Kenya escalates Tanzania trade war with new tariffs

very true...tumekua wapole muda mrefu sana...inabidi sasa watu wakunje sura...clearly, diplomacy has failed...
You will feel the pinch from both Tz and UG, then a big question to ask yourselves, kati ya anayebaki na unga wake au anayebaki na pipi zake who will then have the last laugh!?
 
Uhuru hajawahi kuwa na shida ya nje inayomtaka apate parliamentary approval, most of the time he had seek parliamentary approval in regard to internal issues.

Leo hii Uhuru akitaka msaada wa bunge kutunga sheria ya kuibana Tanzania atapata tabu sana. Jubilee ni mchanganyimo wa watu wenye itikadi (ideology) za aina mbali mbali. Kuna pro Tanzania, pro Magufuli hata pro CCM ndani ya Jubilee, tofauti na upande wa Magufuli amabaye ana watu wa ideology ya aina
Eti kuna pro CCM na pro Magufuli ndani ya Jubilee??? [emoji15][emoji15][emoji15] Leo ndio nimeamini kwamba hujui chochote kuhusu Kenya. Yaani kumbe siku zote huwa ni kukariri tu huwa unakariri. Dah! Nani huwa anakuhaithia haya unayoyasema? Jubilee na majority yao kubwa kwenye bunge kando, hata wale wa kile chama cha Raila ambaye mlikuwa mnasema ni swahiba yenu wengi wao hawajui kuhusu CCM wala Magufuli. Nakuhakikishia ikafikia ni mswada unapigiwa kura hata wabunge wawili tu wakuunga mkono hoja yeyote ya kuipendelea Tz hamtapata. Unajua unyangau ni nini wewe?
 
Uhuru hajawahi kuwa na shida ya nje inayomtaka apate parliamentary approval, most of the time he had seek parliamentary approval in regard to internal issues.

Leo hii Uhuru akitaka msaada wa bunge kutunga sheria ya kuibana Tanzania atapata tabu sana. Jubilee ni mchanganyimo wa watu wenye itikadi (ideology) za aina mbali mbali. Kuna pro Tanzania, pro Magufuli hata pro CCM ndani ya Jubilee, tofauti na upande wa Magufuli amabaye ana watu wa ideology ya aina moja.
For your info, never at any time see Kenyans having their internal rangles and imagine you can come in and take advantage. We shall always put our differences aside kick any outsider's ass then resume our brotherly war.
 
You will feel the pinch from both Tz and UG, then a big question to ask yourselves, kati ya anayebaki na unga wake au anayebaki na pipi zake who will then have the last laugh!?
ni nani alikudanganya unga inatoka bongo pekee yake? mkiringa tunaingiza unga kutoka uganda au zambia na mambo tunamaliza
 
Eti kuna pro CCM na pro Magufuli ndani ya Jubilee??? [emoji15][emoji15][emoji15] Leo ndio nimeamini kwamba hujui chochote kuhusu Kenya. Yaani kumbe siku zote huwa ni kukariri tu huwa unakariri. Dah! Nani huwa anakuhaithia haya unayoyasema? Jubilee na majority yao kubwa kwenye bunge kando, hata wale wa kile chama cha Raila ambaye mlikuwa mnasema ni swahiba yenu wengi wao hawajui kuhusu CCM wala Magufuli. Nakuhakikishia ikafikia ni mswada unapigiwa kura hata wabunge wawili tu wakuunga mkono hoja yeyote ya kuipendelea Tz hamtapata. Unajua unyangau ni nini wewe?
hata mimi nimeshangaa sana...ati pro-magufuli... duh! maajabu...magufuli na jubilee wapi na wapi jameni
 
Yap I mean it!. To get an answer try it as an outsider. Just like the way kot does.
For your info, never at any time see Kenyans having their internal rangles and imagine you can come in and take advantage. We shall always put our differences aside kick any outsider's ass then resume our brotherly war.
Hapa Jf kuna macomedian wengi. Kuna mtu anasema eti ndani ya bunge la Kenya kuna pro CCM na pro Magufuli. Hawa watu huwa wanaona tukijibizana nao humu alafu wanadhani eti wakenya wote wanajua kuhusu chuki zao dhidi ya Kenya. Watu hawana hiyo time na hata bunge letu halijakaa hata siku moja kwenye kikao likajadili kuhusu masuala ya Tz isipokuwa kupeana rambi rambi zao wakati wa misiba. Kenya haina bifu na nchi yeyote E.Africa, huu msimamo umetusaidia sana kwasababu tumeweza kuwa na muda wa kutosha wa kushughulikia masuala yetu ya ndani kwa ndani. Ila imetukosti kwasababu jirani zetu wenye nia mbaya wameona ni kama udhaifu na heshima haipo tena. Sidhani kuna mbunge yeyote awe wa Jubilee au NASA ambaye anaweza akasimama mbele ya wabunge wenzake alafu aanze kuendeleza agenda za nchi yeyote ile nyingine huku akitegemea kuungwa mkono. Hapo ndipo napowapendea wakenya wenzangu, iwe ni viongozi au wananchi mwendo huwa ni ule ule , Kenya mbele shetani nyuma.
 
Huu ndio upuuzi huwa naona M7 akifanya kule migingo hadi nakumbuka vijana wa kijaluo wakiambia serikali iwape tuu ruksa. Juzi matiangi kasema ishatosha sasa, kaambiwa na gava atulize boli nkt!..
 
Eti kuna pro CCM na pro Magufuli ndani ya Jubilee??? [emoji15][emoji15][emoji15] Leo ndio nimeamini kwamba hujui chochote kuhusu Kenya. Yaani kumbe siku zote huwa ni kukariri tu huwa unakariri. Dah! Nani huwa anakuhaithia haya unayoyasema? Jubilee na majority yao kubwa kwenye bunge kando, hata wale wa kile chama cha Raila ambaye mlikuwa mnasema ni swahiba yenu wengi wao hawajui kuhusu CCM wala Magufuli. Nakuhakikishia ikafikia ni mswada unapigiwa kura hata wabunge wawili tu wakuunga mkono hoja yeyote ya kuipendelea Tz hamtapata. Unajua unyangau ni nini wewe?

Haya, baki hapo hapo umeshika bendera, wenzako wanayao vichwani mwao.
 
For your info, never at any time see Kenyans having their internal rangles and imagine you can come in and take advantage. We shall always put our differences aside kick any outsider's ass then resume our brotherly war.
All you here have very little or no knowledge how politics are done.
 
hata mimi nimeshangaa sana...ati pro-magufuli... duh! maajabu...magufuli na jubilee wapi na wapi jameni
Sasa naamini wengi wenu humu ni ubishi wa KE VS TZ tu ndio mnajua, but when it comes to regional politics ni bure kabisa.
 
Huu ndio upuuzi huwa naona M7 akifanya kule migingo hadi nakumbuka vijana wa kijaluo wakiambia serikali iwape tuu ruksa. Juzi matiangi kasema ishatosha sasa, kaambiwa na gava atulize boli nkt!..
Alianza Mwai Kibaki aliposema kwamba hatuwezi kosana na Uganda kwasababu ya kipisi cha jiwe kwenye ziwa. Rais Uhuru naye akafata nyayo. Baada ya zamu ya U.K kuisha ndio sijui kutakuwaje. Maanake wale wote wanaovizia kiti hicho ni wahuni fulani hivi. Nadhani miaka ya baadaye kidogo ndio watu watazifahamu vizuri rangi za kweli za manyang'au.
 
Haya, baki hapo hapo umeshika bendera, wenzako wanayao vichwani mwao.
Huna credibility kabisa tena ya kuongea kuhusu masuala ya siasa za Kenya. Eti ushawishi wa fisiemu na JPM ndani ya bunge la Kenya! Hahaha! [emoji1]
 
Hapa Jf kuna macomedian wengi. Kuna mtu anasema eti ndani ya bunge la Kenya kuna pro CCM na pro Magufuli. Hawa watu huwa wanaona tukijibizana nao humu alafu wanadhani eti wakenya wote wanajua kuhusu chuki zao dhidi ya Kenya. Watu hawana hiyo time na hata bunge letu halijakaa hata siku moja kwenye kikao likajadili kuhusu masuala ya Tz isipokuwa kupeana rambi rambi zao wakati wa misiba. Kenya haina bifu na nchi yeyote E.Africa, huu msimamo umetusaidia sana kwasababu tumeweza kuwa na muda wa kutosha wa kushughulikia masuala yetu ya ndani kwa ndani. Ila imetukosti kwasababu jirani zetu wenye nia mbaya wameona ni kama udhaifu na heshima haipo tena. Sidhani kuna mbunge yeyote awe wa Jubilee au NASA ambaye anaweza akasimama mbele ya wabunge wenzake alafu aanze kuendeleza agenda za nchi yeyote ile nyingine huku akitegemea kuungwa mkono. Hapo ndipo napowapendea wakenya wenzangu, iwe ni viongozi au wananchi mwendo huwa ni ule ule , Kenya mbele shetani nyuma.

Hahaha, unatia huruma, sikujuwa kama wanasiasa wamekushika kiakili hivi. Kuna mambo mengi tu kuhusu nchi nyingine yanajadiliwa behind closed doors na labda hutakuja kuyajuwa, maana wanavyo bishana huko mengine ni siri yao.
 
Hahaha, unatia huruma, sikujuwa kama wanasiasa wamekushika kiakili hivi. Kuna mambo mengi tu kuhusu nchi nyingine yanajadiliwa under closed doors na labda hutakuja kuyajuwa, maana wanavyo bishana huko mengine ni siri yao.
Hahaha, unatia huruma, sikujuwa kama wanasiasa wamekushika kiakili hivi. Kuna mambo mengi tu kuhusu nchi nyingine yanajadiliwa under closed doors na labda hutakuja kuyajuwa,
Sawa mzee wa under closed doors unayejua yote.
 
Ningekuheshimu sana kama ungekuwa unachanganua haya masuala kama mwanabiashara na sio mla buku saba, makada wa chama. Sijui nani aliwadanganya kwamba Kenya ni dhaifu kwasababu inangoja tu kujibu mapigo. Sasa hivi tukiongea na wewe kuna malori mengi kutoka Tz yamekwama pale Namanga kwa mwezi sasa yamejaa ngano. Mbona hawayageuzi yarudi yalikotoka? Haya majungu kutoka ikulu ya Tz ambayo hayana msingi ni hasara tupu kwa kila mtu. Mkimaga sima nasi tunamwaga mchuzi. Wanaofaidi ni wale ambao wanajiona wababe na malaika flani. Ngoja Bakhresa naye pia aanze kulialia.
Matiangi testified to then World of existence of contraband illicit sugar in Kenya.

Back
Top Bottom