo zaidi yatabaini nini? Tuendelee kufuatilia ni nini kitajiri. Nini cha kujifunza hapo kwa mahakama zetu za Tanzania?
Ni majimbo au vituo vya kupigia kura?
MY TAKE:-
Kesi itatupwa kwa kushindwa kuthibitisha madai yao. Na Uhuru kuapishwa hivi karibuni.
simplemind, isn't it possible to doctor the server contents?
Itatupwa katika hatua gani? Hatua hii ya mwanzo au itaenda hadi mwisho na unachotabiri wewe ni kwamba the judges will pronounce against the petitioners?
Na vipi wanasheria wa kibongo - wanaweza ku-argue kwa Kizungu kama hao wa Kenya (ingawa hata hao wa Kenya wanachapia hapa na pale pamoja na kutamka vibaya maneno)?
Mahakama nchini Kenya imehamuru kuhesabiwa upya kura za urais, zilizompa ushindi ndugu Uhuru Kenyatta. Ni kwa baadhi ya majimbo yaliyokuwa na utata katika uchaguzi uliopita.
Source: BBC
Mbali ya applications kutupwa save for the ordered manula vote counting in 22 polling stations together with tallying of votes from Forms 34, 35 and 36 kama hilo zoezi halitaonyesha wizi basi raila is roasted for good. Jinsi nilivyoupima uwezo wa timu ya wnasheria wake pamoja na kiini cha madai yao ambayo kinathibitisha hawaelewi katiba na sheria ya uchhaguzi inasemaje.
Uhesabuji ni wa vituo 20 tu kati ya maelfu ya vituo kaka..hawahesabu kura zote...
Hata mimi niliona wanasheria wa Raila wali-stumble hapa na pale hadi nikawa najiuliza kwa nini James Orengo siyo lead attorney wa team Raila kwenye hii petition.
But we shall see.
I didn't like the dictatorial manner of one of the judges.
I'm already starting to think this whole thing is a sham. A charade!
Ab-Titchaz can you give us the ethnic breakdown of these judges?