Kenya fourth in Africa as billionaires hit 356

Kenya fourth in Africa as billionaires hit 356

Embu soma nyuzi za hili jukwaa uone nyuzi zinazoletwa na wakunyaji kuhusu Tz zilivyo nyingi,
Nyie hamna akili Kabisa maana mlifunguliwa hili jukwaa maalum kwa mambo ya kenya ila kwa sababu nyie ni wajinga mkaona muwe mnapost habari za Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
Hasira za nini mchawi? Kwani leo hujapikiwa albino?
 
Hao huko kenya wengi ni mafisadi wameiba fedha kutoka serekali yenu ya kenya kwa kuchukuwa tenda kubwa kubwa serekalini/ Fuatolieni rekodi zao mtakuta hapo mabilionea halali na wa haki hawazidi 20...(hizo ni fedha za serelali yenu wakenya halafu mnawashangilia)
 
Tanzania hakuna njaa kwa sababu haina wazembe wajinga kama nyie [emoji23][emoji23][emoji23]
Masikini wa Tanzania ana chakula cha kutosha kabisa na ana uhakika wa kula,
Yaani chakula kipo kingi sana hadi jana tulikiuza zim,
Hadi wazembe wa kenya huwa tunawauzia,
Usisahau pia counties zaidi ya 13 zinateseka na njaa kunyaland.

Average food consumption ya Kenya iko juu kuliko Tanzania.
Na hii ni across all categories. Beef, poultry, cereals, fruits. etc.. Mpaka Turkana ikijumuishwa, Kenya iko juu kwa kg consumed per person per year.

80% of Tanzanians are malnourished.
 
Hehehe! Wah! Na Jinsi Watanzania hupiga makele, halafu hao mabilionea Tanzania ni waarabu na wahindi, hutakuta Mdanganyika hata mmoja, alikuwepo marehemu Mengi, ila sasa wameachiwa makanjibhai pekee yao.
 
Average food consumption ya Kenya iko juu kuliko Tanzania.
Na hii ni across all categories. Beef, poultry, cereals, fruits. etc.. Mpaka Turkana ikijumuishwa, Kenya iko juu kwa kg consumed per person per year.

80% of Tanzanians are malnourished.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kutype ili ujifurahishe Haiwezi kumaliza baa la njaa kunyaland wala Haiwezi leta njaa Tanzania kwa sababu watanzania ni wachapa kazi hawana uzembe wa kipumbavu kama wenu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kutype ili ujifurahishe Haiwezi kumaliza baa la njaa kunyaland wala Haiwezi leta njaa Tanzania kwa sababu watanzania ni wachapa kazi hawana uzembe wa kipumbavu kama wenu.

Unadhani ukiita wakenya wazembe itabadilisha fact ambayo inajulikana ulimwengu mzima, kwamba Tanzania kwa wazembe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tungekuwa wazembe tungekuwa tunapapaswa na kupewa misaada ya chakula kama nyie,
Embu pitia hii tweet usome comment za wakenya wenzako.

Unadhani ukiita wakenya wazembe itabadilisha fact ambayo inajulikana ulimwengu mzima, kwamba Tanzania kwa wazembe.
 
Hahah ndege zipi tena KQ inaziuza? Zile ndege mlizonunua emirates tena used for ksh 2billion na mkaziuza after 5yrs kwa hasara ya ksh 1.2billion ndio mnatangaza faida?

Mna ndege zipi tena kuacha hizo mbovu mlizouza kwa hasara?
 
Majority of the developed world live in Urban areas.
They only land they own is the small piece their houses are on.

The large majority of the productive land is owned by large corporations or rich familes, for plantations.

Kenya and other MDCs are moving that way.
Tanzania and other LDCs are stuckin the old way.
Kenya population living in rural 80%
Tanzania population in rural 70%

Tanzania leads subsahara Africa in Economic inclusiveness, Kenya is the last country.

Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
 
Mnafikirianga everythin is being leased,
Hahah ndege zipi tena KQ inaziuza? Zile ndege mlizonunua emirates tena used for ksh 2billion na mkaziuza after 5yrs kwa hasara ya ksh 1.2billion ndio mnatangaza faida?

Mna ndege zipi tena kuacha hizo mbovu mlizouza kwa hasara?
 
1)Ukabila?
2)Rushwa?
3)Hunger?
4)slums?
5)Crime?
6)Unemployment?
7)Terrorism?

Ama namna gani?

1. Njaa na malnultrition
2. Umaskini
3. Ujinga
4. Slums
5. Unemployment
6. Kukosa stima
7. Kukosa barabara
8. Unemployment

Hapo Kenya inamsoma tu namba.
 
Kenya population living in rural 80%
Tanzania population in rural 70%

Tanzania leads subsahara Africa in Economic inclusiveness, Kenya is the last country.

Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

A Kenyan teacher, doctor, worker gets paid double or triple a Tanzanian.
Poor Kenyans would automatically become middle class in Tanzania.

Tanzania may be more inclusive, but you are all included in poverty. 99% of Tanzanian earn very little.

Kenya has very rich people, and then many poor people (who are middle class by TZ standards) - Unequal
In Tanzania everyone is poor - Inclusive.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tungekuwa wazembe tungekuwa tunapapaswa na kupewa misaada ya chakula kama nyie,
Embu pitia hii tweet usome comment za wakenya wenzako.

Mngekuwa hamko wazembe, mngekuwa na media ambayo itahighlight umaskini wenu ili tuwaletee mchango.
 
Mnafikirianga everythin is being leased,
Ujinga ujinga tu. Hamuwezi kuacha ku lease maana hata GoK ina 48% ya umiliki wa KQ. Na ndio mna struggle ku nationalize saiv hilo shirika.

Halafu mmeshindwa kupata CEO hapo hadi muazime?

KQ ilikufa hapa, soma link

Screenshot_20190920-120417~2.jpeg
 
Kenya population living in rural 80%
Tanzania population in rural 70%

Tanzania leads subsahara Africa in Economic inclusiveness, Kenya is the last country.

Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

Also, you should know that some of the world's richest countries are also the most unequal.
It is one of the perks of capitalism and globalization. Some few individuals grow incredibly wealthy, while everyone else grows only slightly wealthy.

equal.JPG
 
[emoji23][emoji23][emoji23] endelea kujipa matumaini hapo gorokocho slum,
Masikini wa Tanzania ana chakula cha kutosha na ana maisha mazuri kuliko mkenya wa kawaida,
Failed state ninyi,
Mngekuwa hamko wazembe, mngekuwa na media ambayo itahighlight umaskini wenu ili tuwaletee mchango.
 
Back
Top Bottom