Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Wondering why iebc wont provide error and events log. The damn thing can be printed in matters of minutes by any one who has administrator privilege to computer system /the 6 servers.
 
kenyata wanataka aanze kuendesha hivi hivi na ukitilia maanani mama bensouda kasema kuwa ICC ina concrete evidence dhidi yake! naamin judiciary ya kenya itatoa uamuzi ambao utakubaliwa na wakenya wote. ALLAH waongoze majaji wa kenya wafikie uamuzi wa haki.
 
Mahakama nchini Kenya inayosikiliza rufaa ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku chache zilizopita imeamuru kura zirudiwe kuhesabiwa katika majimbo ishirini na mbili 22 nchini humo, sasa je matokeo zaidi yatabaini nini? Tuendelee kufuatilia ni nini kitajiri. Nini cha kujifunza hapo kwa mahakama zetu za Tanzania?

Ni majimbo au vituo vya kupigia kura?
 
Leo nimefurahi yale yote ambayo nimekuwa nikiyabandika humu yamejitokeza mahakamani. Kweli Kenya wamesomesha wanasheria. La kwanza, Raila na CORD hawajui wanacholalamikia nini na matokeo yake kila kukicha wanakuja na madai mapya ya kudai ushahidi jambo ambalo linapingana na Rules za SUPREME COURT.

Pili wanadai ushahidi kutoka kwa makandarasi wa IEBC ambao hata hawamo kwenye orodha ya wanaowashtaki. Wameshushuliwa na kesho ruling itatoka ya kutupa mambo mapya ambayo wamezua leo na huku hayamo kwenye main petition zao. Huruhusiwi kwenda nje ya shauri lako na ndiyo maana kuna msemo usemao:-
"parties are bound by their own pleadings." Wakati makandarasi hata hawahusiki wao wanataka waagizwe na mahakama kuleta ushahidi wakati wao siyo sehemu ya kesi!

Supreme Court imejikanganya katika kazi ya kutoa muda wa kujielezea kwa pande husika na vigezo vyao vimeleta utata na kesho hilo litaangaliwa. Mfano inakuwaje mwanasheria wa Raila kapewa masaa mawili na dakika 6 wakati wa Uhuru kapewa dakika 58 tu? Misingi walioitumia bado ina utata mkubwa na kesho itabidi wajadiliane na haki itetendeke.

MY TAKE:-

Kesi itatupwa kwa kushindwa kuthibitisha madai yao. Na Uhuru kuapishwa hivi karibuni.
 
Mahakama nchini Kenya imehamuru kuhesabiwa upya kura za urais, zilizompa ushindi ndugu Uhuru Kenyatta. Ni kwa baadhi ya majimbo yaliyokuwa na utata katika uchaguzi uliopita.

Source: BBC
 
Ni majimbo au vituo vya kupigia kura?

Amekosea ni vituo 22 tu na sehemu yote iliyobakia ni kukagua kazi ya kujumlisha kura kama ilifanyika kwa usahihi na hilo CORD hawalitaki kwa kuwa wanajua ndipo mzizi wa fitina ulipokatikia. Kesi yao ndiyo imeanza fya kuyoyoma na madai yao yote yataumbulika baada ya hili zoezi ambalo litakamilika kesho na taarifa yake kutangazwa kesho kutwa. hearing is in two days and 15 hours have been apportioned for that.
 
MY TAKE:-

Kesi itatupwa kwa kushindwa kuthibitisha madai yao. Na Uhuru kuapishwa hivi karibuni.

Itatupwa katika hatua gani? Hatua hii ya mwanzo au itaenda hadi mwisho na unachotabiri wewe ni kwamba the judges will pronounce against the petitioners?

Na vipi wanasheria wa kibongo - wanaweza ku-argue kwa Kizungu kama hao wa Kenya (ingawa hata hao wa Kenya wanachapia hapa na pale pamoja na kutamka vibaya maneno)?
 
But Kenya has really come a long way in its justice system.

I was watching James Orengo recall how hard it was back then to challenge presidential election results.

They literally had to serve the papers to whoever was president at the time and that was an insurmountable challenge in and of itself.

And that no election petition could stop a swearing in. But now it's a whole nother story. No more quick backyard swearing ins lol.
 
Itatupwa katika hatua gani? Hatua hii ya mwanzo au itaenda hadi mwisho na unachotabiri wewe ni kwamba the judges will pronounce against the petitioners?

Na vipi wanasheria wa kibongo - wanaweza ku-argue kwa Kizungu kama hao wa Kenya (ingawa hata hao wa Kenya wanachapia hapa na pale pamoja na kutamka vibaya maneno)?

Kitakachotupwa ni zile applications mbili ambazo zimezuka leo asubuhi wakati ni baada ya kufungwa hatua ya pleadings! Moja ina kurasa 900 na nyingine hata siyo application ila ni taarifa ya kudai ushahidi. Fani ya sheria TZ ina changamoto nyingi mbali ya lugha. Kubwa ni upeo ni finyu sana na tatizo siyo mitaala tu bali pia uchaguzi wa hao wanafunzi bado hauzingatii uwezo wao.

kesi itaenda hadi mwisho lakini kutokana na orders mbili za Supreme Court leo ni dhahiri ya kuwa electronic failures will not be considered but the validity of manual tallying. Kesi ya CORD na Raila haiko kwenye manual tallying na pamoja wamepewa muda mwingi wa kuthibitisha madai yao lakini hadi leo wameshindwa kutoa ushahidi kwenye affidavits zao kuonyesha wanacholalamikia kinaungwa mkono na ushahidi upi. Matokeo kila kukicha wanakuja na madai ya kuomba ushaidi mpya wakati kazi hiyo walikwisha kuifanya High Court na Supreme Court ni kulisikiliza shauri na wala siyo mahali pa kuomba documents.

Mbali ya applications kutupwa save for the ordered manula vote counting in 22 polling stations together with tallying of votes from Forms 34, 35 and 36 kama hilo zoezi halitaonyesha wizi basi raila is roasted for good. Jinsi nilivyoupima uwezo wa timu ya wnasheria wake pamoja na kiini cha madai yao ambayo kinathibitisha hawaelewi katiba na sheria ya uchaguzi inasemaje.
 
Mahakama nchini Kenya imehamuru kuhesabiwa upya kura za urais, zilizompa ushindi ndugu Uhuru Kenyatta. Ni kwa baadhi ya majimbo yaliyokuwa na utata katika uchaguzi uliopita.

Source: BBC

Uhesabuji ni wa vituo 20 tu kati ya maelfu ya vituo kaka..hawahesabu kura zote...
 
Mbali ya applications kutupwa save for the ordered manula vote counting in 22 polling stations together with tallying of votes from Forms 34, 35 and 36 kama hilo zoezi halitaonyesha wizi basi raila is roasted for good. Jinsi nilivyoupima uwezo wa timu ya wnasheria wake pamoja na kiini cha madai yao ambayo kinathibitisha hawaelewi katiba na sheria ya uchhaguzi inasemaje.

Hata mimi niliona wanasheria wa Raila wali-stumble hapa na pale hadi nikawa najiuliza kwa nini James Orengo siyo lead attorney wa team Raila kwenye hii petition.

But we shall see.
 
Uhesabuji ni wa vituo 20 tu kati ya maelfu ya vituo kaka..hawahesabu kura zote...

Vituo hivyo ndiyo vyenye utata wa dhahiri, kuna mtu kuumia tuvute muda yaweza kuwa sherehe ya muda kwa presidaa-elect
 
Hata mimi niliona wanasheria wa Raila wali-stumble hapa na pale hadi nikawa najiuliza kwa nini James Orengo siyo lead attorney wa team Raila kwenye hii petition.

But we shall see.

Ukiisha kuingia kwenye siasa usifikiri ni rahisi kurudi na kusoma volumes of documents na wewe umezoea kulipwa hata kama bungeni huingii ukisingizia wewe ni waziri. Ungelimowna leo Orengo alivua miwani akabaki anaangalia juu. it was a very sad countenance to witness na hawa ndiyo waliokuwa wanamshauri raila. CORD wametumia muda mwingi kupeleka suala lao kwenye Public Court badala ya kujadiliana ni maeneo yapi ya kuyalalmikia na kuweza kuyathibitisha ndani ya siku 14. Ukiulalamikia uchaguzi wote siku 14 zinaweza kwisha na Supreme Court kumthibitisha uhuru simply because they did not have sufficient time to deal with the issues kama ilivyojitokeza mwaka 200 bush v. Al-Gore
 
I didn't like the dictatorial manner of one of the judges.

I'm already starting to think this whole thing is a sham. A charade!

Ab-Titchaz
can you give us the ethnic breakdown of these judges?

1.THE HON. JUSTICE (DR.) WILLY MUNYWOKI MUTUNGA, (Mkamba)
2.
THE HON. MR. JUSTICE PHILIP KIPTOO TUNOI (Mkalenjin)

3.
THE HON. JUSTICE (PROF.) J.B. OJWANG (Majaluo)

4.
THE HON. MR. JUSTICE MOHAMED KHADHAR IBRAHIM ( Msomali)

5.
THE HON. JUSTICE (PROF.) SMOKIN WANJALA (Mluhya)

6.
THE HON. LADY JUSTICE NJOKI NDUNG'U SUSANNA (Mkikuyu)



Afu huyo Smokin Wanjala...ndo jina lake hilo!...anabalaa huyo mwanamume. He even turned down an appointement
from the powers that be one time. Watu walibaki wameshangaa lakini that was the stand that endeared him to be made
a Supreme Court Judge during the vettin process.

Now in regards to if this thing being a charade, only time will tell.

Nimebanwa kazini but I will give my take in a little while.

Swadaktaa.
 
8f7e745d26f5280a2d0f6a706700c9b0.jpg


Kenya's Supreme Court on Monday ordered a recount of votes in some constituencies in the country's March 4 presidential election. The court heard arguments from civil society groups and the legal team of Prime Minister Raila Odinga over what they charge were failures by the election commission to conduct a free and fair election.
The court will decide Tuesday where and how the recount of votes will be done. The petitioners and the respondents are to elect 10 people each to act as observers.
Kenya's electoral commission has been accused of lack of transparency by the opposition.
The court ordered the recount of votes in 22 of the country's 291 constituencies to see if any of the tallies exceed the number of registered voters, one of the complaints from Odinga's team. The court also ordered scrutiny of the 33,400 forms which were used to record election results.
More than 12 million Kenyans on March 4 voted in the country's first presidential election since a 2007 vote sparked weeks of tribal violence that killed more than 1,000 people. Kenyan officials have pleaded with the public to not react to this year's election with violence. So far only minor instances of election-related violence have been reported.
The election commission named Uhuru Kenyatta the winner of the election with 50.07 percent of the vote. Odinga has asked the court for a new vote to be held, citing numerous failures in the vote counting and voter verification systems.
One of Odinga's lawyers, Ochieng Oduol, asked the Supreme Court to order the Independent Electoral and Boundaries Commission to make computer server logs available to Odinga's team.
The day after the vote, early electronic returns were broadcast on nearly every Kenyan TV station. Then, sometime around midday on March 5, the counts suddenly stopped, a problem the IEBC blamed on a crash of the computer servers.
"The server was set up to fail and there was no intention to use the electronic data transfer," Oduol said when one of the judges asked him what he intended to show the court by gaining access to the logs.
Nani Mungai, the Independent Electoral and Boundaries Commission lawyer, said Odinga's lawyer had "woven a conspiracy theory" around the issue of the failure of the electronic registration and data transfer systems. Mungai asked the court to dismiss the request by Odinga's team.
One theory being put forth by Odinga's team is that the stoppage of the early return count allowed Kenyatta backers to change returns on the manual tallying sheets being transported back to Nairobi. Those changes would ensure that Kenyatta would clear the 50 percent threshold needed for an outright win, alleged George Nyongesa, the chief executive of a pro-Odinga group known as FORA.
The Odinga team is asking the court to order a new vote that would allow all eight presidential candidates to again contest the presidency. Kenya's constitution says the court must rule by Saturday.
Kenya had put high hopes that the electronic registration and identification of voters would eliminate allegations of rigging that sparked off protest in 2007 which degenerated into tribe versus tribe violence in which more than 1000 people died and 600,000 were evicted from their homes.
A 2008 government report examining the 2007 electoral process found that vote counts were changed by extensive perversion of polling, probably by ballot-stuffing, organized impersonation of absent voters, vote buying and/or bribery.
A further contributor and facilitator for manipulation at polling stations is the disturbing feature that in many instances (in the strongholds of both main political parties) effectively only the majority party was represented during polling and counting, said the report by the Independent Review Commission on the Dec 27, 2007 general elections.
The report said the system of tallying, recording, transcribing, transmitting and announcing results was conceptually defective and poorly executed.
The electoral commission had long since been aware of the need to revise the system fundamentally by introducing readily available information and communications technology, said the review commission. The commission failed to put in place such a system, concluded the report: "This contributed to the climate of tension, suspicion and rumor which fanned the violence."

Source: AP
 
Back
Top Bottom