Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

si magufuli bali hii michadema ambayo haijazoea ushindi lakini ilituma mpaka wasanii, magari na wanasiasa akiwemo nassari kumsaidia odinga. Join Date : 28th March 2013
Posts : 23
Rep Power : 305
Likes Received2
Likes Given0

Karibu jamvini
 
Kwa hiyo unakubali kuwa kwa kiasi kikubwa sana hizi chaguzi za Afrika huwa ni maigizo tu ukiwemo huu wa Kenya na ule uliopita wa 2007?

Ni kweli chaguzi za afrika ndivyo zilivyo, ila hii ya kenya kama waliiba kura basi ni kujazilizia kidogo zivuke 50+1. Na wangerudia kwa ukweli ukweli RAO angeshindwa kwa kura. Sio sababu Uhuru ana sera ama Rao hana, bali composition ya matrix hiyo URP+TNA lazima RAO angeshindwa. Wizi nafikiri ulikuwepo, lakini ni kujazilizia ka-top layer.
 
Ha ha ha ha ha
Hata kama Raila alishinda kwenye huo uchaguzi na akatangazwa Uhuru basi ilikuwa kwa busara yake, atupilie mbali na akenue meno alipotangazwa Uhuru na kukubali kushindwa na angelionekana amekomaa kisiasa na angepata ungwaji mkono na wananchi wengi. Lakini sahizi, nafikiri reputation yake ktk gragh imeshuka vibaya sana.

Afrika mtu akishatangazwa kua rais kama huna jeshi linaloungwa na NATO ambalo litatia no-fly zone. Sahau.
Hizi ni hisia zako potofu. WEledi watakuambia ndio ameonekana kukomaa kisaasa zaidi
 
Wizi nafikiri ulikuwepo, lakini ni kujazilizia ka-top layer.

Na ndicho hata mimi nimekuwa nikikisema maana hiyo margin ya ushindi kwa kweli.....

It's one of those things that make you go hmmm.....

Oh well, watajiju na nchi yao. Wasubiri tu sasa laputopu za sola pawa lol.

Hiyo ahadi ya laputopu imenikumbusha harakati za George Mwakalinga kutaka kugombea ubunge Mbeya.

Classic stuff.
 
Sasa Raila ndiyo alikuwa destined to win? Au ushasahau ulichoandika?

Manake umeandika Kethi was representing a party destined to win? How exactly?

I thought Uhuru The Crown Prince was the one who was destined to win.

I ve noted my mistake! I will immediately do the corrections. I meant she was representing a party destined to lose
 
Katika hali isiyotarajiwa na wengi,mahakama kuu ya Kenya chini mwanasheria mkuu wa serikali Willy Mutunga,imetupitilia mbali hoja zilizotolewa na CORD,zakupinga matokeo ya uchaguzi.
Aliyekuwa mgombea urais Raila Odinga,huwenda akakata rufaa,kupitia wakili wake maarufu toka nchini Marekani.
 
577265_10151474421543518_1256163534_n.jpg



OOOhh,,we had said it,,,all along,,,that there was no case against the IEBC nor Uhuru or
Ruto.


Soo much was said,,,,but we can forgive them,,for we are all Kenyans.

Let the CORD,,coalition for reform and democracy,,really be what they say they
are and go with the supreme decision,,,they shouldn't preach,,,, water na
kunywa,,,,,ka mvinyo,,,,

Oohh,,Raila is about to speak,,,,let us hear what he has to says,,,kama atajiokoa ama
kujichimbia zaidi.


What about Bunge la wanainchi,,,,,,waendeleee hata zaidi,,,hasa,,, sasa,,lakini
si fujo kama vile wamefanya,,,kuvunja vunja mali ya wenyewe baada ya
kushangazwa na uamuzi,,,hiyo ndiyo reform and democracy??????

Mambo ni,,,,,,, check mate,,,,
 
Best dismissal was the expunging of rejected votes in the final tally. They were put there for no good.
 
Mahakama kuu ya kenya imetupilia mbali madai yote ya Raila Odinga na kuamua sasa Uhuru Kenyata aapishwe.
 
Mahakama kuu ya kenya imetupilia mbali madai yote ya Raila Odinga na kuamua sasa Uhuru Kenyata aapishwe.

Kwamba sisi mfumo wetu ndio bora Duniani na wa kuigwa;
Raisi ndio kila kitu, yuko juu ya Sheria na Amri yake haiwezi kupingwa na Mtu yoyote hapo katikati, hakuna cha Mahakama wala nini, kwa maana nyingine inatoka Juu kwenda Chini!

Kamwe sitakubali Madaraka ya Raisi kuvunjwa vunjwa nchini kwangu Tanzania!
 
Yaani unanimous decision ktk mashauri yote hayo ina walakin.

Ni kama wote wana akili za kushikiliwa vile. They can't think on their own? Really?

Yaani hakuna hata mmoja aliyekuwa na dissenting opinion? Hahahahahaaaaaa kaaaaz kweli kweli.

Nilijua Raila alikuwa anapoteza muda wake tu kwenda kwa hao majaji.

Unakumbuka hata ile kesi yetu ya mgombea binafsi? It was unanimous!
 
Unakumbuka hata ile kesi yetu ya mgombea binafsi? It was unanimous!

Yeah hata mimi naikumbuka Ronn M bwana Mtikila aliisimamia under sponsorship ya US but gov. wakakata rufaa na kesi ikaamuliwa usiku wa saa 4. Damn!
 
Last edited by a moderator:
ama kweli africa hamna demokrasia mpaka mahakama nizaki magumashi.baaria upo.
 
Raila is now speaking. He is saying the petition was not personal but for the national interests. They did their best to prosecute the case. Although they may not agree with the Supreme Court, they still believe in Constitution. They are therefore respecting the Court's decision and they are not regretting taking their case to Court. He wished the president elect and the team well
 
kwel nimeamin ng'ombe wa mackin hazai, na hata akiza basi anazaa dume!
sasa ni rasmi kenya ni ya wakikuyu tangu uhuru! ndugu zangu wakamba, waluo, kabila la kina laila wactegemee kuiongoza kenya! laila alikuwa na na mvuto kuliko uhuru, ila ukabila umefanya kaz yake!
hvi unazani mahakama ingefanya nini wakati asilimia karibu tisini ya majaji ni wakikuyu!
bora tanzania gape la ukabila sio kubwa kiivyo ni sisi watanzia tunashndwa kufanya maamuz kw nizamu ya woga tuliyonayo!
 
CDM,inabidi wajifunze kwa huyu raila,kwani ingawa roho inauma inabidi akubali tu.
Ili mwaka 2015,pasiwepo usumbufu
 
Back
Top Bottom