Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let bygones and be bygones. Jengeni nchi
acha tu Nyani Ngabu walichonifanya hawa watu namwachia MUNGU nimekimbia miji yote nikapumulia Voi lakini haikutosha hata Dar nikawakuta sembuse Arusha, kama unaweza kaa nao nyumba moja inabidi uzibe masikio na hata chooni usiende maana wanakagua Du sielezei wakati wao hawana usafi woteKwa nini unasema hivyo kuhusu Wajaluo?
Kwani ni watu wabaya?
Hii issue iko clear alishindwa, angalia kwenye bunge na seneta. Huu uchaguzi hata ungerudiwa RAO angeshindwa tu. Mie ninachohisi wizi ulitokea kama vile,-manipulation kufika 50+1 kwa round ya mwanzo, kama kweli ilitokea. Lakini hii Raila angeshindwa tu. URP na TNA ukiangalia kila chama kina wabunge/maseneta wanaokaribiana sana na cord nzima.
Hatimaye uhuru Kenyatta amethibitishwa na mahakama ya juu ya kenya kwamba yeye na mwenzie Ruto walichaguliwa kihalali!
Six justices of appeal from different school of thoughts, four different issues, over six different experienced counsels' submissions, presence of obvious conflicting evidence, unanimous decision! I have proved its so hard to decide against one in power, whether he is a president or president elect!
Hukumu haiuhusiana na kauli yangu kuwa Kenya ni kinara wa demokrasia Afirka Mashariki.
Nimetumia misingi ifuatayo:
1. Kuna haki ya kupinga matokeo ya Urais
2. Rais hawezi kuapishwa hadi hukumu itoke
3. Mahakama inaweza kuamuru uchaguzi urudiwe
Hapa Tanzania hilo ni ndoto ya mchana!