Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Pumzika baba Railla naona ilipaswa litimie andiko ya kuwa Hutakuja kuwa raisi wa Kenya
kila kitu kina jieleza kwenye hii picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumzika baba Railla naona ilipaswa litimie andiko ya kuwa Hutakuja kuwa raisi wa Kenya
wacha kupotosha hukumu haijatolewa,majaji waligundua makosa kwenye hukumu na kuhairisha kwa muda.
Kethi Kilonzo did a wonderful job! Only that she was representing a party destined to win.
Source ya newz hii ni wapi Mkubwa?
Uhuru Kenyatta victory upheld by the supreme court.
Aibu kubwa kwa Raila, apumzike tu sasa.
Kwa kuongeza majaji wote wamekubiana unanimously kuwa Uhuru ni mshindi halali.
Aliponzwa na Magufuli pengine ana kimavi
Yaani unanimous decision ktk mashauri yote hayo ina walakin.
Ni kama wote wana akili za kushikiliwa vile. They can't think on their own? Really?
Yaani hakuna hata mmoja aliyekuwa na dissenting opinion? Hahahahahaaaaaa kaaaaz kweli kweli.
Nilijua Raila alikuwa anapoteza muda wake tu kwenda kwa hao majaji.
Mahakama nchini kenya The Suprime court imemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa ni mshindi halali katika uchaguzi uliofanyika mapema mwezi huu march,hivyo ataapishwa tarehe 9April.Hongereni wakenya kwakua watulivu kwa kipindi chote
Mimi sidhani kama alishindwa 'kihalali'.
Hiyo margin ya Kenyatta ni suspect sana.
But, chaguzi za Afrika ndo zilivyo.
Kujua mshindi halali ni ngumu sana.
Sasa Uhuru atakuwa rais kwa miaka 10 ijayo kwa sababu hata re-election atashinda tu iwe kihalali au kidhulumati kama alivyofanya mjombae Kibaki.
Baada ua Uhuru kumaliza muda wake Ruto naye lazima awe rais, tena kwa miaka 10.
Ruto akimaliza kuna Eugene Wamalwa waiting in the wings lol
Kikuyus na Kalenjins watatawala Kenya for at least 30 more years. Mark my words.
Afrika mtu akishatangazwa kua rais kama huna jeshi linaloungwa na NATO ambalo litatia no-fly zone. Sahau.
All that I believe is somehow something was done to make one cross 50%.
si magufuli bali hii michadema ambayo haijazoea ushindi lakini ilituma mpaka wasanii, magari na wanasiasa akiwemo nassari kumsaidia odinga.
Kethi si alikuwa anawakilisha Africog ambao walikuwa wanapinga ushindi wa Uhuru? Sasa alikuwa ana represent a party destined to win or destined to lose?
At any rate Africog was pro Raila while Regeru alikuwa anawakilisha pro Uhuru. And to my best memory Africog petition was consolidated to be one with Raila's.