Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

as expected ushahidi ulikuwa kwa wastani wa mashaka! na ukizingatia historia ya Rao
 
kwa nini mahakama za kwetu na wenyewe hawarushi mienendo ya kesi 'live'? Ningetamani ya Lwakatare wairushe live kama wenzetu kenya wanavyofanya
 
Kethi Kilonzo did a wonderful job! Only that she was representing a party destined to win.

Kethi si alikuwa anawakilisha Africog ambao walikuwa wanapinga ushindi wa Uhuru? Sasa alikuwa ana represent a party destined to win or destined to lose?
 
MUNGU awasaidie wenzetu watu wakenya waishi kwa amani wawe makini wasije kurudia yale yaliyo tokea kwenye uchaguzi ule ulio pita maana ulisababisha madhara makubwa kwa wananchi
 
523612_10152671903795533_2052299971_n.png
 
Uhuru Kenyatta victory upheld by the supreme court.

Aibu kubwa kwa Raila, apumzike tu sasa.

Kwa kuongeza majaji wote wamekubiana unanimously kuwa Uhuru ni mshindi halali.

Sasa aibu kubwa kwa Raila kivipi hapo?

Hebu acheni kum-disparage bana. Bila harakati za Raila leo hii wala tusingekuwa hapa tunafuatilia chaguzi za Kenya.

Give the man the respect he duly deserves.
 
Proof was on scale of balance of probabilities... RAO and his team couldn't make it. Sugar spoon doesn't make an ocean sweet.
Yaani unanimous decision ktk mashauri yote hayo ina walakin.

Ni kama wote wana akili za kushikiliwa vile. They can't think on their own? Really?

Yaani hakuna hata mmoja aliyekuwa na dissenting opinion? Hahahahahaaaaaa kaaaaz kweli kweli.

Nilijua Raila alikuwa anapoteza muda wake tu kwenda kwa hao majaji.
 
Ha ha ha ha ha
Hata kama Raila alishinda kwenye huo uchaguzi na akatangazwa Uhuru basi ilikuwa kwa busara yake, atupilie mbali na akenue meno alipotangazwa Uhuru na kukubali kushindwa na angelionekana amekomaa kisiasa na angepata ungwaji mkono na wananchi wengi. Lakini sahizi, nafikiri reputation yake ktk gragh imeshuka vibaya sana.

Afrika mtu akishatangazwa kua rais kama huna jeshi linaloungwa na NATO ambalo litatia no-fly zone. Sahau.
 
Mahakama nchini kenya The Suprime court imemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa ni mshindi halali katika uchaguzi uliofanyika mapema mwezi huu march,hivyo ataapishwa tarehe 9April.Hongereni wakenya kwakua watulivu kwa kipindi chote

watabaki salama kweli
ee Mungu wasaidie..
 
Mimi sidhani kama alishindwa 'kihalali'.

Hiyo margin ya Kenyatta ni suspect sana.

But, chaguzi za Afrika ndo zilivyo.

Kujua mshindi halali ni ngumu sana.

Sasa Uhuru atakuwa rais kwa miaka 10 ijayo kwa sababu hata re-election atashinda tu iwe kihalali au kidhulumati kama alivyofanya mjombae Kibaki.

Baada ua Uhuru kumaliza muda wake Ruto naye lazima awe rais, tena kwa miaka 10.

Ruto akimaliza kuna Eugene Wamalwa waiting in the wings lol

Kikuyus na Kalenjins watatawala Kenya for at least 30 more years. Mark my words.

All that I believe is somehow something was done to make one cross 50%. I was so interested to see where would the Supreme Court put the irregularities raised by their own scrutiny! Naona wameshindwa kukata tawi ambalo wamekalia mana mwisho wa siku Uhuru angekuwa Raisi anyway na ingewepa some hard time. Huyu Eugene namkubali sana kuliko hawa wawili. I wonder how Uhuru and Rutto are going to be friends for the sake of power! Its because of that it may not be guaranteed that Uhuru will be a president for the next 10 years! Who knows what kind of coalition they might raise come 2017!
 
Afrika mtu akishatangazwa kua rais kama huna jeshi linaloungwa na NATO ambalo litatia no-fly zone. Sahau.

Kwa hiyo unakubali kuwa kwa kiasi kikubwa sana hizi chaguzi za Afrika huwa ni maigizo tu ukiwemo huu wa Kenya na ule uliopita wa 2007?
 
All that I believe is somehow something was done to make one cross 50%.

Mimi hiyo itachukua muda sana kunishawishi kwamba threshold aliipita kihalali.

Kwanza inanipa flashbacks za 1995 kule Zanzibar. Salmin alishinda kwa margin ya point ngapi vile? Lol
 
si magufuli bali hii michadema ambayo haijazoea ushindi lakini ilituma mpaka wasanii, magari na wanasiasa akiwemo nassari kumsaidia odinga.


Tatizo la magamba ni kuwa ni waongo lakini pia hawakawii kusahau; kwani toka lini Magufuli alikuwa chadema ? Hama hamjui kuwa kampeni meneja wa Kikwete Rostam Aziz ndiye aliyekuwa mpambe wa Odinga akitegemea kuanzisha EPA nyingine kule; sasa Rostam toka lini amekuwa Chadema?
 
Kethi si alikuwa anawakilisha Africog ambao walikuwa wanapinga ushindi wa Uhuru? Sasa alikuwa ana represent a party destined to win or destined to lose?

At any rate Africog was pro Raila while Regeru alikuwa anawakilisha pro Uhuru. And to my best memory Africog petition was consolidated to be one with Raila's.
 
At any rate Africog was pro Raila while Regeru alikuwa anawakilisha pro Uhuru. And to my best memory Africog petition was consolidated to be one with Raila's.

Sasa Raila ndiyo alikuwa destined to win? Au ushasahau ulichoandika?

Manake umeandika Kethi was representing a party destined to win? How exactly?

I thought Uhuru The Crown Prince was the one who was destined to win.
 
Back
Top Bottom