Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Mi nataka nione yuke mama wa icc kama atathubutu kumkamata uhuru...
 
akishaapishwa tu,kenyatta itakua ndo byebye The hague.
Wakimbana sana atatawala hata kwa miaka thelathing bila kuachia.

Unafikiri icc ni mahakama za bongo. kesi iko pale pale. hata anunue mashahidi lazima mashahidi watabanwa mpaka wamuumbue. kitakachotokea wakenya wakiona anawaharibia mustakabali wa nchi ni kumpigia kura ya kutokuwa na imani kumwondosha madarakani. hilo kinawezakana.
 
Hata asingekubali angefanyaje..apumzike tu ale pensheni

kwa siasa za Afrika angesema kauli yoyote yenye kupingana na hukumu ya mahakama, wafuasi wake wangeweza kuingia mtaani na kufanya vurugu.
 
The British PM,,,,sends Uhuru Kenyatta,,,, a congratulatory message saying,,
'he is ready to work with him and the people of Kenya'.

Sasa ambao hawawezi kufanya kazi ama biashara na sisi,,,,,
,,,sijui ICC sijui,,,,ukoloni mambo leo,,,,

Hebu wajitambue mapema,,,,,,:-*
 
kwel nimeamin ng'ombe wa mackin hazai, na hata akiza basi anazaa dume!
sasa ni rasmi kenya ni ya wakikuyu tangu uhuru! ndugu zangu wakamba, waluo, kabila la kina laila wactegemee kuiongoza kenya! laila alikuwa na na mvuto kuliko uhuru, ila ukabila umefanya kaz yake!
hvi unazani mahakama ingefanya nini wakati asilimia karibu tisini ya majaji ni wakikuyu!
bora tanzania gape la ukabila sio kubwa kiivyo ni sisi watanzia tunashndwa kufanya maamuz kw nizamu ya woga tuliyonayo!

mkuu inaelekea kina Odinga hawakujipanga tokea mwanzo. wenzao walihahakikisha katika ngome zao watu wao almost wote wanajiandikisha na kupiga kura - fundisho kwa vyama vyetu vya upinzani - huwa havifanyi hivyo na vinategemea wingi wa mahudhurio katika mikutano ya kampeni - sio watu wote wanaohudhuria mihadhara hiyo hupiga kura.
inaelekea pia kuwa maeneo ya kina Odinga watu waoga wakipewa propaganda kidogo ya kutokea fujo wakati wa uchaguzi basi hurudi nyuma. yale mauwaji ya mombasa mkesha wa kupiga kura huenda uliwaathiri wapiga kura kisaikolojia - na sehemu ile ilielekea kuwa ngome yao

all in all Kenyata ni kizazi kipya nina amini ana uwezo wa kuiunganisha kenya na kujaribu kupunguza spidi ya ukabila. sidhani kama atakuwa na fikra za ukabila kama baba yake. Mungu ibariki Kenya.
 
Laila amefanya uamzi wa maana, japo kuna mapungufu mengi yalithibitika kutokea kwenye uchaguzi huo.... Hongera zangu kwa Laila na siyo kwa uhuru, umeonyesha ukomavu wa kisiasa
 
Kama amekubali, nini kilimfanya aende mahakamani? Mbona alijiamini sana kuwa alishinda uchaguzi na mahakama ingetenda haki kumptangaza yeye kuwa mshindi. Siasa za Bongo achana nazo!!!!
 
kwel nimeamin ng'ombe wa mackin hazai, na hata akiza basi anazaa dume!
sasa ni rasmi kenya ni ya wakikuyu tangu uhuru! ndugu zangu wakamba, waluo, kabila la kina laila wactegemee kuiongoza kenya! laila alikuwa na na mvuto kuliko uhuru, ila ukabila umefanya kaz yake!
hvi unazani mahakama ingefanya nini wakati asilimia karibu tisini ya majaji ni wakikuyu!
bora tanzania gape la ukabila sio kubwa kiivyo ni sisi watanzia tunashndwa kufanya maamuz kw nizamu ya woga tuliyonayo!

We ndo hovyo kweli...yaani raila ana mvuto kuliko uhuru.....
 
Katika hali isiyotarajiwa na wengi,mahakama kuu ya Kenya chini mwanasheria mkuu wa serikali Willy Mutunga,imetupitilia mbali hoja zilizotolewa na CORD,zakupinga matokeo ya uchaguzi.
Aliyekuwa mgombea urais Raila Odinga,huwenda akakata rufaa,kupitia wakili wake maarufu toka nchini Marekani.

Hii imekaaje? Mutunga mwanasheria mkuu? Hawezi kukata rufaa tena, by the way he has already conceded a defeat. Speculations are not good!
 
MASIKINI RAILA KAPONZWA NA MAGWANDA........gunduuuuuuuuuuuuuuuu

Katika hali isiyotarajiwa na wengi,mahakama kuu ya Kenya chini mwanasheria mkuu wa serikali Willy Mutunga,imetupitilia mbali hoja zilizotolewa na CORD,zakupinga matokeo ya uchaguzi.
Aliyekuwa mgombea urais Raila Odinga,huwenda akakata rufaa,kupitia wakili wake maarufu toka nchini Marekani.
 
Hii imekaaje? Mutunga mwanasheria mkuu? Hawezi kukata rufaa tena, by the way he has already conceded a defeat. Speculations are not good!

I don't think he has conceded defeat. He has accepted the decision of the court as he promised he will do.

That is quiet different from conceding. And I agree with him.

I don't think he lost fairly and I don't think Uhuru won fairly either.
 
Wakikuyu wanadai Uhuru ni chaguo la Mungu. It is a big mockery of democracy and rule of law. Yaani hata constitution inasemaje juu ya hili suala,majaji hawasemi. majaji wamepewa statement ya kusoma and then thats it!!!.

I think walianza vizuri kwa ku-televise the whole process BUT, they had made up their minds before the judgement.
 
ama kweli africa hamna demokrasia mpaka mahakama nizaki magumashi.baaria upo.

kwani Demokrasia maana yake anayepeleka kesi mahakamani ni lazima ashinde??? Kesi imeenda huko na imeonekana jamaa hakuiba. Hata waangalizi wa kimataifa wamesema uchaguzi ulikuwa free and fair.
 
Kenyatta is a kikuyu first and a Kenyan second. Uniting kenyans is a big ask to do. Probably he will work harder than before as he knows that is the only way he will be safe from being handed over to the hague !

mkuu inaelekea kina Odinga hawakujipanga tokea mwanzo. wenzao walihahakikisha katika ngome zao watu wao almost wote wanajiandikisha na kupiga kura - fundisho kwa vyama vyetu vya upinzani - huwa havifanyi hivyo na vinategemea wingi wa mahudhurio katika mikutano ya kampeni - sio watu wote wanaohudhuria mihadhara hiyo hupiga kura.
inaelekea pia kuwa maeneo ya kina Odinga watu waoga wakipewa propaganda kidogo ya kutokea fujo wakati wa uchaguzi basi hurudi nyuma. yale mauwaji ya mombasa mkesha wa kupiga kura huenda uliwaathiri wapiga kura kisaikolojia - na sehemu ile ilielekea kuwa ngome yao

all in all Kenyata ni kizazi kipya nina amini ana uwezo wa kuiunganisha kenya na kujaribu kupunguza spidi ya ukabila. sidhani kama atakuwa na fikra za ukabila kama baba yake. Mungu ibariki Kenya.
 
Wakikuyu wanadai Uhuru ni chaguo la Mungu. It is a big mockery of democracy and rule of law. Yaani hata constitution inasemaje juu ya hili suala,majaji hawasemi. majaji wamepewa statement ya kusoma and then thats it!!!.

I think walianza vizuri kwa ku-televise the whole process BUT, they had made up their minds before the judgement.

Hahahahaaa chaguo la mungu sio.

Haya basi ngoja wasubiri Yesu awaletee laputopu za sola lol.

Miafrika bana!
 
ICC hao ni wachumia tumbo tu wanatafuta kesi ili waendelee kupata ulaji.

Dont forget there are more than 1200 kenyans who died. Nani alihusika na mauaji haya, ndilo swali la msingi.

ICC walipelekewa kesi na hao hao kina uhuru wakijua itakuwa mchezo. walipoona wamejiingiza motoni - wakaanza kampeni za kudai kuwa ICC ni wabaya (sick). After all said and done, Uhuru was involved in the killing of kenyans (by omission or commission). Its unfortunate that he is using his financial muscles and being supported by Kibaki through Kikuyu gangs to frustrate the ICC and obviously denying justice to those he killed and displaced.
 
Back
Top Bottom