Kenya escalates Tanzania trade war with new tariffs

Hawa jamaa wamezoea wakifanya kitu tunawaachia tu bila hata ku reciprocte , its high time tuanze tit for tat, wakimwaga sukari, tunamwaga chai, Mazoea hatutaki tena
Kumbuka kwa vita hivi ajira za nduguzo Azam mashakani.
 
Nadhani ule uongozi tulio nao tangia kwa kibaki hadi kwa uhuru saa hii ni komavu. Wanaiona Uganda beyond M7, na wanaelewa tosha kukwaruzana na hili taifa sababu ya huyu babu mzee na ilihali siku zake za kung'atuka zishaa jipa ni bure. Kuna mengi tunafaidi Kama taifa tukivumilia hili chokonoo la migingo, la sii hivyo wangekuwa walishaa fungasha enzi hizoooo!..
 
Vitumbua havipikwi kwa unga wa ngano.
 
Hahaha kaka punguza hasira, Tanzania tuna soko kubwa la SADC, ninyi mnatuhitaji sana, sisi hatuwahitaji kamwe, mkipandisha kodi ya unga wa ngano mnazidi kuwaumiza wananchi wenu, wakati pipi na chocolate zenu hazina umuhimu wowote kwa watanzania.

Lazima mtasalimu amri na kukubaliana na masharti yetu, historia inaonyesha hivyo hamjawahi kushinda na wala hamna jeuri ya kupambana na TZ, how can a failed state dare to fight against a milk and honey state?
 

Kenya soko lao kuu liko tz kila unachonunua tz ni from Kenya sasa tuende tit 4 tat watalia haya manyang’au
 
Ubaya wa Wakenya ukiwazuia watakuja fungua kiwanda hapa hapa
Kama Interchick
 
Unashangilia vita ya mafahali wawili bila kujua madhara kwa nyasi.... Kule Moshi michele inayolimwa kwa wingi, tena kwa gharama (mingi inayoka kwenye Irrigation schemes) imekosa soko na hali ni mbaya. Soko lao kubwa was Kenya.
 
Unafikiri anayeumia ni Baghresa tuu na huu ujinga? Huko Moshi michele mingi iliyokuwa inaenda Kenya via border ya Taveta imedoda wakulima wanalia kilio cha mbwa koko....
 
Unafikiri anayeumia ni Baghresa tuu na huu ujinga? Huko Moshi michele mingi iliyokuwa inaenda Kenya via border ya Taveta imedoda wakulima wanalia kilio cha mbwa koko....
Inasikitisha sana. Kenya hata wale wanabiashara wadogo wadogo wakienda hasara huwa wanaonesha hamaki zao, mara waandamane au wafunge mabarabara hadi kieleweke. Masikini hawa wakulima wa Tz sijui vilio vyao vitasikizwa na nani.
 
You will feel the pinch from both Tz and UG, then a big question to ask yourselves, kati ya anayebaki na unga wake au anayebaki na pipi zake who will then have the last laugh!?
Baghresa atabaki na unga, hataendelea kununua kwa wakulima na kilio kikuu kitabaki kwa mkulima maana atakosa soko, like now mchele Moshi hauna soko.....
 
Unafikiri anayeumia ni Baghresa tuu na huu ujinga? Huko Moshi michele mingi iliyokuwa inaenda Kenya via border ya Taveta imedoda wakulima wanalia kilio cha mbwa koko....
Wewe pumbavu kwahiyo wanaotumia industrial sugar hawaumii? Kwa illegal importation of dutyfree sugar by Kenya?
 
Kaka zetu USA na China,wanafanya hivihivi kila mtu kulinda viwanda vyake,na sisi twende hivyo hivyo,hakuna cha ajabu
 
Sasa naamini wengi wenu humu ni ubishi wa KE VS TZ tu ndio mnajua, but when it comes to regional politics ni bure kabisa.
madai yako hayana proof...maybe ulete kwanza ndio tukuamini..kwa sasa unaongea pumba tu
 
The Kenyans are settling a score.

Comes a day after it emerged that Tanzania has blocked the Kenyan VODACOM CEO from working in the country.

Which is less worrying for Tanzania. Kenya needs Tanzania more than the converse. If only because Tanzania is Kenya’s biggest market.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…