Kenya escalates Tanzania trade war with new tariffs

madai yako hayana proof...maybe ulete kwanza ndio tukuamini..kwa sasa unaongea pumba tu
Yani mnasikitisha sasa, sikujuwa kama kichwani ni weupe hivi, Ikiwa Trump ana mkingia kifua Putin kwa faida yake binafsi mnafikiri hakuna wakenya wenye faida binafsi na Tanzania? Gosh eti proof, proof mnayo humo humo ndani kwenu.
 
wewe bwege kabisa...nipatie evidence au utembeze kiatu...sa unaniambia putin mara trump..putin anahusikaje?
 
Mmmmh kwenye shisha mlimuiga RC Makonda alivyoban na nyie tukasikia mnataka kuban shisha
 
Unafikiri anayeumia ni Baghresa tuu na huu ujinga? Huko Moshi michele mingi iliyokuwa inaenda Kenya via border ya Taveta imedoda wakulima wanalia kilio cha mbwa koko....
Michele ndio nini?
Hakuna wingi wa mchele
 
Baghresa atabaki na unga, hataendelea kununua kwa wakulima na kilio kikuu kitabaki kwa mkulima maana atakosa soko, like now mchele Moshi hauna soko.....
Mchele msimu huu umezalishwa mara mbili ya kawaida hivyo kuna ziada ya zaidi ya tani million 1.3

Zipo factors nyingine tofauti na hilo la Kenya
 
Mbona bado tunazinnywa
 
Mchele msimu huu umezalishwa mara mbili ya kawaida hivyo kuna ziada ya zaidi ya tani million 1.3

Zipo factors nyingine tofauti na hilo la Kenya
Hujui kitu mimi ni mkulima wa mpunga Moshi and I know what am saying....
 
Hujui kitu mimi ni mkulima wa mpunga Moshi and I know what am saying....
Kwa hiyo siku wakenya wanakataa kununua mchele toka Tanzania we utakufa? Usikubali kunyanyaswa kisa soko. Tafuta soko lingine
 
Nchi za SADC zote zinahitaji chakula mwaka huu, wewe ng'ang'ana na Kenya pekee.
Acha umburula wewee wakenya walikuwa wanakuja wenyewe mpaka soko la Himo na wananunua kwa bei nzuri. So wakulima wakuvuna wanakoboa mpunga wana pack na kuuza, soko la uhakika lilikuwepo ila mnaleta mambo yenu ya kipuuzi na siasa uchwara halafu unaniambia habari ya nchi za SADC.....
 
Mambwembwe ya serikali ya CCM.......

Dont let kitu kinachoitwa patriotism wanachokihubiri majitu mafedhuli duniani yanayoitwa mawanasiasa kikujae mpaka kiharibu your thinking...

Unafanyiana ugomvi na jirani yako ili iweje kama sio umama huo?
 
Hujui kitu mimi ni mkulima wa mpunga Moshi and I know what am saying....
Sasa inachobisha ni kipi?
Umekariri tu Kenya
Hao Kenya wenyewe ndio waliokupigia ban mchele wako.

The fact is the supply is huge compared to the demand quite different from the previous seasons, hutaki haulazimishwi unaacha.

Mkulima wa mpunga my foot
 
Uvivu wako wa kutaka mnunuzi akufuate hadi chumbani mwisho watamchukua hadi mkeo, acha uvivu changamka peleka bidhaa zako SADC wewe, pili usituletee habari zako za mkoa mmoja au miwili ndio iwakilishe nchi nzima, kumbuka mikoa inayozalisha chakula kwa wingi hapa Tanzania (The big 6), yote ipo kusini mwa Tanzania, huo mchele mnaozalisha huko Kilimanjaro is negligible kwa nchi, acha kusumbua watu kwa vigunia vyenu elfu 3 tengenezeni chakula cha mifugo.
 
Rubbish....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…