simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kumbuka kwa vita hivi ajira za nduguzo Azam mashakani.Hawa jamaa wamezoea wakifanya kitu tunawaachia tu bila hata ku reciprocte , its high time tuanze tit for tat, wakimwaga sukari, tunamwaga chai, Mazoea hatutaki tena